Wasichana na wanawake tafuteni waume siyo wafanyakazi

Mimi sitafuti wanawake sasa nitawakimbia nini ??
 
Kwa upande wa dini yangu ya Kiislamu hakuna ndoa ya watu wa dini tofauti.
So,Dini ni muhimu bila hivyo itakua ndoa ya Wazinifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…