pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Asante mkuu...... ngoja tuangalie mabeberu wanavyotuandika kwani huku tulipo sie magazeti hayachapishwi tena
Nadhani mwandishi kwa wakati huo alikua kabendera.Huyu mpumbavu anatuletea habari ya mwaka 2018??! jinga kabisa, angalia hiyo link ya mwaka gani
Tanzanite? TBC?Magazeti yetu yanaandika habari zajiwe kugawa maburungutu ya Hela huko njiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli and Makonda are Tweedledee and Tweedledum.
Hakuna maelezo yoyote yale yenye kuingia akilini kwa nini mpaka sasa Makonda hajatumbuliwa ilhali kuna wengine wengi tu ambao wametumbuliwa kiajabuajabu.
Yaah!! Hii point inahitaji kuanzishwa kwa mjadala wa kitaifa.. Huyu jamaa ndiyo anaesababisha hadi magufuli anachukiwaMagufuli and Makonda are Tweedledee and Tweedledum.
Hakuna maelezo yoyote yale yenye kuingia akilini kwa nini mpaka sasa Makonda hajatumbuliwa ilhali kuna wengine wengi tu ambao wametumbuliwa kiajabuajabu.
Kwani hajasema mwaka?Huyu mpumbavu anatuletea habari ya mwaka 2018??! jinga kabisa, angalia hiyo link ya mwaka gani
Magufuli and Makonda are Tweedledee and Tweedledum.
Hakuna maelezo yoyote yale yenye kuingia akilini kwa nini mpaka sasa Makonda hajatumbuliwa ilhali kuna wengine wengi tu ambao wametumbuliwa kiajabuajabu.
Yaah!! Hii point inahitaji kuanzishwa kwa mjadala wa kitaifa.. Huyu jamaa ndiyo anaesababisha hadi magufuli anachukiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena balaa kubwa, katuharibia Jumapili yetu, kwa bad news, wahusika ni hakuna kulala, unaingia huku na kule, hata maombezi this time na kulia madhabahuni, yamegoma!.Pompeo kaleta balaa mjini
Kipi walichosema watu hawajui?Hii yote ilikuwa kazi ya Kabendera Erick tangu atunzwe sehemu salama hazipo tena
Mkuu nchi zote wamepuuza, Elitrea wako kimya, Kaz wamepuuza, Nigeria wanamtuma waziri akawasikilize, it's all about nonsense.Tena balaa kubwa, katuharibia Jumapili yetu, kwa bad news, wahusika ni hakuna kulala, unaingia huku na kule, hata maombezi this time na kulia madhabahuni, yamegoma!.
P
Mkuu hebu funguka kwa mapana manake inaonekana unayo mengi lakini unanibania.Tena balaa kubwa, katuharibia Jumapili yetu, kwa bad news, wahusika ni hakuna kulala, unaingia huku na kule, hata maombezi this time na kulia madhabahuni, yamegoma!.
P
wewe sikuizi ni wa kupuuza tu sio saizi ya zitto lakini unakuja kujifanya unahoja kumbe ni ujinga tuThe Washington Post, ndilo gazeti kiongozi la mabeberu duniani!, liliwahi kumngoa hadi rais wa Marekani kwa kwa kuibua ile kashfa ya Watergate iliyomuondoa rais Richard Nixon wa Marekani.
Kuna vingi vimesemwa humu ni vya kweli lakini pia kuna baadhi wameongeza chumvi kama ile ya ku arrest pregnancy girl, hawawi arrested bali wanafukuzwa shule!, wanaokuwa arrested ni the culprits, mafataki wanaowajaza watoto wetu mimba!. Ile issue ya Tandahimba ni wale wasichana waliopata ujauzito sio kuwa arrested bali walitakiwa kuhojiwa ili wawataje waliowapa ujauzito sheria ichukuwe mkondo wake, lakini kwa kuhofia mafataki kupigwa mvua 30, hivyo waliotiwa mimba kuteseka kwa kuzaa watoto bila malezi ya wenye mimba zao, wazazi wa mabinti walioamua ku collaborate na mafataki, ama wawaoe mabinti zao au watoe matunzo, wakienda jela ni mateso kwa binti yao na majanga kwa familia zao.
Tungekuwa na serious media, tungepata a development kuna yoyote alikuwa arrested?.
P
Wsshing post wameua....yaani wameyasema jama.yalivyo. CIA wanamjua Magufuli kuliko ambavyo hata ccm wenyewe wanamjua.What’s going on? Since 1961, Tanzania has been ruled by the same party, Chama Cha Mapinduzi (CCM). While it has never been a democracy, Tanzania had been better known as a safari tourism destination and as a donor darling. How have things become so repressive so quickly?
The answer lies in the 2015 election of John Magufuli as president. Since then, opposition politicians have been arrested, harassed and beaten. TV offices have been raided and newspapers suspended. Regime critics — journalists, business executives, oppositionpoliticians, student leaders — have been kidnapped, forced into exile or assassinated by “unknown assailants.” Some have never beenseen again. Much more violence outside Dar es Salaam hasn’t been reported, even in the Tanzanian pres
Mbona unapenda sana kumtenganisha Magufuli na Makonda ktk matendo yao? Lumtumbua makonda maama yake mi kujitumbua yeye mwenyewe. Magufuli= MakondaMagufuli and Makonda are Tweedledee and Tweedledum.
Hakuna maelezo yoyote yale yenye kuingia akilini kwa nini mpaka sasa Makonda hajatumbuliwa ilhali kuna wengine wengi tu ambao wametumbuliwa kiajabuajabu.
Huyu mpumbavu anatuletea habari ya mwaka 2018??! jinga kabisa, angalia hiyo link ya mwaka gani