Kama ni kweli hakimu huyo kwisha kazi!!!!!
Haina dhamana kesi ya Lema za kuhujumu uchumi zina dhamana
Itabidi apongeze na kutoka kwake.ni yule mpemba JPM alipongeza kukamatwa kwake
Aje kufanyaje? Nakumbuka siku ile alisema kwenye vyombo vya habari kwa mbwembwe kweli " Mpemba tunaye mikononi" tena akamuuliza na katibu mkuu " unawaogopa" Katibu mkuu akijibu siwaogopi Mkuu. Ha ha leo ndio hivyo wapo nje kwa kesi ya uhujumu uchumi.Magufuli njoo huku
Hupaswi kuuliza. Unapaswa kuleta habari sahihi tofauti na hii unayoiona si sahihi.Hivi hizi habari mnatoaga wapi?
Kesi imeishatolewa hukumu au ni dhamana ndio imetolewa? Hebu tupe ufafanuzi hapa mkuuMsipende Kushangaa Kila Jambo Hata Mleta Mada
UnaweZa Kuwa Mchochezi Kwenye Hili
Unashangaa Kupata Dhamana Wakati Kesi Ya Mtoto Wa Mbunge Wa Mbalali Kule MBEYA
Kesi Imekuwa Nzuri Na Vidhibiti Vipo Ajabu Hukumu Yake Mlisikia Aliambiwa Chagua Hukumu Yako
Kifungo Cha Miaka 20 Ama Kulipa Thamani Ya Ndovu
Millions 138
Tetesi haipaswi kuondolewa. Kila atakayesoma hapa ataelewa kwamba hii ni tetesi. Kufuta tetesi ni kutunyima haki ya kujuwa tetesi.Kama hii tetesi haijathibitishwa hadi sasa Mods iondoeni hapa maana inalenga kuwagombanisha wananchi na mhimili wa mahakama.
Nani alikwambia nchi yetu inaangamizwa na majangili?
Huwezi kuwakamata Vibarua wa porini wenye njaa na wasio jitambua, halafu unakuja kutuambia hao ndio majangili wanaomaliza tembo wetu.
Nchi inamalizwa na makada wa CCM.
Embu fikiria, katika taifa lenye jeshi la Polisi, JKT, Jwzt, Kikosi cha wanyama pori, Mgambo, Polisi Jamii, TISS halafu........
Jangili gani huyo anayeweza Kukamata mamia ya wanyama mbali mbali kutoka Mbuga kuu, akasindikizwa na Msafara wa Kijeshi mpaka KIA, akaleta ndege kadhaa za Kijeshi kutoka Qatari, akawakunja Twiga na kuwaingia ndani ya ndege na kisha kuondoka.
Mbona kuna wengi tu walisema lowassa atakufa na hawajakamatwa hadi leo ziadi ya kuishia kupukutika karibu wanaishaLema alie ota ndoto ananyimwa dhamana kwa maelekezo toka mbinguni,lakini hawa wanaomaliza rasilimali zetu wanapewa dhamana?.
Kweli mktaa pema pabaya panamwita(watu walikataa mabadiliko sasa wanaitwa na fisiemu).
Hakunaga dhamana kwenye kesi zinazohusu ndoto na maono hasa ya wapinzani.
Kama sheria imeruhusu angefanyaje?Kama ni kweli hakimu huyo kwisha kazi!!!!!
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.
Wazalendo tusimame imara.
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.
Wazalendo tusimame imara.
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.
Wazalendo tusimame imara.
Tz tunao rais wengi,Kwani wewe rais wako ni nani?
Kifuatacho ni kwa majahili hawa kutoroka nchi. Tuungane na Rais kupambana na ufedhuli huu.
Hawana mahali pa kuwafunga ....labda Lema ndo anapakufungwa kisa ndotoWatuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.
Wazalendo tusimame imara.
Tz tunao rais wengi,
yupo yule rais mla rambirambi za watu,
rais wa simba sports club mr aveva,(huyu ndiye rais wangu)
rais wa wasafi classic mr diamond
rais wa daruso
rais wa tff mr malinzi n.k
ww unasemea rais yupi sasa??
Unaambiwa hii ya sasa ni zaidi ya zile .CCM ni ile ie.
Nimekubali mkuuUnaambiwa hii ya sasa ni zaidi ya zile .
Unasikia mtu anasema naomba niombee huu unafiki kabisaIla dhamana ipo kwa wabakaji (wale polisi wa Mbeya) na wahujumu uchumi (Meno ya Tembo).Wale waliokutwa na nyala za serikali mtoto wa mbunge alitolewa kwa fine ya kunua peremende, na yule mbunge aliyekutwa na silaha zinazotumika kuulia Tembo hadi leo hajaguswa.Kazi ipo.
Ila akina Lema wanatafutiwa sheria za mwaka 1928 za kuwekwa kizuizini au jela bila kusikiliza kesi.