Washkaji wenye Afro mnafanyaje nywele zinakuwa nyingi kiasi hicho

Jamaa anataka atie maji kila cku😂, unawaona wale akina Bob Marley
Hawatii maji kika siku,

Kuna kinyoz mmoja alikuwa anapga kaz katika kiSalon changu,, aiseee ana minywele cjapata ona,, hadi mabinti walikuwa wanataka kujua anafanyaje,, sema jamaa akaanza na kusuka akafu anapga kofia kwa juu,, siku akiamua kuyachana utazani Ludacris😂 ama snopp dogg dogg
 
Afro is magic, mimi huwa natia maji kila siku nikioga ila huwa situmii sabuni kwa sababu huondoa mafuta kwenye nywele nakupelekea kuwa kavu, natumia mafuta ya nazi kupaka. Pia kumbuka kuchana pindi unapotoka kuoga zikiwa mbich kuepuka kukatika kwa nywele
 
Week days huwa naosha nywele na maji mengi sipaki sabuni then weekends kama jpili hivi ndo naosha na shampoo, hio ya sulphate free nilikuwa siijui, naomba unisaidie jina la hio shampoo tafadhali

Please nipe hio process
Okay. Nywele nzuri zenye afya ni matunzo

Kuwa na utaratibu wa kutunza nywele zako, fanya deep condition hii ndo inaitwa steaming walau mara mbili kwa mwezi kwa kupokezana maana zipo za aina mbili ya moisture na ya protein.

Mfano katikati ya mwezi utafanya moisture treatment
Mwisho wa mwezi utafanya protein treatment
Hizi products zote utapata maduka ya vipodozi ulizia steaming utapewa,ila usome maana wauzaji wengi hawajui tofauti.

Halafu ukiweza fanya
LOC- Liquid nyunyizia maji Oil paka mafuta yoyote ya maji na Leave in Conditioner (hii hata rojo ya bamia inafaa)

Kwenye Sulphate free shampoo zipo nyingi kama Aunt Jackie's, Cantu, Tresmme. Angalia mfuko wako

Yani ukizingatia kwa miezi mi3 tu lazima utaulizwa unapaka nini.

SIJUI UMENIELEWA[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Damn, hii steaming ndo kwanza naisikia leo.
 
Vipi kuhusu weusi wa nywele yaani nywele kuwa black na sio reddish au kupauka.

Maana wengi tunatumia black shine.
Naomba utushauri kuhusu hizi black shine...
 
1. Unaoshea nini? Osha na Sulphate free shampoo na usioshe kila siku fanya walau once per week.

2. Nywele kukatika means ni kavu..cha kufanya hakikisha unaipa unyevu nywele yako kila siku kwa kunyunyizia maji ndo uchane kifupi usichane nywele ikiwa kavu.

3. Ukishanyunyizia maji paka mafuta upendayo ungekuwa wa kike ningekupa process ila sasa kwa mwanaume najua huwezi so fuata tu hiyo
At least umempa hints ajue anafanyaje.
 
Kwenye umri kati ya 19-24 nilikua nina nywele saana. Nina asili ya nywele saana. Hua inanibid kila wiki nishevu maana nywele zangu ni nyingiii hazikawii kuota. Kwa sasa nimeacha za kawaida tu...
Observe 🙈
Hapo napaka babycare tu
255763868910_status_003b24cf94c54ad98407d5c1511a3b12~2.jpg
 
Back
Top Bottom