Hebu wacha ujinga ndoto ni ndoto tu. Mbona hajaota kunyimwa dhamanaLema alie ota ndoto ananyimwa dhamana kwa maelekezo toka mbinguni,lakini hawa wanaomaliza rasilimali zetu wanapewa dhamana?.
Kweli mktaa pema pabaya panamwita(watu walikataa mabadiliko sasa wanaitwa na fisiemu).
Vipi waliota na kumtabiria Lowasa kifo walichukuliwa hatua gani?.Hebu wacha ujinga ndoto ni ndoto tu. Mbona hajaota kunyimwa dhamana
Kifuatacho ni kwa majahili hawa kutoroka nchi. Tuungane na Rais kupambana na ufedhuli huu.
Mungu aliwachukulia hatua, wamekufa wao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Vipi waliota na kumtabiria Lowasa kifo walichukuliwa hatua gani?.
Kulaani tu mkuu si ishu,kwani yule mtoto wa mbuge alokutwa na meno ya tembo na nyama za wanyama mbali mbali na kuhukumiwa kulipa faini tu ndani ya wiki moja nyie kama waandishi wa habari mmefanya nini?Tuungane, tushikamane kulaani haya mambo ya kuachiwa majangili. Wamekutwa na SMG 17 halafu wanaachiwa hivi hivi!! Noooo!
hahahaa, alivyoolewa akawa anawaruhusu wenzake kula mahindi. Baadaye akaona wanakula kwa fujo akamwambia bwana wake waweke wallinzi na akawaambia wenzake mahindi ya bure hakuna tena. Wale nyani wakakaa kikao na kusema ''sisi ndiyo tumemuweka hapo leo anatugeuka!, tumrudishie mkia wake''. basi wakatoka wakiimba, tumpelekee kia lake, atakama anakula? tumpelekee kia lake, atakama anaoga?........... walivyokuwa wanaimba yule nyani aliyeolewa akawa anaota manyonya, kucha ndefu na mwisho akaota mkia na kukimbilia porini. Jamaa atakuwa anaogopa kurudishiwa mkia.Hii hadithi ya nyani
Hii hadithi ya nyani naona ni nzuri dokeza kidogo mkuu
Mkuu Manyerere,ile whisky ushaimaliza au bado.Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.
Wazalendo tusimame imara.
Kweli bado vita dhidi ya ufisadi na ya uhujumu uchumi msumeno unakata upande mmoja kwa sehemu kubwa. Haki haitendeki kabisa kuleta uwiano wa hukumu kwa walioiharibu nchi hii. Mimi bila katiba kubadilishwa na haki kutendeka nitaendelea kutokuiamini serikali yangu daima.Katika hili sina Uzalendo wowote.
Hao jamaa waachiwe kabisa huru, sijaona kosa lao mpaka sasa, tunataka wakamatwe wahusika halisi wa Biashara hiyo na kushtakiwa.
Mimi bila Kinana kufikishwa mahakamani, sitavaa huo uzalendo kabisa.
UNA USHAHIDI NA UHUSIKA WA KINANA? WATU WAMEKIRI KWA SAUTI KUBWA KUPOKEA RUSHWA LAKINI WANAKULA RUSHWA ZAO MITAANI. MBAYA ZAIDI YOHANA KASEMA HATAFUFUA MAKABURI.Katika hili sina Uzalendo wowote.
Hao jamaa waachiwe kabisa huru, sijaona kosa lao mpaka sasa, tunataka wakamatwe wahusika halisi wa Biashara hiyo na kushtakiwa.
Mimi bila Kinana kufikishwa mahakamani, sitavaa huo uzalendo kabisa.
Kinana anahujumu uchumi kwa kuuza pembe za ndovu China. Nashangaa kwanini hadi leo yupo mtaani akila bata!!!!!UNA USHAHIDI NA UHUSIKA WA KINANA? WATU WAMEKIRI KWA SAUTI KUBWA KUPOKEA RUSHWA LAKINI WANAKULA RUSHWA ZAO MITAANI. MBAYA ZAIDI YOHANA KASEMA HATAFUFUA MAKABURI.
Mi nahisi ye ndo anawatorosha...kwanini hili halina maelekezo kutoka juu?Kifuatacho ni kwa majahili hawa kutoroka nchi. Tuungane na Rais kupambana na ufedhuli huu.