Wasanii wa Tanzania wameshindwa kuhudhuria msiba wa mama yake Sugu kwa sababu za kiitikadi?

Sawa Steve Nyerere
 
Wewe ni nani unawasemea? Wamekwambia hivyo? Roma kaenda?
 
sugu alikuwa sahihi kuwajibu hivyo wasanii, yaani mnamtuma sugu akawatetee maslahi yenu dhidi ya serikali ya CCM mliyoipigia kampen nchi nzima na kuiweka madarakani?,
 
Huyo sugu alienda kwenye msiba wa mtoto wa muna love
Huyo sugu alienda kwenye msiba wa sam wa ukwel
Jf ina vilaza aiseeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sugu alikuwa sahihi kuwajibu hivyo wasanii, yaani mnamtuma sugu akawatetee maslahi yenu dhidi ya serikali ya CCM mliyoipigia kampen nchi nzima na kuiweka madarakani?,
Sasa mnataka wasanii hao hao aliowakataa kuwatetea coz n ccm ndo leo waende msiban

Ukiamua kuwa kauz bas kuwa kauzu kwel yan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasanii wameacha kuhudhuria hayo mazishi ili kuunga mkono "Juhudi"

JIWEEEE...Weka mbali na mashangazi!
 
Hujui unachoongea sadness

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…