Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wewe ni lilofa lililokubuhu.Wew mwenyewe lipumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni lilofa lililokubuhu.Wew mwenyewe lipumbavu
Wewe utakuwa mtoto WA kike, maana maneno tu yanamaanishaWewe ni lilofa lililokubuhu.
Wasanii walimwambiaga mh mbona ututetei bungeni akawajibu Mimi siyo mbunge wa wasanii, miye ni mbunge wa wana mbeya akaongeza pia kuwa kipindi anaomba ubunge uko mbeya wasanii hawakwenda masapoti kwaiyo wamuache
My take
Msitusumbue wasanii sugu alishaga tukataa wenzake alisema yeye ni mbunge wa mbeya so ngoja afike mbeya wanainchi watajaa kwake kwa wing tu.
Wew ni binadamu kengeWewe ni lilofa lililokubuhu.
Wewe ni nani unawasemea? Wamekwambia hivyo? Roma kaenda?Wadau.
Roho imeniuma sana yani kama imefika hatua mpaka watu wanaogopa kwenda kwenye misiba ya wapinzani eti kisa wanamuogopa mtu mmoja.
Ubaguzi wa kiitikadi unalitafuna taifa letu tusipokemea itafika mahali mtu atakuta mtu ambae sio wa chama chake kapata ajali atashindwa kumsaidia
Yani sugu pamoja na heshima aliyonayo kwenye mziki wa bongo flavor leo kafiwa na mzazi mmeshindwa hata kwenda msibani
Asante suma G, Kala Jeremiah, papi choka na Nguza Viking kwa kushiriki ibada ya kumuombea mama yetu
Nasema kuna maisha baada ya unafiki.
mr mkiki
View attachment 849586
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavu kabisa wewe.Ulizaliwa kwa waganga wa kichawi bila shaka....akili za kipepo
RubbishAcha siasa za kijinga kwenye msiba hakuna siasa.
Ulipata kuona wapi binadamu kenge, kama sio uhayawani huo?Wew ni binadamu kenge
sugu alikuwa sahihi kuwajibu hivyo wasanii, yaani mnamtuma sugu akawatetee maslahi yenu dhidi ya serikali ya CCM mliyoipigia kampen nchi nzima na kuiweka madarakani?,Wasanii walimwambiaga mh mbona ututetei bungeni akawajibu Mimi siyo mbunge wa wasanii, miye ni mbunge wa wana mbeya akaongeza pia kuwa kipindi anaomba ubunge uko mbeya wasanii hawakwenda masapoti kwaiyo wamuache
My take
Msitusumbue wasanii sugu alishaga tukataa wenzake alisema yeye ni mbunge wa mbeya so ngoja afike mbeya wanainchi watajaa kwake kwa wing tu.
Huyo sugu alienda kwenye msiba wa mtoto wa muna loveWadau.
Roho imeniuma sana yani kama imefika hatua mpaka watu wanaogopa kwenda kwenye misiba ya wapinzani eti kisa wanamuogopa mtu mmoja.
Ubaguzi wa kiitikadi unalitafuna taifa letu tusipokemea itafika mahali mtu atakuta mtu ambae sio wa chama chake kapata ajali atashindwa kumsaidia
Yani sugu pamoja na heshima aliyonayo kwenye mziki wa bongo flavor leo kafiwa na mzazi mmeshindwa hata kwenda msibani
Asante suma G, Kala Jeremiah, papi choka na Nguza Viking kwa kushiriki ibada ya kumuombea mama yetu
Nasema kuna maisha baada ya unafiki.
mr mkiki
View attachment 849586
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mnataka wasanii hao hao aliowakataa kuwatetea coz n ccm ndo leo waende msibansugu alikuwa sahihi kuwajibu hivyo wasanii, yaani mnamtuma sugu akawatetee maslahi yenu dhidi ya serikali ya CCM mliyoipigia kampen nchi nzima na kuiweka madarakani?,
Na wao hawakwenda kwny huo msiba kwa sababu aliwajibu hivyoAlitamka hivi baada ya kushindwa kupata sapoti kutoka kwa wasanii wenzie kipindi cha kampeni,alafu hao hao wanaenda kufanya kampeni kwa chama cha kijani huku wakiwa wanataka sugu anawasemee matatizo yao bungeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni binadamu mwenyewe hulka ya kengeUlipata kuona wapi binadamu kenge, kama sio uhayawani huo?
pepo jike wew bwege.Mnashabikia uchawi hadi kwa marehem....lohPumbavu kabisa wewe.
Wewe ni binadamu mwenye hulka ya nyumbu.Wewe ni binadamu mwenyewe hulka ya kenge
Inama nikusweke.pepo jike wew bwege.Mnashabikia uchawi hadi kwa marehem....loh
Hujui unachoongea sadnessKwa nini unawalaumu bongo flava peke yao?
Umewaona wabunge wote wa CHADEMA wameenda kwenye huo msiba achilia mbali wabunge wote wa Tanzania?
Ukiangalia hata viongozi wote wakuu wa CHADEMA hawakuepo kwenye msiba!
Unachofanya ni selective blaming kwa faida ambayo unaijua!
Tusipangie watu nini cha kufanya kwa sababu kufanya hivyo ni aina fulani ya udikteta.