Washington Post: Hakuna namna Rais Magufuli anaweza kujitenga na uwajibikaji kutokana na matendo ya Makonda

Hivi wamexico bado wamezuiwa kuingia US.
 
Mkuu bhana, kwa hiyo yote yalioandikwa humo ndani,umeona hilo tu
Hatari sana
 
Kwani Trump alikuwa anazuia wahamiaji haramu au wamemexico
Wahamiaji haramu. Tatizo ni kwamba wengi ni wa Mexico, Honduras, Guatemala etc. Na ndiyo maana inaonekana kana kwamba ni wao wamepigwa pini. Mpaka wa Mexico na US hauna tofauti na mpaka wa Kenya na Tanzania kule Holili kama unafahamu. Ndiyo maana kuna maeneo Trump analilia ukuta.😎
 
Amri yake imetekelezwa au ilitenguliwa?
 
Amri yake imetekelezwa au ilitenguliwa?
Mkuu kuna amri alizozitoa ambazo zilionekana kana kwamba siyo za halali kwasababu ni kama zililenga mataifa ya kiislam. Na hivyo kukawepo na zuio la mahakama ili kuona kama katiba imevunjwa. Na kuna maamuzi ambayo mahakama ilikwishayafanya.
 
Dah...Dhahabu, Gesi, Uranium, na mwelekeo mwema Ni vitu hatari sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…