Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

Shida ipo wapi. Wazingu wenyewe Kiingereza ni shida. Kiswahili ni shida kwa wenzetu pia
 
Shida ni kwamba toka sekondari mpaka ngazi ya PhD unatumia kiingereza halafu unakuja kuongea broken kiasi hiki

Akichapia mchina wala siwezi kuwa na doubt
 
Nafikiri siyo mfumo tu wa elimu hata yeye anaweza kuwa ana tatizo la uwezo binafsi na inawezekana baadhi ya maeneo alipita sio kwa kukaza msuli. Si bado watu wana hoji hiyo Phd? Sasa huku kwenye Bachelor na Masters tuna jua alipitaje? Je performance yake kwenye inglishi fomu foo ilikuwaje? Who knows?!

 
Shida ni kwamba Toka sekondari mpaka ngazi ya PhD unatumia kiingeleza halafu unakuja kuongea broken kiasi hiki. Akichapia mchina Wala siwezi kuwa na doubt
Km umesoma shule zetu hizi za serikali utaelewa aina ya ufundishaji wao wa Lugha ya kiingereza bt km hujapitia siwezi kukulaumu.

Huwezi mpata mwanafunzi aliesoma shule za kata mpaka chuo kikuu alie vzuri ktk Lugha ya Malkia km wapo ni wa kutafuta na tochi.

Kwanza wanafundisha bora liende ( I used to hate all my english teachers kutoka primary mpaka form 4),

Kuna kipindi Mwalimu akikuuinua ujibu swali unachukia kabisa maana hujanyoosha mkono ukihofia kuboronga ila yy kakuinua.

2nd hupati muda wa ku practice hio Lugha. nimesoma na ma TO chuo na mpaka leo mtaani wanaongea broken km kawaida.

Tena sisi tuliokua tunasoma PCM ndo kabisa, unatoboa mahesabu na formulas, mengine unameza kwenye pepa unayatema km yalivyo.
That's how life used to be.
 
Kwa sie tuliosoma sayansi hata simcheki kwakweli tena naona kajitahidi kweli
 
Sio lazima mtu aongee kama mwingereza anaweza kuongea kama Mmarekani au Mhindi.
Yani ushamba wa waafrika wa Tanzania umevuka mipaka kwani lazima mtu aongee kama mwingereza.. Mbona ameeleweka
 
Kingereza sio lugha ya kufundishia kwa wachina,wanasoma Kingereza kama mojawapo ya masomo mengine, lugha yao rasmi na ya kufundishia ni Kichina.
 
Kama umesoma kwa kingereza kutoka kidato cha kwanza hadi ukawa graduate na hujui vizuri kingereza unakubali kwamba mfumo wetu wa elimu una shida?
 
Please mr would tell us in english?
What should I tell you in english? Your shambolic statements will never unveil the burning truth to our esteemed president that,what he speaks in english language is completely sucking
 
Huwa hashauriwi.
 
Aibu kutokua mu ingereza au aibu ni kutokuongea kiingereza fasaha kama muingereza!!?
Mnatia huruma hamjui tuu mnavyojidhalilisha

Angekuwa mzalendo angeongea kiswahili tu kuliko kuchanganya madafu alafu akaharibu
 

What are you laughing at ...if your admitting that english is also your problem?

I think you should the last person to blame others!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…