Pre GE2025 Wasanii wa Bongo movie waliokuwa CHADEMA wahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wahame tuu,mafufu yawe sio mafufu chama kipo imara!
 
Na bado Heche na Lissu hawajaanza kazi!? Aisee !
 
Narudia, ni suala la muda tu kabla mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo
 
Sasa hao walivyokua chadema walikua na impacts gani na huko ccm watapeleka nini kipya?
 
Congo of mobutu in making tunatengeza kizazi Cha hovyo sana siku hata wanajeshi wetu watakosa uzalendo na nidhamu kama Kongo
 
Nilikuwaga najua JB ni mtu mwenye akili sana, tofauti kabisa na waigizaji wenzie.
 
Hawana msaada wowote kwa jamii
 
Kwamba sababu za kuhama:-

Hoja namba 1 ni kukamilika kwa bwawa la umeme.

Hoja namba 2 ni kukamilika kwa treni ya mwendokasi!

Aisee kazi ipo kama hao ndio vioo vya jamii wasiojua miradi hiyo imejengwa kwa chanzo kipi cha mapato wao ni kusifia tu mama mwanzo mpaka mwisho wa press ni dalili kuwa rupia za mama zimepita na kundi kubwa lingine la mazuzu ambao watu huwaona ni kioo cha jamii.

Mliopo huko hao waandishi wa habari wengi wamelipwa kiasi gani?
 
Asilimia Kubwa Ya Wasanii Au Ukishakua Msanii,,Lazima Mambo Na Akili Yote Iwe Inaenda Kisanii Sanii
 
Sasa ukitaka wawndelee kubaki chadema kisa tobo, oops, sorry, tundu lissu kuwa mwenyekiti l?!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…