Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

Tamala binafsi ni one of my favorite song of all the time. bila kumsahau producer mika mwamba alitisha sana kwenye beat
 
Hivi huyu Fatma ndio yule jamaa wa kundi la WAWILI walikua wanapenda kumshirikisha?
 
Uishi milele EYCE,
Uishi milele wewe mtaalam.
Nadhani kuna nyimbo zao hao wanamama ni timeless.
Ila wooooote naona mmemsahau dada yetu kipenzi Saida Karoli.

😂😂😂😂 brother brother, im humbled aseee

hata wewe mtaalamu pia

Saida naona toka Ruge Mutahaba afariki ndio bhasi tena
 
Fatma, maunda,enika wana sauti nzuri sana hawa wadada.
 
Uzi siupi marks bila dada ENIKAH, VUMILIA(utanikumbuka) etc

'Tatizo Umasikini' by Vumilia.

Hii ngoma hadi leo haiishi utamu kuisikiliza.

Those days music ulikuwa real sana.

-Kaveli-
 
Zay B mwana dada Gaidi

Da Jo Da JO tumekukubali na bado ft Bad Spark.

"We ndo uliyejigonga... da jo halfcast la kimanga, ukikataa nitajinyonga... leo unaniponda?"

Si ulileta nyodo?!!

Long live Da Jo popote ulipo.

-Kaveli-
 
Kuna yule mdada aliimba 'Kalamu na Karatasi' ft Nuruel.

Anaitwa nani? Yupo wapi nowadays?

Huyo mdada aliwahi onekana kwenye video fulani ya James Dandu kama nakumbuka vyema.

-Kaveli-
 
Vumilia kama angeendelea shusha ngoma nafikiri Jide angekuwa analamba nyayo zake kipindi hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…