Wasichana wa Tanzania mmezidi kwa ufupi, tatizo ni nini?

Chanzo cha utafiti wako tafadhali.
 
Una hoja, naomba usikilizwe....
 
ni kweli kwa hapa kwetu wanawake ni wafupi.

ila ukienda Iceland utajikuta ukiwa ni mfupi kwa wanawake wa kule.

Mbona hukisema ni kwa nini wanaume wa East Africa ni wafupi tofauti na West Africa?

kinature mwanaume ni mrefu kuliko mwanamke.
Wanyarwanda wengi warefu
 
Ila ninachowapendea wanawake wafupi wanamapenzi ya dhati sana akikupenda anazama mazima tatizo lao ni wivu tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hayo ndo mazala ya style ya mbuzi kagoma,chuma tembele au ikalie mtoto atarefukajee apo.Wazee wetu hawakuaga na mbwembwee wao ni missionary tu pisi imenyoooka toto anatoka pia amenyokaaaa.
 
China wana askari futi nne kibao ila ndio wana jeshi imara miongoni mwao majeshi imara DUNIANI.
Badala upigie chapuo mambo muhimu kama teknolojia na maendeleo ya kifikra wewe unapigia chapuo urefu.
Ndio maana CCM inaendelea kutawala kwa uwepo wa akili kama hizi.
 
Bro, kama baba zao wafupi wao urefu wanautoa wapi?
Usisahau wanaume wafupi ndio waoaji.
sisi wengine tunachapa na kuchapa lapa
 
China amewahi kupigana vita ipi tukajua nguvu ya jeshi lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…