Hahahaha mie siwezi panic kama unategemea hilo sahau. Ukweli unatakiwa uanze kuupokea wewe kuwa unachowaza hakiwezekani labda kwa kina kabwili USA ila sio bongo hii!Naona unaelekea kupanic sababu ya ukweli unaouchukia.Asubuhi njema mkuu
Hahahaha mie siwezi panic kama unategemea hilo sahau. Ukweli unatakiwa uanze kuupokea wewe kuwa unachowaza hakiwezekani labda kwa kina kabwili USA ila sio bongo hii!
Kuzaa sio laana kama utachukuliwa kwenu kwa adabu na kuveshwa pete kwa utaratibu sahihi na kwa baraka za wazazi pamoja na kanisa au msikiti.Naona unaelekea kupanic sababu ya ukweli unaouchukia.
Asubuhi njema mkuu. Kuzaa sio laana ni jambo jema sana kwa mwanamke na superwoman wengi wanapenda sana wawe na hela za kuwawezesha kusomesha watoto bila masimango kwa wenza wao.
Pole mkuu kwa kutendwa na huyo mwanamke wa NMB
Huo ni mfano tu sina demu NMB wala sijawahi kuwa nae. Ila na refer aina ya wanawake wajuaji walioangukia pua ni design ya hao. Kiburi cha kishamba kinawakosti sanaUmepanic mpaka umemtaja mtu wako wa NMB
Bongo kimeshaanza zaman mno
Kuzaa sio laana kama utachukuliwa kwenu kwa adabu na kuveshwa pete kwa utaratibu sahihi na kwa baraka za wazazi pamoja na kanisa au msikiti.
Kuzaa kama mbwa sio sifa japo wanawake wengi waliojifanyaga wajanja kama wewe wamenasa kwenye tundu bovu. Wanajifariji tu maskini.
Huo ni mfano tu sina demu NMB wala sijawahi kuwa nae. Ila na refer aina ya wanawake wajuaji walioangukia pua ni design ya hao. Kiburi cha kishamba kinawakosti sana
Hahahahahah we endelea kujifariji tu na huyo Shebbyπ kinyozi! Unahisi kila mtu mtoto humu...Hakunaga kuzaa kama mbwa. Daah kumbe umeumia sanaππππhuo ndo ukweli kubali tu. Wajanja wengi waliojitambua kama mie tupo kwenye ndoa tamu saaafi na watoto saba shule bomba
Hakuna demu ambaye ana guts za kunitosa π pole sana, mimi ndio navunja mkataba anytime nikitaka.Itakua alikutosa vibaya mno maana kukurupuka kuitaja taasisi isiyohusika na huu uzi ni jambo la kushangaza. Punguza ubabe sio kila mwanamke ni wa kutongoza ovyo mkuu
Wapo wengi mno, ukute mwanamke ndiye kapenda zaidi halafu umuonyeshe kujali, atakuletea mshahara wake muupangie budget[emoji1].Ukimpata Ke mfanyakazi/mfanyabiashara wa kukujuza pesa zake huwa zinaenda wapi mara tu akiwa ktk ndoa na mumewe niite chap nikupe zawadi nono nimekaa pale...[emoji3]
ππππππ saalekoomFanyeni kazi nyie acheni maneno mengi.
Hakuna demu ambaye ana guts za kunitosa π pole sana, mimi ndio navunja mkataba anytime nikitaka.
We nenda kapokee posho ya malezi ustawi π! Acha keleleWapo wengi ndo maana una uchungu sana na waliojitambua
Hahahahahah we endelea kujifariji tu na huyo Shebbyπ kinyozi! Unahisi kila mtu mtoto humu...
We nenda kapokee posho ya malezi ustawi π! Acha kelele
Mzee ulikuwa afisa mipango π mwanamke akipenda anakuwa kama chizi. Wengi hawajawahi kuipata hii bahatiWapo wengi mno, ukute mwanamke ndiye kapenda zaidi halafu umuonyeshe kujali, atakuletea mshahara wake muupangie budget[emoji1].
Nikiwahi kuingia kwenye mahusiano na Mwalimu mmoja (alikuwa ni mkuu wa shule fulani ya msingi), nilimtongoza ila baadae alizama sana mpaka nikawa najua kabisa hachomoi, baada ya miezi minne ya kudate (SIO NDOA) niliujua mshahara wake na 40% ya fedha zake nilitumia mimi ( kwa makadirio) tena kwa kuletewa kabisa.
Wanawake wakipenda huwa wanaingia mazima sana mkuu, huwa hawaoni kabisa.
single maza wenzio washachukua hela ya nusu mwezi jana we unabishana na mimiπππAiseee kumbe ndo unaishi kwa posho za ustawi
We single maza huna sera bana πππ unanichosha tu. Acha niwahi zangu job.Hee mkuu mbona unageuka tena na shebby ni mtu wako daah nilidhani nachat na mkaka ila kila mara unapiga uturn mara nmb mara shebby.
We single maza huna sera bana πππ unanichosha tu. Acha niwahi zangu job.