1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Bas Vaa wigi la kiume inaakauwa kama una nywele za kawaida, watu hawawezi juaBrother I'm a medical person itanguwa nguvu sana
Okay. Nywele nzuri zenye afya ni matunzoWeek days huwa naosha nywele na maji mengi sipaki sabuni then weekends kama jpili hivi ndo naosha na shampoo, hio ya sulphate free nilikuwa siijui, naomba unisaidie jina la hio shampoo tafadhali
Please nipe hio process
Damn, hii steaming ndo kwanza naisikia leo.Okay. Nywele nzuri zenye afya ni matunzo
Kuwa na utaratibu wa kutunza nywele zako, fanya deep condition hii ndo inaitwa steaming walau mara mbili kwa mwezi kwa kupokezana maana zipo za aina mbili ya moisture na ya protein.
Mfano katikati ya mwezi utafanya moisture treatment
Mwisho wa mwezi utafanya protein treatment
Hizi products zote utapata maduka ya vipodozi ulizia steaming utapewa,ila usome maana wauzaji wengi hawajui tofauti.
Halafu ukiweza fanya
LOC- Liquid nyunyizia maji Oil paka mafuta yoyote ya maji na Leave in Conditioner (hii hata rojo ya bamia inafaa)
Kwenye Sulphate free shampoo zipo nyingi kama Aunt Jackie's, Cantu, Tresmme. Angalia mfuko wako
Yani ukizingatia kwa miezi mi3 tu lazima utaulizwa unapaka nini.
SIJUI UMENIELEWA[emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi kuhusu weusi wa nywele yaani nywele kuwa black na sio reddish au kupauka.Okay. Nywele nzuri zenye afya ni matunzo
Kuwa na utaratibu wa kutunza nywele zako, fanya deep condition hii ndo inaitwa steaming walau mara mbili kwa mwezi kwa kupokezana maana zipo za aina mbili ya moisture na ya protein.
Mfano katikati ya mwezi utafanya moisture treatment
Mwisho wa mwezi utafanya protein treatment
Hizi products zote utapata maduka ya vipodozi ulizia steaming utapewa,ila usome maana wauzaji wengi hawajui tofauti.
Halafu ukiweza fanya
LOC- Liquid nyunyizia maji Oil paka mafuta yoyote ya maji na Leave in Conditioner (hii hata rojo ya bamia inafaa)
Kwenye Sulphate free shampoo zipo nyingi kama Aunt Jackie's, Cantu, Tresmme. Angalia mfuko wako
Yani ukizingatia kwa miezi mi3 tu lazima utaulizwa unapaka nini.
SIJUI UMENIELEWA[emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima uwe na asili ya nywele πππ€π€tupo wengi aisee,
youtube ndo hapafai kila mtu anakushauri tofauti
natakaga niwe kama donald gloverπ
naelekea kukata tamaa
Kama kuna mtu ana hints zozote za kunipa, please share them.
unataka kusema nina para?Lazima uwe na asili ya nywele πππ€π€
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njia pekee ni kusuka
At least umempa hints ajue anafanyaje.1. Unaoshea nini? Osha na Sulphate free shampoo na usioshe kila siku fanya walau once per week.
2. Nywele kukatika means ni kavu..cha kufanya hakikisha unaipa unyevu nywele yako kila siku kwa kunyunyizia maji ndo uchane kifupi usichane nywele ikiwa kavu.
3. Ukishanyunyizia maji paka mafuta upendayo ungekuwa wa kike ningekupa process ila sasa kwa mwanaume najua huwezi so fuata tu hiyo
unataka kusema nina para?
Mideko!!
za kwangu ngumu kama steel wire....π π Unaweza kuwa na nywele lakini chache ,ziko Moja Moja au nyepesi...
Inabidi uwe na nywele nyingi na nzito
KOMWE, KOMWEEEE, KOMWEEEEEEEEE π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£nywele tamu shida YANAKATIKA SANA
Mmmh hii ndio steaming yenyew, mbona kama itakuwa ngumu sanaAt least umempa hints ajue anafanyaje.
Kuna mafuta flani hivi ya kukuza ndevu na zinafanya ziwe nyeusi na kunukia natumiaga, nikirudi home ntayapiga picha ntakutumia.Tunaopenda kufuga ndevu tufanye nini wakuu
Shukrani broKuna mafuta flani hivi ya kukuza ndevu na zinafanya ziwe nyeusi na kunukia natumiaga, nikirudi home ntayapiga picha ntakutumia.