Wasichana wa Tanzania mmezidi kwa ufupi, tatizo ni nini?

Tumerithi kwa baba zetu
 
Huyo kaamua kuchangamsha kijiwe, kuna wakati tunahitaji kucheka tu.
 
Average height ya watanzania ni futi 5 inch 5. Halafu wewe unatafuta msichana wa futi 6, utakua na matatizo sio bure. Hata huko Rwanda average height haizidi futi 5 inch 7. Warefu wachache unaowaona kwenye tv na social media wasikuchanganye, sisi ni wafupi kiasili
 
Kwa sasa kila jamii utaikuta ina warefu na wafupi, mwingiliano wa makabila katika kuzaliana.

Kwa sasa sio kitu cha kushangaza kukuta jamii iliyokuwa inaaminika kuwa na watu majayanti kukuta ni wafupi na miili midogo.
 
 
Average inaenda 8naoungua kwa kasi sana kwa wanawake kuliko wanaume
 
Unakuta kimanzi kifupi kama stuli...sometimes vinakata steam ya kuvigegeda
 
Punguza jazba MTU mfupi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…