Pre GE2025 Wasanii wa Bongo movie waliokuwa CHADEMA wahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama Chadema hawajawahi kumpa show Ney wa Mitego, japo wanakusanya mabilioni, wanakula wenyewe
 
hakuna haja ya kua na mihemko, gubu wala makasiriko dhidi ya mTanzania anaetumia uhuru na haki yake kikatiba, kuamua kidemokrasi ni chama gani cha siasa akiunge mkono.

Hakuna haja ya kubabaika na maamuzi binafsi yasiyohusu my friends, ladies and gentlemen 🐒
 
Maigizo kama hayo ni ya kitoto sana. Watafanya maigizo yote,machawa wajinga watajitokeza lakini mbingu imekataa mama yenu hawezi kushinda uchaguzi huu. Na kama mtakuja na goli la mkono mtaichoma nchi na itaungua yote kama pori.
 
Hivyo ni vitimbi vya msimu wa chafuzi sii mapya,yakikuwepo na yatakuwepo,sitashangaa nikisikia mwenyekiti waliyemfuata kabwaga manyanga na kuwatelekeza vile vile.Sijui watahamia atakako hamia ama laa?
 
Hatujawahi kuwa na wasanii waliyojitambukisha wao wanachadema.Wapeleke maigizo yao huko.
 
Mbeba maono haya ya CCM ya kwakusanya wasanii upande wao ana akili ndogo Mno.1
 
Walikiwa chadema lini bwana. Hawa wana kamradi kao kaupigaji sasa wangepataje attention zaidi ya kufanya hivi ili wasikike na jambo lao.
 
Hawajawahi kuwa CDM hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…