Wasichana wapiga mizinga, Mnajiaibisha mbele ya wanaume

Mbunye za saluni laki moja kwani zinatofautiana nini? Uliona wapi daladala bongo likawa na kiyoyozi?
Unaona sasa come oooon kukariri waachie form one bana
huyo kasema saloon anatumia laki, ila mie evelyn saloon natumia buku tu kukata nywele
kitumbua sio andazi grafani
 
li demu li moja: chuma cha mjerumani kisicho pata kutu mambo jamani?
chuma cha mjerumani: poa mamii mzima?

li demu li 1: nimekumiss chuma?
chuma cha mjerumani: me to. juzi mbona nilikupigia hukupokea na tulipanga uje home siunakumbuka mama watoto kaenda seminar ya offce dar atarudi leo

li demu li 1:nilikuwa kwenye birthday ya evlyn salt
chuma cha mjerumani:kwaiyoo baada ya kukuta missd call ulichukua hatua gani unakuja kunitafuta leo. wee mwanamke umeshaanza kugegedwa hukuaga hivyoo. ndo unataka nimuache wife wangu nikuoe wewe kwa tabia zako iziii siutaniua kwa presha

li demu li1: sawa bby siwez kukufanyia hivyoo mwache uyoo mke wako kwanza kakeketwa

chuma cha mjerumani:tuheshiame wewe mwanamke kakeketwa lakini hachepuki kama wewe.

li demu li 1; basi chuma hutaniwi?

chuma cha mjerumani: sijui ilikuaje nikawa na wewe mpare kwanza mlevi. unapenda staree. sijiu ni ayoooo ma chachandu uko kiuononi ndo umeniloga nayo

li demu li 1:ha ha ha babu wewe umelikoroga lazima utalinywa mm mpare sio uyoo manka wako aliekeketwa.

chuma cha mjerumani:tuheshimiane wewe mwanamke.

li demu li1:sasa bby wangu nitumie basi ile laki tatu niongeze ya kodi basi

chuma cha mjerumani:kimya

li demu li1: bby unafanyaje mbona kimya

chuma cha mjerumani;mke wangu karudi tutawasiliana baadae.
 
hahahahaaaa:thumbup::thumbup:
 
na nyie wanaume muachage mbwembwe za kujishebede nyie ndio mapedeshee...mtachunwa hadi damu shauri yenu....kuweni wa kawaida tu sio unajidai wewe ndio wewe mambo yako makubwa na nini....mnalo hiloooo hahahahahaaaaa kantangazeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Madesheee wenyewe kimya hawana makuu hata hawajioneshi
Ila hawa wenye hela za sigara na wengine wategemea boom kelele nyingi kama wale wadudu wanaotoboa mbao
 
li demu li moja: chuma cha mjerumani kisicho pata kutu mambo jamani?
chuma cha mjerumani: poa mamii mzima?

li demu li 1: nimekumiss chuma?
chuma cha mjerumani: me to. juzi mbona nilikupigia hukupokea na tulipanga uje home siunakumbuka mama watoto kaenda seminar ya offce dar atarudi leo

li demu li 1:nilikuwa kwenye birthday ya evlyn salt
chuma cha mjerumani:kwaiyoo baada ya kukuta missd call ulichukua hatua gani unakuja kunitafuta leo. wee mwanamke umeshaanza kugegedwa hukuaga hivyoo. ndo unataka nimuache wife wangu nikuoe wewe kwa tabia zako iziii siutaniua kwa presha

li demu li1: sawa bby siwez kukufanyia hivyoo mwache uyoo mke wako kwanza kakeketwa

chuma cha mjerumani:tuheshiame wewe mwanamke kakeketwa lakini hachepuki kama wewe.

li demu li 1; basi chuma hutaniwi?

chuma cha mjerumani: sijui ilikuaje nikawa na wewe mpare kwanza mlevi. unapenda staree. sijiu ni ayoooo ma chachandu uko kiuononi ndo umeniloga nayo

li demu li 1:ha ha ha babu wewe umelikoroga lazima utalinywa mm mpare sio uyoo manka wako aliekeketwa.

chuma cha mjerumani:tuheshimiane wewe mwanamke.

li demu li1:sasa bby wangu nitumie basi ile laki tatu niongeze ya kodi basi

chuma cha mjerumani:kimya

li demu li1: bby unafanyaje mbona kimya

chuma cha mjerumani;mke wangu karudi tutawasiliana baadae.

jamani jf niacheni nimalize lunch. ntapaliwa mie.
 
ahaaa ndugu haya mavitu yanatofautiana bwana hata radha kabisaa nakuapiyaa
Ni kweli kaka lakini kwa hizi za laki moja saluni zote sawa na daladala tu, kikubwa nauli yako. Mashine nzuri pioa zinajiheshimu lakini siyo hizo chakavu za kuhitaji overhaul zinazolazimisha ubabukubwa humu...
 
Back
Top Bottom