MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wamefanya uamuzi sahihi. Mungu awabariki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan wap nimemtaja Lisu mkuu wangu😂😂😂L
Lissu Hana pesa?
Mbona hao siku zote wako huko na mashati ya kijani wanavaa, wanawahadaa wajinga tu sisi wala hatustuki na sanaa zao za kipumbavu.Wamefanya uamuzi sahihi. Mungu awabariki
Sio wazembe kama mzee mbowe alietomuliwa na wanachama wake mwenyewe🙆♂️🙆♂️🙆♂️Hawa ni wauza sembe salama yao ni kuwa CCM
hakuna haja ya kua na mihemko, gubu wala makasiriko dhidi ya mTanzania anaetumia uhuru na haki yake kikatiba, kuamua kidemokrasi ni chama gani cha siasa akiunge mkono.Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi.
Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema?
====
Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi wameamua kuja na Asante Samia kutokana na mambo makubwa waliyoyafanya katika serikali kwa muda mfupi.
Wasanii hao wakiongozwa na Jimmy Mafufu amesema wahama chadema kutoka na mambo mazuri ambayo ameyafanya Rais Samia.
View attachment 3242749
Kabaki na Ney wa mitego, Sugu na Prof JROMA kabaki peke yake ngoja tuone
UWT utaelewa niniSio wazembe kama mzee mbowe alietomuliwa na wanachama wake mwenyewe🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Maigizo kama hayo ni ya kitoto sana. Watafanya maigizo yote,machawa wajinga watajitokeza lakini mbingu imekataa mama yenu hawezi kushinda uchaguzi huu. Na kama mtakuja na goli la mkono mtaichoma nchi na itaungua yote kama pori.Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi.
Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema?
====
Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi wameamua kuja na Asante Samia kutokana na mambo makubwa waliyoyafanya katika serikali kwa muda mfupi.
Wasanii hao wakiongozwa na Jimmy Mafufu amesema wahama chadema kutoka na mambo mazuri ambayo ameyafanya Rais Samia.
View attachment 3242749
Hivyo ni vitimbi vya msimu wa chafuzi sii mapya,yakikuwepo na yatakuwepo,sitashangaa nikisikia mwenyekiti waliyemfuata kabwaga manyanga na kuwatelekeza vile vile.Sijui watahamia atakako hamia ama laa?Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi.
Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema?
====
Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi wameamua kuja na Asante Samia kutokana na mambo makubwa waliyoyafanya katika serikali kwa muda mfupi.
Wasanii hao wakiongozwa na Jimmy Mafufu amesema wahama chadema kutoka na mambo mazuri ambayo ameyafanya Rais Samia.
View attachment 3242749
Hatujawahi kuwa na wasanii waliyojitambukisha wao wanachadema.Wapeleke maigizo yao huko.Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi.
Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema?
====
Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi wameamua kuja na Asante Samia kutokana na mambo makubwa waliyoyafanya katika serikali kwa muda mfupi.
Wasanii hao wakiongozwa na Jimmy Mafufu amesema wahama chadema kutoka na mambo mazuri ambayo ameyafanya Rais Samia.
View attachment 3242749
Sama: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Una ushahidi Erythrocyte ni Chadema?Una ushahidi hao walikuwa chadema?
Walikiwa chadema lini bwana. Hawa wana kamradi kao kaupigaji sasa wangepataje attention zaidi ya kufanya hivi ili wasikike na jambo lao.Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi.
Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema?
====
Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi wameamua kuja na Asante Samia kutokana na mambo makubwa waliyoyafanya katika serikali kwa muda mfupi.
Wasanii hao wakiongozwa na Jimmy Mafufu amesema wahama chadema kutoka na mambo mazuri ambayo ameyafanya Rais Samia.
View attachment 3242749
Sama: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hawajawahi kuwa CDM haoWakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi.