Wapo wengi mno, ukute mwanamke ndiye kapenda zaidi halafu umuonyeshe kujali, atakuletea mshahara wake muupangie budget[emoji1].
Nikiwahi kuingia kwenye mahusiano na Mwalimu mmoja (alikuwa ni mkuu wa shule fulani ya msingi), nilimtongoza ila baadae alizama sana mpaka nikawa najua kabisa hachomoi, baada ya miezi minne ya kudate (SIO NDOA) niliujua mshahara wake na 40% ya fedha zake nilitumia mimi ( kwa makadirio) tena kwa kuletewa kabisa.
Wanawake wakipenda huwa wanaingia mazima sana mkuu, huwa hawaoni kabisa.