Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

"We ndo uliyejigonga... da jo halfcast la kimanga, ukikataa nitajinyonga... leo unaniponda?"

Si ulileta nyodo?!!

Long live Da Jo popote ulipo.

-Kaveli-
Hahaha Inspector mwenyewe anazimia na yeye 😀 😀 😀 😀 😀 😀 akimuona tu oh Miss Kigamboni.
 
Besta alikua Noma!! Nyimbo yake ya Baby Boy mpaka leo hii ni Moto🔥
 
Hawajapotea bali wanafanya issue zingine...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wao wakazibeba pumba kama pumba zilivo au walistukia wakaedit?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wao wakazibeba pumba kama pumba zilivo au walistukia wakaedit?
Walijua ni Kiswahili kumbe ni luganda bwana, na mimi kuvimba mbele ya totoz za mambele nikawalisha pumba tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…