Atavunja rekodi wanawake hawataaminika tena na tena ndio basi tenaKuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya.
Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake!
Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia kuwalaumu washauri wake.
Sasa Ngabu anauliza: hao washauri wa Rais Samia ni akina nani hasa?
Majina yao ni nani na nani?
Sura zao zikoje? Jinsia zao ni zipi?
Wana vyeo gani serikalini? Nani aliwafanya wawe washauri wa Samia?
Nataka kuwajua hao washauri wa Samia wanaomshauri vibaya.
Kubwa zaidi, Rais mstaafu Nyerere aliwahi kusema kwenye moja ya hotuba zake, hii nadhani ilikuwa ni ya mwaka 1995 akiwahutubia wafanyakazi huko Mbeya kwenye sherehe ya Mei Mosi, kuwa, mtu mwenye akili, anayejua kwamba na wewe una akili, akikupa mawazo/ ushauri wa kipumbavu na wewe ukaukubali, basi mtu huyo atakudharau kabisa.
Video yake hii hapa. Anzia dakika ya 1:00 mpaka 2:00.
Huyu Rais wetu mpya hana uwezo wa kuchuja ushauri ulio mzuri na ushauri ulio wa kipumbavu?
Mimi napenda kuwa na Rais ambaye yuko ‘engaged’. Sipendi kuwa na Rais anayeshauriwa tu bila ya yeye kuweka input yake.
Je, Rais wetu huyu mpya, yeye ni Rais wa aina gani? Kila anachoshauriwa kufanya yeye anaendanacho tu?
Uko vizuri sana sana, good brain, umewasilisha vzr na rejea nzuri pia.YAANI...Kuna wakati najikuta naamini sana kuwa huyu mama anategemea zaidi Watu/ washauri waamue badala yake kisha wanamuambia tu amua hivi/fanya hivi naye hana jinsi
Kwasababu nikiangalia mfano msimamo wake juu ya tozo wanazolipishwa watanzania kupitia miamala...yeye binafsi hakuliafiki kwasababu alisema litazamwe upya, Mara paaap ni kama limelazimishwa na Mwigulu Nchemba na kupitishwa then mama akakaa kimya kumaanisha amelikubali
Hata Suala la kukamatwa kwa Mbowe ni kama vile mama anakuja kushirikishwa mambo baada ya kufanyika...
LAKINI pia kuna mambo mengine naamini anafanya kwa utashi wake, kwa mfano uteuzi wa hawa watoto / vibinti vya CCM kuteuliwa katika nafasi za Ukuu wa wilaya au Ukurugenzi, hapa naamini hajashauriwa ni ameamua yeye kama yeye kupitisha majina hayo.
Kifupi, yeye kama Rais kuna lawama nyingi anapaswa kuzipokea kutokana na nafasi aliyo nayo.
Alikuwa na credits ngapi ?Kwenye suala zima la Tozo, ishu tata ya 'ugaidi' wa Mbowe na yale mahojiano na Salim Kikeke, yamempunguzia sana credits Rais wetu kipenzi! [emoji3525]
Mwisho wake 2025 apende asipende hapatakuwa na yeyote wa kumuwezesha kwa hilo ni never.Kuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya.
Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake!
Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia kuwalaumu washauri wake.
Sasa Ngabu anauliza: hao washauri wa Rais Samia ni akina nani hasa?
Majina yao ni nani na nani?
Sura zao zikoje? Jinsia zao ni zipi?
Wana vyeo gani serikalini? Nani aliwafanya wawe washauri wa Samia?
Nataka kuwajua hao washauri wa Samia wanaomshauri vibaya.
Kubwa zaidi, Rais mstaafu Nyerere aliwahi kusema kwenye moja ya hotuba zake, hii nadhani ilikuwa ni ya mwaka 1995 akiwahutubia wafanyakazi huko Mbeya kwenye sherehe ya Mei Mosi, kuwa, mtu mwenye akili, anayejua kwamba na wewe una akili, akikupa mawazo/ ushauri wa kipumbavu na wewe ukaukubali, basi mtu huyo atakudharau kabisa.
Video yake hii hapa. Anzia dakika ya 1:00 mpaka 2:00.
Huyu Rais wetu mpya hana uwezo wa kuchuja ushauri ulio mzuri na ushauri ulio wa kipumbavu?
Mimi napenda kuwa na Rais ambaye yuko ‘engaged’. Sipendi kuwa na Rais anayeshauriwa tu bila ya yeye kuweka input yake.
Je, Rais wetu huyu mpya, yeye ni Rais wa aina gani? Kila anachoshauriwa kufanya yeye anaendanacho tu?
Ni kweli alichagua wasaidizi.. Lakini kumbuka Rais pia amezungukwa na watu wengine zaidi ya hao.. Ndani ya Ikulu kuna vitengo vingi.. Na wanaoviendesha ni hao hao waliotoka awamu ya 5 na bado wanafikra za JIWE.Nafikri mwanzoni alibadilisha sana watu ikulu na aliteua wasaidizi na washauri kila idara kuna siasa , uchumi na n,k
nafikiri tukitafuta press release za mwanzo kabisa anaingia basi utaona majina yao na nafasi zao
Aliyasema ye mwenyewe 1Acha kumfananisha mama na mwendazake kila mtu na wakati wake mwacheni afanye kazi
Ilaumiwe Ccm sio vinginevyoAkiletewa ushauri mezani anawaambia "Haya nendeni mtekeleze hayo mlosema".
Yeye binafsi hawezi kuchakata taarifa na kuzidadavua.
Kigogo siyo reliable hata kidogo! Anabahatishaga tu.
Anaeota ni Mbowe na wafuasi wake nyie manyumbu mnahisi mnaota ila yuko ndaniUnaota.
Sio mitano. Kumi mingine muendelee kulialia.Imagine, kama hilo muda mfupi ujao ataanza kuimbiwa "mitano tena" na wenzake!!🚶🚶🚶
Wapo aliwateuwa kuna mkeka wake punde tu alipoingia tena hao ni wale wa ofisi yake binafsi sio wa kiprotocol wakiwemo VP na PM. Kuna wa uchumi, wa sheria, wa mahusiano ya kimataifa nk. Ngoja nichimbe mkekka nikutupieKuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya.
Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake!
Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia kuwalaumu washauri wake.
Sasa Ngabu anauliza: hao washauri wa Rais Samia ni akina nani hasa?
Majina yao ni nani na nani?
Sura zao zikoje? Jinsia zao ni zipi?
Wana vyeo gani serikalini? Nani aliwafanya wawe washauri wa Samia?
Nataka kuwajua hao washauri wa Samia wanaomshauri vibaya.
Kubwa zaidi, Rais mstaafu Nyerere aliwahi kusema kwenye moja ya hotuba zake, hii nadhani ilikuwa ni ya mwaka 1995 akiwahutubia wafanyakazi huko Mbeya kwenye sherehe ya Mei Mosi, kuwa, mtu mwenye akili, anayejua kwamba na wewe una akili, akikupa mawazo/ ushauri wa kipumbavu na wewe ukaukubali, basi mtu huyo atakudharau kabisa.
Video yake hii hapa. Anzia dakika ya 1:00 mpaka 2:00.
Huyu Rais wetu mpya hana uwezo wa kuchuja ushauri ulio mzuri na ushauri ulio wa kipumbavu?
Mimi napenda kuwa na Rais ambaye yuko ‘engaged’. Sipendi kuwa na Rais anayeshauriwa tu bila ya yeye kuweka input yake.
Je, Rais wetu huyu mpya, yeye ni Rais wa aina gani? Kila anachoshauriwa kufanya yeye anaendanacho tu?
Sio physical per se,Washauri wake ni akina nani?
Iko hiviKuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya.
Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake!
Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia kuwalaumu washauri wake.
Sasa Ngabu anauliza: hao washauri wa Rais Samia ni akina nani hasa?
Majina yao ni nani na nani?
Sura zao zikoje? Jinsia zao ni zipi?
Wana vyeo gani serikalini? Nani aliwafanya wawe washauri wa Samia?
Nataka kuwajua hao washauri wa Samia wanaomshauri vibaya.
Kubwa zaidi, Rais mstaafu Nyerere aliwahi kusema kwenye moja ya hotuba zake, hii nadhani ilikuwa ni ya mwaka 1995 akiwahutubia wafanyakazi huko Mbeya kwenye sherehe ya Mei Mosi, kuwa, mtu mwenye akili, anayejua kwamba na wewe una akili, akikupa mawazo/ ushauri wa kipumbavu na wewe ukaukubali, basi mtu huyo atakudharau kabisa.
Video yake hii hapa. Anzia dakika ya 1:00 mpaka 2:00.
Huyu Rais wetu mpya hana uwezo wa kuchuja ushauri ulio mzuri na ushauri ulio wa kipumbavu?
Mimi napenda kuwa na Rais ambaye yuko ‘engaged’. Sipendi kuwa na Rais anayeshauriwa tu bila ya yeye kuweka input yake.
Je, Rais wetu huyu mpya, yeye ni Rais wa aina gani? Kila anachoshauriwa kufanya yeye anaendanacho tu?
Kinachofanyika siku hizi sometimes wakijua kigogo ameshajua wao huwa wanagairi au kubadilisha kile alisema Kigogo ndio maana unazani siyo reliable .
Bimkubwa akijua jamaa kajua huwa anagairi au anabadilisha au ku delay kile alichoandika Kigogo .
Kwa hiyo wewe utaona mbona imekuwa tofauti kumbe awali ilikuwa kweli lakini ikagairishwa au kubadilishwa .