Ni hoja za werevu. Ukisoma kiingereza toka darasa la tatu hadi juu unatakiwa kukijua vizuri sana.Mmekosa hoja....Nyie hata kiswahili hamjui sembuse kingereza....!!Upinzani wengi ni vijana mpechempeche marioo wa mjini wapenda vya bure,kingereza wamekijulia Kwenye movie na nyimbo za kina Cellin Dione...Wanaume wa kweli hawezi ongea hoja za kijinga kama hizi...!!
Kajitahidi kujidhalilisha. Bahati mbaya hata Kiswahili sanifu hakijui vile vile.Hata hivyo kajitahidi
Kwa mtazamo wangu, huyu si mtu huru kama unavyosema. Mfano ni ishu hii ya 'kizungu'. Angekuwa huru na mwenye kujiamini asingelazimisha kuongea kiingereza wakati tayari mfumo wa ukalimani/tafsiri ulikuwepo (utaona wageni walikuwa na zile interpretation headsets). Ilikuwa ni katika kujaribu kuwathibitishia wanaomnanga kuhusu 'kizungu' kuwa naye yumo! Hiyo siyo attitude ya mtu aliye huru kifikra.Rais Magufuli ni mtu huru, ni fikra huru. Na hiki ndicho kinachomfanya awe rais bora miongoni mwa marais tuliowahi kuwa nao Tanzania. Anawaza kivyake, anasema anavyotaka iwe kingreza, kiswahili au kisukuma. Akosee au asikosee.
Rais wetu si mtumwa wa mtu yeyote, akili zake hajashikiwa na mtu yeyote. Anafanya anavyoona inafaa popote pale na muda wowote ule.
Ogopa kiongozi anayesema kwa staili ya ajili kuwaridhisha watu fulani au eti aendane na fikra fulani. Political correctness. Ni wabaya maana hawana ubunifu, hawawezi fanya maamuzi magumu, yaani wapo wapo tu kama maroboti ya kikundi fulani cha watu au fikra. Tulipopata uhuru kutoka kwa mkoloni maana yake ilikuwa ni uhuru kamili -- kimwili, kifikra na kimaamuzi.
Mmekosa hoja....Nyie hata kiswahili hamjui sembuse kingereza....!!Upinzani wengi ni vijana mpechempeche marioo wa mjini wapenda vya bure,kingereza wamekijulia Kwenye movie na nyimbo za kina Cellin Dione...Wanaume wa kweli hawezi ongea hoja za kijinga kama hizi...!!
Mmekosa hoja....Nyie hata kiswahili hamjui sembuse kingereza....!!Upinzani wengi ni vijana mpechempeche marioo wa mjini wapenda vya bure,kingereza wamekijulia Kwenye movie na nyimbo za kina Cellin Dione...Wanaume wa kweli hawezi ongea hoja za kijinga kama hizi...!!
Nakubali mkuu hapo kwenye kuelewa tu maswali mara kadhaa amekua akipuyanga sasa kama tu kuelea swali ni tatizo basi kujibu ndio zaidi, kwakweli akiwa kama raia number one anatutia aibu sana kama taifa
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Wasaidizi wenyewe kajaza Vilaza watupu Mkuu watamshauri nini, Msigwa na Buhohela? Vilaza 100%Ni aibu kwa rais wa nchi kama Tanzania, ambaye amesoma mpaka chuo kikuu kwa kiingereza, akaishi ulaya, akafanya Phd kwa kiingereza halafu hajui kuongea kiingereza fasaha.
Rais wa nchi ndio kioo cha nchi, kiingereza kibovu cha rais wetu ni aibu kwetu sisi sote. Wasaidizi wa rais wako wapi kumsaidia kumfundisha kiingereza kizuri.
Duuh hadi Phd holder anajitahidi?Hata hivyo kajitahidi
Bujwe!!?Tunatarajia azungumze Kiingereza cha Tanzania lakini sio level hii ya broken Tz English. Nimesahau jina la yule profesa aliyemwandikia tasnifu ya phd!!