Wasichokijua wengi kuhusu Israel

Wasichokijua wengi kuhusu Israel

Jamii zote za kizamani zimepigana vita nyingi, zamani ili kuishi ilikuwa lazima uwe mtemi, kwahiyo Kila taifa linahistoria ya kulinda maeneo yake Kwa vita au kuteka maeneo mengine kwa vita.

Kila binadamu ana IQ kubwa issue ni kuwekeza na kuitumia hiyo IQ, Wapo watu wengi waliovumbua vitu vingi na sio Waisraeli, Greece ya zamani ilikuwa na wanascience wengi waliogundua vitu vingi tu, Egypt ya zamani ilikuwa na watu wengi waliogundua vitu vingi, Persia ya zamani, Ottoman nk.
Dunia ya sasa baada ya WW2 kuanguka kwa Japs, Nazi German na kugawanyika Kwa USSR na kuundwa Aliies ya west ikiongozwa na USA kumefanya lazima uwe nao ili uweze kusurvive na kuiishi dunia utakavyo, ukienda nje ya fikra na mipango yao lazima uingie kwenye shida.

Israeli yuko salama maana, hao wanaoitwa allies ndio wameianex Israeli pale kwa maslahi yao, kuwepo Israeli pale na kulinda maslahi yao pale lazima wamsupport Israeli kwa kila hali, Dunia haiko tayari kushuhudia superpower nje ya allies ili yasijirudie ya Japs, Nazi na USSR, hili linaifanya Israeli kuwa strong mashariki ya kati in support ya USA na allies.
 
Wayahudi ni jamii iliyopigana vita vingi kuliko jamii yoyote.

Kabla ya Masiha, Wayahudi walitumia vita kama uthibitisho wa Mungu kuwa pamoja nao. Walipotenda sawa na mapenzi ya Mungu, waliwapiga maadui zao, tena kwa irahisi. Walipokengeuka, walipoenda vitani, walipigwa, na hata kuchukuliwa mateka na kupelekwa utumwani.

Kumepiganwa zaidi ya vita 100 kugombea mji wa Jerusalem pekee.

Mara baada ya Umoja wa Mataifa kutangaza rasmi uwepo la Israel, kumepiganwa vita 9.

Kwa myahudi, vita imekuwa ni sehemu ya maisha. Wayahudi ni watu wanaotajwa kuwa ni jamii yenye high IQ. Gunduzi nyingi za kisayansi zimefanywa na jamii hii. Jamii hii ya Wayahudi, inashikilia maeneo muhimu ya tekinolojia na biashara huko Marekani na Ulaya.

Wakati wayahudi waliopo Israel ni milioni 7.2 waliopo Marekani pekee ni milioni 7.5. Na hawa waliopo USA siyo watu hohehahe, wengi wao wanashikilia maeneo muhimu. Hiyo ndiyo sababu ya Marekani kudai kuwa daima itasimama na Israel. US inalipa fadhila, kwani hawa wayahudi wana mchango mkubwa sana wa maendeleo ya Sayansi, tekinolojia na biashara kwa Marekani na Ulaya.

Uimara wa jeshi la Israel kwenye vita unachangiwa sana maendeleo ya tekinolojia, uwezo mkubwa wa akili na uzoefu wa miaka mingi katika masuala ya vita.

Wasiojua, wanaamini kuwa Israel imekuwa tishio kwa Iran na makundi yake ya kigaidi kwa sababu inasaidiwa na Marekani. Jambo ambalo siyo kweli. Marekani inaisaidia Israel zaidi kwenye masuala ya kifedha, lakini siyo kwenye mbinu au utaalam wa vita. Kwenye utaalam wa vita, Israel ina uwezo wa kuifundisha Marekani.

Kwenye bajeti ya mwisho ya Marekani ya kuzisaidia Israel na Ukraine, Israel ilipata dola bilioni 60, Ukraine ilipata dola bilioni 90. Je, Ukraine iliyopata msaada mkubwa zaidi, imeweza kuisambaratisha Urusi?

Israel wamesema wazi kuwa wakati wowote Iran itakapofanya maendeleo kuelekea kutengeneza silaha za nuklia, itaenda kuipiga bila ya kusubiri maamuzi ya UN.

Vita ngumu kwa Israel ni hiyo ya Hamas kwa sababu inapiganwa ndani ya nchi yake, na kwenye maeneo yenye mjazano mkubwa wa raia. Lakini jeshi la Iran likisema liingine vitani na Israel, bila ya kujificha kwenye makundi ya raia, kama wanavyofanya Hamas, humkini Iran itapata pigo la kushangaza. Kauli ya balozi wa Iran UN inathibitisha hofu ya Iran kupigana na Israel. Balozi wa Iran UN, alizungumza kwa unyonge mkubwa akisema kuwa Iran inataka amani, wakati ni hii nchi ya Iran ndiyo ilikuwa ya kwanza kuwa na itikadi inayosema Wazayuni hawatakiwi kuwepo Duniani.

Israel kwenye vita dhidi Hezbolah itashinda kiurahisi kuliko dhidi ya Hamas. Makundi ya kigaidi yaliyoundwa na Iran, yanachukiwa na serikali zote za nchi za kiarabu. Pia mataifa ya kiarabu yana uhusiano wa kinafiki na Iran, kwa sababu ya Iran kutengeneza makundi ya kigaidi ili yaziondoe Setikali zote zinazoongozwa na Sunni muslims. Hata kundi la Hezbolah kule Lebanon lina uhasimu na Serikali, na linaungwa na baadhi tu ya waislam wa shia. Hivyo wala si ajabu, serikali ya Lebanon kutoa taarifa za kiintelijensia kwa Israel.

Kwa hali inavyoendelea, na kauli ya balozi wa Iran kwenye umoja wa mataifa, ni wazi Iran inataka ifanye kama ilivyofanya Misri. Misri baada ya kuongoza mashambulizi mara kadhaa dhidi ya Israel na kuishia kupigwa vibaya, mwaka 1979, iliomba kuwa na uhusiano wa kibalozi na Israel. Toka wakati huo hakujawahi kuwepo na vita baina ya Misri na Israel. Iran nayo inaonekana ima hamu ya kuitafuta hiyo njia, baada ya kuona njia ya mapigano na Israel, ni sawa na simba akiwa ndani ya maji kutaka kupigana na mamba.

"After several Arab-Israeli wars, Egypt was the first Arab state to recognize Israel diplomatically in 1979 with the signing of the Israel-Egypt Peace Treaty. It was followed by Jordan with the Israel-Jordan Peace Treaty in 1994. In 2020, four more Arab states (the UAE, Bahrain, Morocco and Sudan) normalized relations"
Wewe nae umeandika utopolo tu Balozi wa Iran ameongea lini?? Aliesema anataka amani ni Rais wa Iran Masoud Perzekshian ambae anajulikana ni mtu muoga sana...
 
Hiv unajua kwenye jeshi la Israel kuna waarabu na wanawapelekea moto waarabu wenzao
Ukimkuta ni Askari wa Miguu, Israel ni official Apartheid state inayotambuliwa na kila shirika la haki za Binadamu iwe Amnesty, Human Rights watch, UN etc.

Kuna waarabu Wakristo, Druze na waisilamu ambao ni Raia wa Israel, hawa ni wale ambao maeneo yao yapo mbali na western bank/Gaza, Treatment yao hapo Israel japo ni raia bado ni second citizens, hawaruhusiwi kusoma Shule na wayahudi, kutibiwa Hospitali moja na wayahudi mpaka Vitanda vya kujifungulia/upasuaji ni tofauti. Na wala hawaogopi kutoa hizo statement.

Na hata Ikitokea Kiongozi wa Israel ambaye ni Jew anaetaka Peace na Waarabu wanauliwa, mfano Yitzhak Rabin Aliye sign Oslo accord na peace treaty na Jordan aliliwa kichwa.

Hata jews ambao ni waarabu (Mizrahi) ama jews toka Africa (Ethiopia) treatment yao sio sawa na Jews Wazungu (Ashkenazi) ukiangalia list ya Viongozi wote WA Israel ni hao Ashkenazi.
 
Leta hiyo habari hapa

Apparent Israeli Air Attack Strikes Near Iranian City Of Isfahan​

Last updated (GMT/UTC): April 19, 2024 14:53 GMT

Israel's military reportedly struck targets inside Iran in retaliation for an unprecedented air attack Tehran launched last weekend on its sworn enemy, but the limited scope of the operation and a muted Iranian response appeared to indicate an escalation of the conflict had been avoided.
Reuters quoted an unnamed Iranian official as saying that Tehran “has no plan to strike back immediately.”

Tehran launched more than 300 drones and missiles at Israel in the early morning hours of April 14, almost all of which were shot down by Israeli defense systems, along with intercepts by forces from the United States, France, Britain, and Jordan.
 
Wewe nae umeandika utopolo tu Balozi wa Iran ameongea lini?? Aliesema anataka amani ni Rais wa Iran Masoud Perzekshian ambae anajulikana ni mtu muoga sana...
Kauli ya Rais, ni kauli ya nchi. Hivyo kama ni Rais wa Iran ametamka kuwa anataka amani, inamaanisha nchi ya Iran inataka.amani na wayahudi. Kauli ya Rais ina nguvu kuliko ya balozi. Asante kwa kunisahihisha, na kuongeza uzito wa kauli ya Iran kutaka amani na wayahudi., kwani kauli hiyo imetolewa na mkuu wa nchi.
 
Sema watu mko - Brainwashed haswa.But sikulaumu ni sababu ya taarifa ubongo wako unazipata na unachakata tangu ukiwa mdogo hasahasa kupitia biblia.
Biblia inaongelea pia historia ya wayahudi - mataifa yote ulimwenguni yamepigana vita mamia kwa mamia sio hao wayahudi tu unaokaa unawasifia, mataifa ya Ulaya yote hayo tangu vikiwa vinchi vya kifalme wanekuwa wakitwangana tu, Israel mwenyewe hiyo miaka ya nyuma alikuwa akipigana na watu wengine - na kuna mara kibao hao watu wengine yaliwashinda - na hiyo Yerusalemu imeharibiwa mara kibao.
Hata huku Africa vita vimepiganwa sana - SEMA NI WAVIVU KUFUATILIA HISTORIA ZETU NA KUANDIKA : ndo maana hizo taarifa huzipati.Nenda Asia mfano wanahistoria yao na ustaarabu wao wenye miaka maelfu nyuma huko..Kusambaa kwa ukristu kulikopelekea kusoma historia za wayahudi ndo kunafanya muone as if wao ndo wamekuwa kwenye vita tu...
Kuhusu masuala ya uwezo wa akili mataifa na watu wengi ulimwenguni wamefanya na wanafanya makubwa, kwani akina Dongote, Elon Mask, Alibaba n.k wote ni wayahudi, je kuna mataifa mangapi yapo mbele ya wayahudi kwenye kila kitu-standard of living, welfare? Mbona mengi tu..na wala huoni yakipiga kelele...
Kuhusu mgogoro wa sasa n.k wayahudi kama taifa wanagombana na vikundi vya watu tena ambavyo vimewekewa vikwazo na havitambuliki na jumuiya nyingi za kimataifa..sio nchi zile hivyo ni lazima avielemee tu
 
Wasiojua, wanaamini kuwa Israel imekuwa tishio kwa Iran na makundi yake ya kigaidi kwa sababu inasaidiwa na Marekani.
Hili la msaada wa Marekani kwa Israel sio suala la kuamini.Hii ni fact.

Israel ndiyo nchi inayopokea msaada mkubwa wa marekani kuliko nchi yoyote kwa mwaka ukiitoa Ukraine iliyoanza kupigana na Urusi 2022.

Bila misaada ya USA Israel si chochote si lolote.
Marekani inaisaidia Israel zaidi kwenye masuala ya kifedha, lakini siyo kwenye mbinu au utaalam wa vita. Kwenye utaalam wa vita, Israel ina uwezo wa kuifundisha Marekani.
Sio kweli Israel hana uwezo wa kuifundisha Marekani mbinu za kivita.

Sema Israel inaweza kubadilishana mbinu za kivita na Marekani kama ambabyo US wanaweza kutrain pamoja na kubadilishana mbinu na nchi kama poland au Kenya.Ni mambo ya kawaida tu kijeshi.

Kingine usichojua ni kwamba Mafunzo au mitaala ya kijeshi ya Israel ni copy and paste ya mifumo ya US.
Kwenye bajeti ya mwisho ya Marekani ya kuzisaidia Israel na Ukraine, Israel ilipata dola bilioni 60, Ukraine ilipata dola bilioni 90. Je, Ukraine iliyopata msaada mkubwa zaidi, imeweza kuisambaratisha Urusi?
Hapa ndo nimejua unaendeshwa na mapenzi zaidi kuliko uhalisia.

Ukraine hatoweza kuibomoa wala kuishinda russia hata apewe msaada mkubwa kiasi gani.

Yani ukraine nchi ambayo haipo hata kumi bora kijeshi duniani inayopigana kwa silaha za kuokoteza na kuombaomba iibomoe Urusi ambayo ni nchi ya pili kwa nguvu za kijeshi duniani?

Nakuhakikishia hata huyo Israeli hana uwezo wa kumshinda Urusi kivita.

Israeli anaonekana bora kwa sababu anapigana na very weak opponents ambao hawana AD hawana ndege za kivita hawana silaha za kueleweka zaidi ya silaha za kuungaunga ambazo nyingine ni home made.
 
Ukimkuta ni Askari wa Miguu, Israel ni official Apartheid state inayotambuliwa na kila shirika la haki za Binadamu iwe Amnesty, Human Rights watch, UN etc.

Kuna waarabu Wakristo, Druze na waisilamu ambao ni Raia wa Israel, hawa ni wale ambao maeneo yao yapo mbali na western bank/Gaza, Treatment yao hapo Israel japo ni raia bado ni second citizens, hawaruhusiwi kusoma Shule na wayahudi, kutibiwa Hospitali moja na wayahudi mpaka Vitanda vya kujifungulia/upasuaji ni tofauti. Na wala hawaogopi kutoa hizo statement.

Na hata Ikitokea Kiongozi wa Israel ambaye ni Jew anaetaka Peace na Waarabu wanauliwa, mfano Yitzhak Rabin Aliye sign Oslo accord na peace treaty na Jordan aliliwa kichwa.

Hata jews ambao ni waarabu (Mizrahi) ama jews toka Africa (Ethiopia) treatment yao sio sawa na Jews Wazungu (Ashkenazi) ukiangalia list ya Viongozi wote WA Israel ni hao Ashkenazi.
Umefika mzee au unahadithiwa. Kila mahali na kila binadamu ni mbaguzi kwa namna moja ama nyingine, wayahud na waarabu shule ni hizo hizo sema ishu ni kuwa hawaaminian so hizo jamii zimetenganishwa kwenye mambo flan flan kwa usalama wao wenyewe. Lakini sio kwa maana ya ubaguz coz wayahud wameish na waarabu miaka yote bila shida, tatizo lilianza pale wayahud wa nje ya Israel walipouwawa kwa wingi nje so nao wakaamua kurud kwenye asili yao. Na kwa mfano Jerusalem kuna geti kila mahali sio kwa ubaguz ni kwa usalama mwarabu haaminiki. Japo kama nilivyosema kila jamii haikosi wabaguz. Hata hapa bongo wapo wabaguzi.
 
Haya majamaa yana akili sana.

Kipindi Yakobo (Israel) amerudi Kaanani toka uhamishoni kwa mjomba wake Labani, akirudi na wake zake pamoja na watoto. Kuna kijana mmoja mtoto wa mfalme akajipendekeza na kumbikiri mtoto wa Yakobo. Kisha akaenda kuomba aoe kabisa. Watoto wa kiume wa Yakobo waliporudi to machungani na kukuta hizo taarifa wakasema huyu jamaa fala sana yaani anamtendea dada yetu kama kahaba. Ngoja tuone.

Basi wale watoto wa Yakobo wakawaambia ninyi hamtairi magovi yenu, mkitaka kuoa dada zetu tairini magovi yenu. Basi amri ikapita katika ule ufalme wanaume wote watairi magovi yao. Siku wametairiwa, jamaa wakawaacha siku kadhaa vidonda vikomae, halafu wakachukua mapanga na kwenda kuwauwa wote kwa kosa la kimharibu dada yao. Yaani hata Yakobo baba yao aliogopa kwa yaliyofanywa na watoto wake

Kwahiyo hawa jamaa qana akili ya kipigana toka zama zile.

Kumbuka pia mwenye jina la Israel yaani Yakobo alipigana mieleka na malaika na akashinda, leo Ayatollah au Nasrallah unategemea atamshinda Yakobo?
ahaaaa ahaaa upo sahihi sana
 
Hakuna nchi inaogopwa duniani kama Iran kwa makombora ya nyuklia iliyonayo na godfathers wake China, Urusi na India ambao juzikati wametamka wazi ukiigusa Iran watakuja na wao.

Hata Iran waliporusha makombora Israel na yakatua Marekani waliionya Israel isijibu na ikaufyata mkia, haikujibu kwa vita bali inasidikika ilimuua tu Rais wao tu.

Mleta Mada nakushauri jifunze zaidi kuhusu uhasama wa Iran na Israel. Bado huna taarifa za kutosha. Hii ni vita ya tembo wawili sio tembo na swala. Ni vizuri kufahamu pia kuwa hata Lebanon hawawezi kuingia maana wameshajaribu vita mara nyingi na wakauawawa sana mpakani na kukimbia wanachotegemea ni mashambulizi ya anga na si ground invasion sababu wanapoingia kivita Lebanon Syria, Iraq na Lebanon huwachangia.
Toka lini Iran amekuwa na makombora ya nyuklia?
 
Acha mboyoyo za kindezi hapa kuwapamba hao machoko,unadhani unajadiliana na ndezi wenzako humu sio ? unajua nini wewe kuhusiana na gunduzi za sayansi na teknolojia wewe ?
Unajua Iq ya Koreans au Japanese wewe ?
Jews hata hawamo kwenye top five list ya most intelligent ethnics Kwa taarifa yako , acha ushamba wa mapastor feki wenu hao , mko brainwashed kama zombies , mazafakaz you can't even think on your own .
Unaweza kutuwekea idadi ya scientific discoveries patents za mazayuni hapa ina comparison na ethnics za white Caucasians WA kijerumani ,English ,Dutch ,French .
Japanese, Indians ,Chinese nk throughout history mpaka sasa ?

Unajua ni idadi ngapi ya scientific discoveries zimefanywa na wachina
Ngoja nikutajie mmoja. Newton unamjua mkuu? Wagunduzi wakubwa duniani ni Waisrael wanaishi katika mataifa mbalimbali hapa duniani. Na wamebobea sana kwenye sector ya mawasiliano.
 
Umefika mzee au unahadithiwa. Kila mahali na kila binadamu ni mbaguzi kwa namna moja ama nyingine, wayahud na waarabu shule ni hizo hizo sema ishu ni kuwa hawaaminian so hizo jamii zimetenganishwa kwenye mambo flan flan kwa usalama wao wenyewe. Lakini sio kwa maana ya ubaguz coz wayahud wameish na waarabu miaka yote bila shida, tatizo lilianza pale wayahud wa nje ya Israel walipouwawa kwa wingi nje so nao wakaamua kurud kwenye asili yao. Na kwa mfano Jerusalem kuna geti kila mahali sio kwa ubaguz ni kwa usalama mwarabu haaminiki. Japo kama nilivyosema kila jamii haikosi wabaguz. Hata hapa bongo wapo wabaguzi.
Ni kweli kila jamii haikosi ubaguzi ila ubaguzi wa Israel upo kwenye Katiba, Hapo Jerusalem si ndio Wakristo kila siku wanatemewa mate? Ushaona hata siku moja myahudi kakamatwa kwa kumtemea mate Mkristo? Wakilala wakiamka tu leo hamna ibada ujue hakuna ibada. Na mpaka Ukiona makundi yote ya haki za Binadamu hadi yale ambayo ni pro west wanasambaza Propaganda za west kila siku na ila kwa Israel wanakubali ni Apartheid State ujue hilo ni jambo halina shaka, sijui hata unalitetea vipi.

Hii research inaelezea vizuri
 
Hili la msaada wa Marekani kwa Israel sio suala la kuamini.Hii ni fact.

Israel ndiyo nchi inayopokea msaada mkubwa wa marekani kuliko nchi yoyote kwa mwaka ukiitoa Ukraine iliyoanza kupigana na Urusi 2022.

Bila misaada ya USA Israel si chochote si lolote.
Sio kweli Israel hana uwezo wa kuifundisha Marekani mbinu za kivita.

Sema Israel inaweza kubadilishana mbinu za kivita na Marekani kama ambabyo US wanaweza kutrain pamoja na kubadilishana mbinu na nchi kama poland au Kenya.Ni mambo ya kawaida tu kijeshi.

Kingine usichojua ni kwamba Mafunzo au mitaala ya kijeshi ya Israel ni copy and paste ya mifumo ya US.
Hapa ndo nimejua unaendeshwa na mapenzi zaidi kuliko uhalisia.

Ukraine hatoweza kuibomoa wala kuishinda russia hata apewe msaada mkubwa kiasi gani.

Yani ukraine nchi ambayo haipo hata kumi bora kijeshi duniani inayopigana kwa silaha za kuokoteza na kuombaomba iibomoe Urusi ambayo ni nchi ya pili kwa nguvu za kijeshi duniani?

Nakuhakikishia hata huyo Israeli hana uwezo wa kumshinda Urusi kivita.

Israeli anaonekana bora kwa sababu anapigana na very weak opponents ambao hawana AD hawana ndege za kivita hawana silaha za kueleweka zaidi ya silaha za kuungaunga ambazo nyingine ni home made.
Umeeleza vizuri
 
Umeandika ukweli mtupu mkuu huko Gaza IDF walishamaliza kazi kilichobakia ni kusafisha masalia ya wanamgambo wa Hamas, na hii vita imechukua muda mrefu sababu hakuna nchi ambayo wapelestina wanaweza kwenda kukimbia mapigano japo wanatamani sana sasa hii imekuwa advantage kwa Hamas maana na wao wanapata muda wa kujificha humo humo ndani ya raia na kufanya mashambulizi ya kushtukiza kwa IDF.

Kwa upande wa Lebanon kama Israel itafanya ground operation kazi haitakuwa ngumu sana kupambana na wanamgambo wa Hizbullah maana asilimia kubwa ya raia wanauwezo wa kuhama maeneo hayo na kwenda nchi za jirani bila shida na yyte atakayebaki atahesabika kama mgambo wa Hizbullah hivyo kuwa legitimate target .
 
Ngoja nikutajie mmoja. Newton unamjua mkuu? Wagunduzi wakubwa duniani ni Waisrael wanaishi katika mataifa mbalimbali hapa duniani. Na wamebobea sana kwenye sector ya mawasiliano.

Newton ni Muingereza mkuu, nitajie wagunduzi kumi maarufu duniani tutafute wayahudi NI wangapi?

Jaribu kutafuta sababu kwanini Adolph Hitler alitaka kuwaangamiza wayahudi.
 
Ngoja nikutajie mmoja. Newton unamjua mkuu? Wagunduzi wakubwa duniani ni Waisrael wanaishi katika mataifa mbalimbali hapa duniani. Na wamebobea sana kwenye sector ya mawasiliano.

Newton - Muingereza.
Galileo - Muitaliano.
Archimedes - Mgiriki.
 
Ni kweli kila jamii haikosi ubaguzi ila ubaguzi wa Israel upo kwenye Katiba, Hapo Jerusalem si ndio Wakristo kila siku wanatemewa mate? Ushaona hata siku moja myahudi kakamatwa kwa kumtemea mate Mkristo? Wakilala wakiamka tu leo hamna ibada ujue hakuna ibada. Na mpaka Ukiona makundi yote ya haki za Binadamu hadi yale ambayo ni pro west wanasambaza Propaganda za west kila siku na ila kwa Israel wanakubali ni Apartheid State ujue hilo ni jambo halina shaka, sijui hata unalitetea vipi.

Hii research inaelezea vizuri
Si bora hapo sheikh mimi kwenye maisha yangu ya biashara nimekaa na kuzunguka zaid ya mataifa yote ya kiarabu tena mjin na vijijin. Na bila upendeleo kama wewe ni mkweli na unaongozwa na ukweli katika jamii ya wanadam hakuna watu wabaguz kama waarabu tena ukiwa mweusi we ni takataka kabisa ikafuatiwa na wahind halafu Russia then German na. Ubaguzi uliopo Israel ni wa kawaida sana kwanza hao unaosema wanaotemea watu mate ni jews jamii ya orthodox watu wa dini. Ila wengine mi nimeenda pale zaid ya mara kumi unakuta ni ubaguz wa kiusalama zaid sio wenyewe maana kuna wakimbiz kama wote kutoka Eritrea Ethiopia nk na kuna jews black pia. So mzee baba ukitaka ubaguz nenda uarabun wale ni mbwa kabisa. Ni uwezo wa akili tu hawana tungekoma.
 
Kwa data Zipi? Sina muda wa kubishana hii mada maana nishaiongelea sana ila tusifike huko,

1. Wa Ethiopia na wahamiaji wengine Israel wanahasiwa
2. Rabi mkuu wa Israel wazi wazi anasema Wa Africa ni nyani wa natakiwa kuwa watumwa
3. Ni. Kawaida kwa Mu Israel kumchukua mtu mweusi na kumfanyia mambo ya Dhihaka
images (35).jpeg

4. Kuna wanasiasa kibao wa Israel mpaka mawaziri wanaojiita kabisa proud racist.

At same time hao waarabu unaowasema
1. Nchi kibao za Kiarabu zimeisha kuwa na viongozi level ya Uraisi weusi
2. Watu weusi wanaitwa tu waarabu huko na wanapata haki zote kama wanazo pata waarabu wengine mfano mzuri malaki ya Wazanzibari wapo Oman ushawahi sikia hata siku moja kuna mtifuano wa Wazanzibari na wa Oman? Wote wana Co exist peacefully.
3. Kuna Malegend kibao weusi kuanzia wachezaji mpira, wanamuziki na wengineo ambao ni weusi na wanaheshimika huko Nchi za kiarabu.
 
View attachment 3110378

Bro nimekuambia kuna ubaguz wa jamii kubwa na watu wachache katika jamii kubwa. Kuna vitu huhitaji kuhadithiwa tembea ni wewe tu kuiona duniani katika upande mwingine. Hakuna mtu shetan kama mwarabu na katika kutembea kwangu hakuna watu wakarimu kama watu kutoka Yugoslavia. Wale watu kama ipo mbinguni na kigezo ni ukarimu basi wataingia wote. Na hakuna watu special kama wa Japan. Wale watu wanatabia karibu moja nchi nzima.
 
Tatizo lako wewe unataka utuhadisie mambo ya kizamani yale, siku hizi kuna kila kitu eka ushahidi wa maana na sio "trust me bro evidence"

Na mimi sijifichi mimi ni mwarabu kwetu Oman, ukoo wetu mzima ni Mixture baina ya weusi na waarabu, Babu yangu mmoja mweusi na bibi Mwarabu, sijaona hata siku moja wakibaguliwa na waarabu weusi Omani hawabaguliwi, inshort ndio wengi wapo kwenye Serikali, mpaka Sultan wa sasa na Qaboos wote ni Mixture ya waarabu na weusi, Same kwa Nchi kama Quwait walikuwa na Amir mweusi, Saudi, na Nchi nyingi kuna Royal Families weusi.

Convince me Nchi yenye Ubaguzi kuliko zote duniani kwanini viongozi wao ni weusi? Iweje matajiri weusi watoke huko?
 
Back
Top Bottom