Wasichana na wanawake tafuteni waume siyo wafanyakazi

Wasichana na wanawake tafuteni waume siyo wafanyakazi

Mzee ulikuwa afisa mipango [emoji23] mwanamke akipenda anakuwa kama chizi. Wengi hawajawahi kuipata hii bahati
Yani kwenye issue ya kutafuna hela za mwanamke bila kuziomba sharti ni moja tu AKUPENDE AKUPENDE AKUPENDE, hakuna njia nyingi ambayo unaweza kuitumia kuzipata.
 
Huu ni ukweli mchungu ambao wanaume wengi hawaukubali
Yani kwenye issue ya kutafuna hela za mwanamke bila kuziomba sharti ni moja tu AKUPENDE AKUPENDE AKUPENDE, hakuna njia nyingi ambayo unaweza kuitumia kuzipata.
 
😂😂😂😂😂😂 saalekoom
Hizi kampeni zenu siku hizi zinashangaza.
Mlianza na KATAA NDOA
sasa mmekuja na nyingine hamtaki kufanya kazi.🤣🤣🤣
Dunia inaenda kwa kasi....
Lazima mwanamke apende mwanaume mwenye kazi ili awe na uhakika wa maisha. Ipo hivyo siku zote..ukipendwa wakati huna kazi ni bahati , msifanye iwe lazima.

Halafu mjue nyie wenyewe wanaume ndo mnasababisha haya sijui hata mnalalamika nini.
Mtoto wa kike akipeleka mchumba nyumbani nyie wazazi swali la kwanza mnauliza anafanya kazi gani. Na mara zote mnasikitika ikiwa binti kapenda mwanaume asie na mwelekeo.
Nini mnalalamika hapa?
 
Upo sahihi mkuu. Mwanaume akiwa jobless atateseka sana ndani ya nyumba. Ila teso kubwa ni ile kuanza zamu ya kuosha vyombo,kudeki,kupika,etc ni bora tu mwanaume abaki kubeba na na sio kubebwa

Tukiwa jobless mnatubeba sababu tunachakalika ndani ya nyumba. Mkuu utafurahi mkeo awe na ajira halafu wewe uwe baba wa nyumbani na kufanya zile kazi zote za ndani?
Nani anachakalika wakati mahouse girl wamejaa kila nyumba[emoji23][emoji23][emoji23]. Mliididimiza na kudharau sana role ya mama wa nyumbani, feminism ilivyoanza na inavyoendelea. Mnawadharau wanawake zenu ambao ni mama wanyumbani na kuona washamba, hivi kweli kuna siku mnatajaga hali halisi kweli[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hujaeleweka mkuu. Siku nyingine punguza kukurupukia comments za watu
Nani anachakalika wakati mahouse girl wamejaa kila nyumba[emoji23][emoji23][emoji23]. Mliididimiza na kudharau sana role ya mama wa nyumbani, feminism ilivyoanza na inavyoendelea. Mnawadharau wanawake zenu ambao ni mama wanyumbani na kuona washamba, hivi kweli kuna siku mnatajaga hali halisi kweli[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sista unaharibu uzi haki nakwambia, mtu akiwa mpya anasoma anazoea kwanza baadae akishapata uzoefu anaanza kutoa comments. Hapa ni either unatuigizia au umekosa cha kufanya. Tafadhari unaharibu thread, unajibu comment zote hata zisizo kulenga tafikiri wewe ndio mtoa maada. Acha izo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sista unaharibu uzi haki nakwambia, mtu akiwa mpya anasoma anazoea kwanza baadae akishapata uzoefu anaanza kutoa comments. Hapa ni either unatuigizia au umekosa cha kufanya. Tafadhari unaharibu thread, unajaribu comment zote hata zisizo kulenga tafikiri wewe ndio mtoa maada. Acha izo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kanichosha yaan namuangalia tu.
 
Upo sahihi mkuu. Mwanaume akiwa jobless atateseka sana ndani ya nyumba. Ila teso kubwa ni ile kuanza zamu ya kuosha vyombo,kudeki,kupika,etc ni bora tu mwanaume abaki kubeba na na sio kubebwa

Tukiwa jobless mnatubeba sababu tunachakalika ndani ya nyumba. Mkuu utafurahi mkeo awe na ajira halafu wewe uwe baba wa nyumbani na kufanya zile kazi zote za ndani?
Naunga mkono hoja.
 
Mwanamke akiwa bado Mdogo ki-umri ndo anakuwaga na Akili zake timamu na sio TOFAUTI na hapo! .

Ndo maana ukimuoa mwanamke wa umri 18-20 wanaweza vumilia up &down tofauti na hawa 30+
 
Pole mkuu. Vijana wa hovyo humu JF hawapendi uhuru wa mwanamke. Hawapendi mwanamke ajieleze kile takacho bali kile watakacho,uzi wako umewachoma na kuwauma sana.

Tuvijana tuvivu tuvivu tunaona kama umetusimanga kwa vile unaishi london walitegemea utakua tiketi ya kuwavuta huko ulipo.

Tukikubali kupeana uhuru humu hizi judgements za ajabu ajabu zitapungua na kuisha. Anatokea mburura mmoja na kutoa mifano ya wazazi wake mara nyenyenyee eti yeye alilelewa na mke kabla hajapata kazi.

Maisha ya saiv ni kusaidiana na sio kutegemeana na kupunjana. Wakaka,wababa,wababu wanalalamika kuchunwa pesa kila leo ila hawapendi mwanamke mwenye pesa awe na uhuru wa pesa zake
Usipende sana mteremko kusaidiwa na mwanamke,mwanamke hata kama anafanya kazi pesa yake sio yako.Kuna siku itakutokea puan
 
Mkuu mbona unanibadili jinsia?mie ni mwanamke,hii quote inanipeleka upande sio wangu
Usipende sana mteremko kusaidiwa na mwanamke,mwanamke hata kama anafanya kazi pesa yake sio yako.Kuna siku itakutokea puan
 
Hizi kampeni zenu siku hizi zinashangaza.
Mlianza na KATAA NDOA
sasa mmekuja na nyingine hamtaki kufanya kazi.🤣🤣🤣
Dunia inaenda kwa kasi....
Lazima mwanamke apende mwanaume mwenye kazi ili awe na uhakika wa maisha. Ipo hivyo siku zote..ukipendwa wakati huna kazi ni bahati , msifanye iwe lazima.

Halafu mjue nyie wenyewe wanaume ndo mnasababisha haya sijui hata mnalalamika nini.
Mtoto wa kike akipeleka mchumba nyumbani nyie wazazi swali la kwanza mnauliza anafanya kazi gani. Na mara zote mnasikitika ikiwa binti kapenda mwanaume asie na mwelekeo.
Nini mnalalamika hapa?
wazazi wanaompangia mtu wa kuolewa nae binti yao hawana akili
 
Back
Top Bottom