Wasichana wa Tanzania mmezidi kwa ufupi, tatizo ni nini?

Kuna mambo ni aidha umeandika uongo au haujui sababu.
1-Nchi za Afrika magharibi ulizozitaja rudi ujiridhishe kuhusu uchumi wao.
2-Sudan kusini wamekuwa wanasumbuliwa(walikuwa)na Sudan ya waarabu/janjaweed ambao wameremba jina wanajiita Rapid Force Support (RPF).Na bado hawajatulia.Wanatwangana tu kuhusu utajiri.Ni nchi changa na itatupita nakuhakikishia.Ina utajiri wa mafuta kuliko imagination.
 
Ina make sense
 
Jeshi lenye nidhamu na linaloheshimika Tanzania ni JWTZ na ili uingie huko urefu sio kigezo kabisa ila jeshi la ovyo linalodharauliwa na raia wengi linaloongoza kwa ujambazi na kesi za kubambikia ili uingie huko urefu ni kigezo kwahiyo chagua mwenyewe.

Alafu usichokijua ni kwamba uzuri wa mwanamke ni Chura hivyo vingine ni ziada tu
 
Chuuuraaa?Nini chura bila sura?
NB;Ukipenda sana chura la mwanamke unazua hoja.Unaitakia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…