Wasichana wa elimu ya juu miaka ya 1960, na leo utasikia watoto wa siku hizi!

Hao ni wa huko ughaibuni, miaka ya 1960 Tanzania tulikua a graduate moja wa kiume Nyerere tu tena alikua na diploma ya ualimu biology kiswahili ya Makerere
uongo mkubwa sana, kuna wachaga walikua wamesoma kuzidi huyo mtu uliyemtaja hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…