Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Jamii zote za kizamani zimepigana vita nyingi, zamani ili kuishi ilikuwa lazima uwe mtemi, kwahiyo Kila taifa linahistoria ya kulinda maeneo yake Kwa vita au kuteka maeneo mengine kwa vita.
Kila binadamu ana IQ kubwa issue ni kuwekeza na kuitumia hiyo IQ, Wapo watu wengi waliovumbua vitu vingi na sio Waisraeli, Greece ya zamani ilikuwa na wanascience wengi waliogundua vitu vingi tu, Egypt ya zamani ilikuwa na watu wengi waliogundua vitu vingi, Persia ya zamani, Ottoman nk.
Dunia ya sasa baada ya WW2 kuanguka kwa Japs, Nazi German na kugawanyika Kwa USSR na kuundwa Aliies ya west ikiongozwa na USA kumefanya lazima uwe nao ili uweze kusurvive na kuiishi dunia utakavyo, ukienda nje ya fikra na mipango yao lazima uingie kwenye shida.
Israeli yuko salama maana, hao wanaoitwa allies ndio wameianex Israeli pale kwa maslahi yao, kuwepo Israeli pale na kulinda maslahi yao pale lazima wamsupport Israeli kwa kila hali, Dunia haiko tayari kushuhudia superpower nje ya allies ili yasijirudie ya Japs, Nazi na USSR, hili linaifanya Israeli kuwa strong mashariki ya kati in support ya USA na allies.