Wasichana wa elimu ya juu miaka ya 1960, na leo utasikia watoto wa siku hizi!

Wasichana wa elimu ya juu miaka ya 1960, na leo utasikia watoto wa siku hizi!

Hao ni wa huko ughaibuni, miaka ya 1960 Tanzania tulikua a graduate moja wa kiume Nyerere tu tena alikua na diploma ya ualimu biology kiswahili ya Makerere
Hata wazungu miaka ya 60 hawakua wanavaa hivi. Hii picha ni AI
 
uongo mkubwa sana, kuna wachaga walikua wamesoma kuzidi huyo mtu uliyemtaja hapo
Wachagga wa wapi historia inasema alikua Nyerere tu na wahaya wawili ambao Nyerere hakuwapenda kabisa ali watenga na ku wa sideline kwenye siasa kwasbb walionekana kumpinga kiongonzi.
 
Back
Top Bottom