Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Next time, mtu ukimpuuza, mpuuze jumla hata bandiko lake usihangaike nalo hadi kumjibu, you better save your precious time, utakuwa umenya jambo la maana sana.wewe sikuizi ni wa kupuuza tu sio saizi ya zitto lakini unakuja kujifanya unahoja kumbe ni ujinga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unalalamika unanunuliwa, wakati unanunuliwa ulikuwa wapi, usingizi!!Sana, wamezungumzia pia pesa kutumika kununua wapinzani nk. Wanafahamu kila kitu kuliko hata watanzania walio wengi.
Mtaalam wake wa mambo ya anga mkuu,hakuna jambo analofanya Makonda alfu Magufuli asije.Clouds alitumia walinzi wa ikuluMagufuli and Makonda are Tweedledee and Tweedledum.
Hakuna maelezo yoyote yale yenye kuingia akilini kwa nini mpaka sasa Makonda hajatumbuliwa ilhali kuna wengine wengi tu ambao wametumbuliwa kiajabuajabu.
Uchaguzi wa serikali za mitaa ilikuwa 2018??Huyu mpumbavu anatuletea habari ya mwaka 2018??! jinga kabisa, angalia hiyo link ya mwaka gani
Umeona buana... mtu mzima nimechapia na J3 yote hii. Doh! 😛 Nashukuru kwa masahihisho.sterling=starring
Mungu wabariki WazunguWanajamvi, hiki kipengele hapo chini, kimo kwenye hii makala ya Washington post inayosema “Democracy Dies in Darkness” ya mwaka 2018
“Makonda and Magufuli are too closely linked for the president to escape responsibility.“-The Washington Post.
Katika makala hiyo ambayo link nimeiweka, mwandishi huyo Rachael Mclellan, amechambuwa vilivyo. Pia wanasema issues ya ushoga CCM wanaitumia kama njama za kisiasa.
Matendo yote mabaya mfano kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, kushambuliwa kwa Lissu nk vyote vimeorodheshwa humo. Hata CCM kununua Wapinzani, ubambikiaji wa kesi kwa upinzani na wafanyabiashara vimetajwa.
Nimeona makala hii ni intersting zaidi baada ya ban aliyopigwa Makonda kuingia US
Kwa vyovyote vile, kumtarget Makonda ni kama vile ujumbe kwa Maghufuli(kwa wale waliokuwa wakijiuliza). Kwa maoni yangu, uchaguzi ujao utakuwa wenye changamoto kubwa sana kwa Taifa letu. Na wafadhili sasa wameshaanza kuona kuwa ccm siyo chama kizuri. Someni wenyewe...
Source: https://www.washingtonpost.com/news...g-schoolgirls-and-killing-opposition-leaders/
Wanajamvi, hiki kipengele hapo chini, kimo kwenye hii makala ya Washington post inayosema “Democracy Dies in Darkness” ya mwaka 2018
“Makonda and Magufuli are too closely linked for the president to escape responsibility.“-The Washington Post.
Katika makala hiyo ambayo link nimeiweka, mwandishi huyo Rachael Mclellan, amechambuwa vilivyo. Pia wanasema issues ya ushoga CCM wanaitumia kama njama za kisiasa.
Matendo yote mabaya mfano kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, kushambuliwa kwa Lissu nk vyote vimeorodheshwa humo. Hata CCM kununua Wapinzani, ubambikiaji wa kesi kwa upinzani na wafanyabiashara vimetajwa.
Nimeona makala hii ni intersting zaidi baada ya ban aliyopigwa Makonda kuingia US
Kwa vyovyote vile, kumtarget Makonda ni kama vile ujumbe kwa Maghufuli(kwa wale waliokuwa wakijiuliza). Kwa maoni yangu, uchaguzi ujao utakuwa wenye changamoto kubwa sana kwa Taifa letu. Na wafadhili sasa wameshaanza kuona kuwa ccm siyo chama kizuri. Someni wenyewe...
Source: https://www.washingtonpost.com/news...g-schoolgirls-and-killing-opposition-leaders/
Mda mwingine muwe mnaficha ujinga na upumbavu wenu ndio maana ccm tunaambiwa kuna vilaza kwa sababu ya watu kama nyie huwezi jenga hoja
Ukichezea maslai yao ni lazima watakuondoa tu ukiwa na nguvu wanakuundia vikundi vya waasi.Naona Nkuruzinza kaona isiwe tabu ya nn kwenda the hague atogombea
Kusingekuwepo kwa maslai ubalozi ungekuwa Kenya huwezijenga ubalozi tena Wa kudumu kama huna maslai nakoUSA ana maslahi gani bongo kama sio sisi tunawategemea hadi net naomba unitajia maslahi yao hapa Tanzania yaliyo guswa tuache visingizio tukubali tumejikwa na ni mda wa rais wetu kufanya marekebisho tunapo hisi tumejikwaa na tusonge mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye bold watu wajue mara ngapi!?Article nzuri sana, si kwa sababu inatuambia kipya ambacho wa Tanzania tunaofuatilia mambo hatujui, bali kwa sababu imekusanya mambo mengi pamoja, kwa hadhira ya kimataifa.
Nimependa sana alipoandika kuhusu "plausible deniability". Nimetoka kuongelea "plausible deniability" hapa JF nafikiri siku mbili tu zimepita.
Kwa sasa inabidi Magufuli awe mdogo tu na akubali amechemsha kumuachia Makonda, vonginevyo, watu watajua yeye ndiye anayemtuma.
That is a logical proposition, not a statement.Hapo kwenye bold watu wajue mara ngapi!?