Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,942
- 4,230
Hatari sana mkuu, hizi ndio zenyewe kabisa 😃Kuna mmoja yuko pale Mbeya in one of the Dry cleaner mitaa ya Mafiati.
Ni mfupi then ana kishundu balaa 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana mkuu, hizi ndio zenyewe kabisa 😃Kuna mmoja yuko pale Mbeya in one of the Dry cleaner mitaa ya Mafiati.
Ni mfupi then ana kishundu balaa 🤣🤣
Kama Baba yako na Mama yako wafupi huwezi kuwa mrefuKiaje?
yule Dada ni mfupi then anamrindo mmoja hivi wakushetua kishundu chake 🤣🤣Hatari sana mkuu, hizi ndio zenyewe kabisa 😃
Wanasema uzuri wa mtu upo machining mwa yule anayemtazama mkuu, huenda wewe ulioona hawavutiii kwa Fundi manyumba au kwa Django doer wakawa wanavutia mpaka jamaa wanachanganyikiwaaaaaAnyway leo nimekaa mahali penye umati wa watu wengi kidogo.
Katika kutizama kwangu, nikawa nimeishia kukagua maumbo ya wanawake na sura zao.
Hitimisho.
Kati ya wanawake 258 niliowatazama kwa kuwahesabu.
60 walikuwa warefu wa wastani-Wazuri wakawaida.
72 Walikuwa wafupi kidogo - Uzuri mchanganyiko (weupe na wanene kidogo) waliongoza kwa uzuri.
50 Walikuwa wafupi wembamba not attractive.
36 Walikuwa wafupi wanene wanavutia kidogo ila sio sana.
40 Walikuwa warefu, na wote walikuwa wazuri.
Nani alishaona mwanamke mrefu m'baya wa sura na umbo? (Hakuna)
NB: Urefu ni kuanzia FT 5.5 na kuendelea.
Anyway I have daughters, wife and my mothers. Tathmini hii inawahusu wote.
Daaah ahahahà h wanasema there is no measure of true beutyWanasema uzuri wa mtu upo machining mwa yule anayemtazama mkuu, huenda wewe ulioona hawavutiii kwa Fundi manyumba au kwa Django doer wakawa wanavutia mpaka jamaa wanachanganyikiwaaaaa
Me ni mfupi huyo msijifariji5.5 kwa Ke ni mrefu, kwa Me ni wastani kabisa.
😂😂😂😂Me ni mfupi huyo msijifariji
Kweli kabisa.Mwanamke kufika 6 ni mara chache sana. Nenda sehemu yoyote kanisani, ofisini, darasani, uwanjani halafu angalia vimo vya wanawake waliofika 6 wanahesabika, mara nyingi wanaishia 5.7 hivi
Kipindi unaangalia ulikuwa na notebook kabisa ?🤔Anyway leo nimekaa mahali penye umati wa watu wengi kidogo.
Katika kutizama kwangu, nikawa nimeishia kukagua maumbo ya wanawake na sura zao.
Hitimisho.
Kati ya wanawake 258 niliowatazama kwa kuwahesabu.
60 walikuwa warefu wa wastani-Wazuri wakawaida.
72 Walikuwa wafupi kidogo - Uzuri mchanganyiko (weupe na wanene kidogo) waliongoza kwa uzuri.
50 Walikuwa wafupi wembamba not attractive.
36 Walikuwa wafupi wanene wanavutia kidogo ila sio sana.
40 Walikuwa warefu, na wote walikuwa wazuri.
Nani alishaona mwanamke mrefu m'baya wa sura na umbo? (Hakuna)
NB: Urefu ni kuanzia FT 5.5 na kuendelea.
Anyway I have daughters, wife and my mothers. Tathmini hii inawahusu wote.
Sijakuelewa😂😂😂😂
Kama ni mfupi hako kamguu kako kanaweza kuwa kama ka mtoto wa la sita wa kiumeee
Ebu njoo nikupime5.5 sio mrefu kihiivyo,
Acha kutusema basi🤣🤣 167cm sio mfupi kivile!Me ni mfupi huyo msijifariji
We upime mashimo ya chini nina hakika huko unajua vimo aina zoteEbu njoo nikupime
Mla kande kumbe shotiiiAcha kutusema basi🤣🤣 167cm sio mfupi kivile!
wafupi!Anyway leo nimekaa mahali penye umati wa watu wengi kidogo.
Katika kutizama kwangu, nikawa nimeishia kukagua maumbo ya wanawake na sura zao.
Hitimisho.
Kati ya wanawake 258 niliowatazama kwa kuwahesabu.
60 walikuwa warefu wa wastani-Wazuri wakawaida.
72 Walikuwa wafupi kidogo - Uzuri mchanganyiko (weupe na wanene kidogo) waliongoza kwa uzuri.
50 Walikuwa wafupi wembamba not attractive.
36 Walikuwa wafupi wanene wanavutia kidogo ila sio sana.
40 Walikuwa warefu, na wote walikuwa wazuri.
Nani alishaona mwanamke mrefu m'baya wa sura na umbo? (Hakuna)
NB: Urefu ni kuanzia FT 5.5 na kuendelea.
Anyway I have daughters, wife and my mothers. Tathmini hii inawahusu wote.
Kuna ofa yako hukuWe upime mashimo ya chini nina hakika huko unajua vimo aina zote