Pre GE2025 Wasanii wa Bongo movie waliokuwa CHADEMA wahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wahame tuu,mafufu yawe sio mafufu chama kipo imara!
Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi.

Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema?

====

Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi wameamua kuja na Asante Samia kutokana na mambo makubwa waliyoyafanya katika serikali kwa muda mfupi.

Wasanii hao wakiongozwa na Jimmy Mafufu amesema wahama chadema kutoka na mambo mazuri ambayo ameyafanya Rais Samia.
View attachment 3242749
Sama: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Wala uhitaji kuwa na elimu kubwa ung'amue hilo kwaki liko wazi. Wamekabidhiwa bahasha, risala kisha kuletewa Waandishi wahabari.

Ni wazi hawa wagawa rushwa wamechanganyikiwa. Wamekuwa wakifanya mambo ya aibu kwa wale wachache wenyekujitambua nadani ya CCM. Wameachana na Wajenga hoja wameamua kuwakusanya Wasanii.

Hebu fikiria zile shughuli za UVCCM waeamua kumkabidhi Makamu M/K Mzee Wasira. Kama siyo kuchanganyikiwa ni nn???
Na bado Heche na Lissu hawajaanza kazi!? Aisee !
 
Narudia, ni suala la muda tu kabla mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo
 
Sasa hao walivyokua chadema walikua na impacts gani na huko ccm watapeleka nini kipya?
 
Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi.

Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema?

====

Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi wameamua kuja na Asante Samia kutokana na mambo makubwa waliyoyafanya katika serikali kwa muda mfupi.

Soma Pia:
Wasanii hao wakiongozwa na Jimmy Mafufu amesema wahama chadema kutoka na mambo mazuri ambayo ameyafanya Rais Samia.
Congo of mobutu in making tunatengeza kizazi Cha hovyo sana siku hata wanajeshi wetu watakosa uzalendo na nidhamu kama Kongo
 
Nilikuwaga najua JB ni mtu mwenye akili sana, tofauti kabisa na waigizaji wenzie.
 
Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi.

Kwanza lini wamewahi kuwa Chadema?

====

Wasanii wa filamu Jimmy Mafufu, Shamsa Ford, Stamina pamoja na wengine wengi wameamua kuja na Asante Samia kutokana na mambo makubwa waliyoyafanya katika serikali kwa muda mfupi.

Soma Pia:
Wasanii hao wakiongozwa na Jimmy Mafufu amesema wahama chadema kutoka na mambo mazuri ambayo ameyafanya Rais Samia.
Hawana msaada wowote kwa jamii
 
Kwamba sababu za kuhama:-

Hoja namba 1 ni kukamilika kwa bwawa la umeme.

Hoja namba 2 ni kukamilika kwa treni ya mwendokasi!

Aisee kazi ipo kama hao ndio vioo vya jamii wasiojua miradi hiyo imejengwa kwa chanzo kipi cha mapato wao ni kusifia tu mama mwanzo mpaka mwisho wa press ni dalili kuwa rupia za mama zimepita na kundi kubwa lingine la mazuzu ambao watu huwaona ni kioo cha jamii.

Mliopo huko hao waandishi wa habari wengi wamelipwa kiasi gani?
 
Asilimia Kubwa Ya Wasanii Au Ukishakua Msanii,,Lazima Mambo Na Akili Yote Iwe Inaenda Kisanii Sanii
 
Kwamba sababu za kuhama:-

Hoja namba 1 ni kukamilika kwa bwawa la umeme.

Hoja namba 2 ni kukamilika kwa treni ya mwendokasi!

Aisee kazi ipo kama hao ndio vioo vya jamii wasiojua miradi hiyo imejengwa kwa chanzo kipi cha mapato wao ni kusifia tu mama mwanzo mpaka mwisho wa press ni dalili kuwa rupia za mama zimepita na kundi kubwa lingine la mazuzu ambao watu huwaona ni kioo cha jamii.

Mliopo huko hao waandishi wa habari wengi wamelipwa kiasi gani?
Sasa ukitaka wawndelee kubaki chadema kisa tobo, oops, sorry, tundu lissu kuwa mwenyekiti l?!!!!
 
Back
Top Bottom