Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Tatizo wengi ni wanaume wa Dar!Wanaume wa JF most of them ni vishuka sana!
Hivi elfu kumi na tano ya kukuleta kulalama huku?...
Wanaume wengi wa humu wana umama umama sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti kati ya kuhonga na kuhudumia.Vivulana viko vingi! Wanaume hawalii ku-provide.
Ukiweza kujibu the meaning of being a men. ...hutarudia kuleta na kujaza seva kwa maneno yasiyona mashiko.
ROLE YA MWANAUME NI NINI? ?Ndiyo maana mashoga NI wanaume wasiojua majukumu ya kiume.
Kama unaona huwezi subiri ukiwa mwanaume ndipo utafute mwanamke. ..acha uasherati subiri ukioa ambapo NI umri sahihi wa uanaume hutaona shida kumuhudumia mwanamke kwani automatically utaprovide na wala hutaona kwamba siyo kazi yako
ila fesibuku unaweza??? acha utotoHizo sound tu katka research zang...cez kaa hostl na utu uzma huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nawewe ahaaaaasss kwishineiMwaka huu tutakoboa sana hizi mboga, juzi tu nimeipakua moja kwa shida yake ya elfu 10[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nimegundua walioliwa na wenye tabia hii ndo wanamind kuanikwa mipovu kibaooo....kusema ukweli co lazima utekwe..wana swaga za kishamba na njaaa kali ukimsalimia tu anageuka yatima anakufanya foundition au NGOs wanajiabisha kwakwel...Swagga hizo wakawale wengine lakina sio hapa mjini Daslam wamefeli...wabadilike
View attachment 570099 View attachment 570101
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshapita na wanaume wangapi mpaka sasa?? Don't hate ze game hate ze player
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] wa3Umeshapita na wanaume wangapi mpaka sasa?? Don't hate ze game hate ze player
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale ujumbe unapomfikia mhusika mubashara kabisaaaaaaa!!!Sasa kama ana shida kuombwa 15000 unatangaza ukiombwa mil si utafunga mtaa. Mbna pum**bu Zako zikibana unaomba show huangalii muda mliokutana wewe utakuwa wakiume sio mwanaume.