The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Not true. Hata sayansi inafundishwa kwa lugha, iwe kiingereza au kiswahili au kichina.Wanasayansi hawahitaji kujua sana lugha hizo mkuu! Ungeniambia kada za sheria na nyingine lakini watu hao wapo hivohivo na wanaeleweka kitaifa na kimataifa! Endelea kukosoa sisi kazi inaendelea
aibu tupuuKama vyombo vya habari vya Malawi vimeichukuwa, leo magurupu ya WhatsApp yatapasuka mbavu kwa vicheko huko Lilongwe na Blantyre.
Hakuna mhaya mshamba wa hvyo labda wewe itakuwa wa ngenge.Kwani wewe mswahili wa kanyamkule, hujaelewa nini hapo
Aliandikiwa na akina Kazungu; na wengine pale idara ya kemia udsm. Baadaye akampa kazi pale wizara ya fedha. Sasa hivi nasikia kampeleka wapi sijui.Thesis yenyewe aliandikiwa
Hakuwa mwalimu wa KiingerezaKama huyu alikua mwalimu hao wanafunzi wana hali gani
Kwani Waingereza lugha yao ya kufundishia ni Kiswahili? Unatoa mifano ambayo ni irrelevant. Huwez kukwepa aibu ya bwana mkubwa kwa hoja za namna hii.Kwan ukiongea kiingereza ukakosea kuna tatizo gani? Mbona waingereza wanakosea kiswahili? Tutaondoka lini huko kwenye ujinga huo? Kwa hiyo huo nao ni uzi?
Unajua mambo ya kupeana vyeo kifugu, kichama, na upendeleo yaani WHO KNOWS WHO NOT WHO KNOWS WHAT! unaweza kuta nao uwezo wao ni WA chini sana sasa watamsaidiaje?Ni aibu kwa rais wa nchi kama Tanzania, ambaye amesoma mpaka chuo kikuu kwa kiingereza, akaishi ulaya, akafanya Phd kwa kiingereza halafu hajui kuongea kiingereza fasaha.
Rais wa nchi ndio kioo cha nchi, kiingereza kibovu cha rais wetu ni aibu kwetu sisi sote. Wasaidizi wa rais wako wapi kumsaidia kumfundisha kiingereza kizuri.
Ungekuwa sio Uzi, usingeuchangia. Inaumaaaa, ila inabidi uzoeeeeeKwan ukiongea kiingereza ukakosea kuna tatizo gani? Mbona waingereza wanakosea kiswahili? Tutaondoka lini huko kwenye ujinga huo? Kwa hiyo huo nao ni uzi?
Sasa alikuwa na haja gani ya kuongea kingereza wakati hawezi?Nimefanya kazi na wazungu kutoka mataifa tofauti tofauti wanaongea kiswahili broken na wengine kiingereza broken bt wapo very happy and comfrotable about it.
Unakutana na Muhispania au Mrusi anapuyanga na Lugha ya Malkia na yupo comfortable na wazungu wenzake hawamcheki. Infact ht ss ngozi nyeusi tukipuyanga hawatucheki wala kutudharu.
Only African belives kuongea Lugha ya Malkia ndio sign of excellence.
Utumwa umetufanya tusijiamini na tuamini kua vya mzungu ndo mali.
Hii lugha ya malkia ni shida "we are leader we are suppose to change direction:Umesehau ndugu yangu. Huko kwenye neno direction ameongeza harufu ''s''. Infact yeye kila neno la kiingereza anadhani linaongezewa herufu ''s''. Nafwaaaaaaaaa!
Kwani wazungu wote wanaongea kiswahili wanakijua Kiswahili? Au wazungu wote wanaongea kiingereza wanakijua Kiingereza? Practice makes it perfect, mwacheni aendelee kukiongea apate uzoefu na confidence.Sasa alikuwa na haja gani ya kuongea kingereza wakati hawezi?
Kwa kiwango chakeHata hivyo kajitahidi
Kwani Chemistry alikuwa anafundisha kwa kisukuma?Hakuwa mwalimu wa Kiingereza
Lakini wamejua ata kuongea....yan ata walimu wenye vyeti fekii walio fukuzwa wanamshindaa asee hii ni hatariiiMmekosa hoja....Nyie hata kiswahili hamjui sembuse kingereza....!!Upinzani wengi ni vijana mpechempeche marioo wa mjini wapenda vya bure,kingereza wamekijulia Kwenye movie na nyimbo za kina Cellin Dione...Wanaume wa kweli hawezi ongea hoja za kijinga kama hizi...!!