Wasichana wa Tanzania mmezidi kwa ufupi, tatizo ni nini?

Mkuu,pole kwa kuwa karibu na ardhi!🙏
 
Mtu mfupi africa hawezi kuwa na akili,nitajie mtanzani mfupi mwenye akili,ufupi wa africa ni utapia mlo,ukosefu wa lishe,lishe inaathiri ubongo,africa ufupi sio asili yetu ndio maana tuna vijana wa ovyo kwa sababu walikosa lishe utotoni
 
Nenda masaki na nenda Tandika

Hata ukiwa unafuga kuku ukitaka wakue haraka na kurefuka wape lishe bora
Ridhiwan Kikwete hana Lishe bora? Unakijua kimo chake?

Yule kakulia ushuwani tena ikulu na kuna wadogo zake ni wafupi nawafahamu.

Suala la lishe halina ukweli wowote. Mimi kama ni lishe umejichanganya manake mimi mwenyewe sijakulia maisha ya uswazi na nilikula chochote nilichohitaji lakini sina urefu wowote.
 
Asili Ya mtanzania sio ufupi,kuna tatizo la lishe,limeathiri miilo na ubongo wa kizazi hiki,hata hawa chawa nina wasi wasi nao ni matokeo ya kukosa kishe utotoni
 
Mtu mfupi africa hawezi kuwa na akili,nitajie mtanzani mfupi mwenye akili,ufupi wa africa ni utapia mlo,ukosefu wa lishe,lishe inaathiri ubongo,africa ufupi sio asili yetu ndio maana tuna vijana wa ovyo kwa sababu walikosa lishe utotoni
Umepewa mfano wa watu kutoka Sudan Kusini ni warefu hizo akili ziko wapi?
 
Huyo rizwan mama yake itakuwa alikuwa mbilikimo,mbona miraji ana urefu wa kawaida
 
Mtu mfupi africa hawezi kuwa na akili,nitajie mtanzani mfupi mwenye akili,ufupi wa africa ni utapia mlo,ukosefu wa lishe,lishe inaathiri ubongo,africa ufupi sio asili yetu ndio maana tuna vijana wa ovyo kwa sababu walikosa lishe utotoni
Tafsiri ya akili sijakuelewa umeiweka kwenye muktadha gani.

Kama kuwa na akili ni kumiliki uchumi basi hapo Tanzania wanaomiliki uchumi kuanzia wasanii hadi wafanyabiashara wengi ni wafupi ni futi 5.5 ama 5.

Nitajie jina la tajiri awe msanii ama mfanyabiashara mkubwa mwenye hicho kimo cha futi 6 kwenda juu.
 
Hutokea kwa nadra tu kwa cases kama za uliyemtaja.
NB;Ila watu "wafupi" tunanyanyasika sana.Uongo mkuu?
 
Mtu mfupi africa hawezi kuwa na akili,nitajie mtanzani mfupi mwenye akili,ufupi wa africa ni utapia mlo,ukosefu wa lishe,lishe inaathiri ubongo,africa ufupi sio asili yetu ndio maana tuna vijana wa ovyo kwa sababu walikosa lishe utotoni
Mo ana umbo dogo na ni mfupi lakini ndiye bilionea nambari moja Tanzania na Afrika Mashariki.

Huyo naye hana lishe bora? Fatima Dewji umemuona umbo la mwili wake? Ni mwembamba na mfupi lakini ni miongoni mwa familia zenye ukwasi mkubwa Tanzania.
 
Mtu mfupi africa hawezi kuwa na akili,nitajie mtanzani mfupi mwenye akili,ufupi wa africa ni utapia mlo,ukosefu wa lishe,lishe inaathiri ubongo,africa ufupi sio asili yetu ndio maana tuna vijana wa ovyo kwa sababu walikosa lishe utotoni
Nimekwambia Sudani kusini ndiyo nchi yenye watu warefu kuliko nchi yoyote Afrika lakini ndilo taifa masikini duniani.

Burundi wanapopatikana wahutu na watutsi kuna majitu marefu kweli kweli lakini ni taifa masikini kupindukia.

Africa magharibi unaposema kuna watu warefu mbona ni mataifa masikini kupindukia?

Ukianza na Burkina Faso, Chad, Gambia, Ghana nakadhalika. Wana uchumi na ubunifu gani kuwazidi Wajapani, Wachina na Wakorea walio wafupi chini ya futi 5?
 
Mie nilidhani ni huku Dom tu, kumbe hata wa huku Dar ni wafupi?
Binafsi nahisi tatizo ni kwamba vitoto vya kike vya nchi hii vinawahi sana kuanza kupigwa miti unakuta kibinti cha form 2 kinabeba mdingi wa miaka 55 tena mnene mwenye kitambi na uzito wa kg 120 hapo lazima binti anadumaa hakui wala kurefuka zaidi!
Nadhani serikali yetu ni sikivu italitazama hili nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…