Wasichokijua Wengi Kuhusu Marko 10: 25 katika Biblia

Mpaka leo najiuliza Yesu akiwa kama Rabi, yaani mwalimu, aliwezaje kutoa mfano wa ngamia as mnyama na tundu la sindano [emoji17] mbona ni irrelevant sana, i do not know
Na ndipo hapo utakapogundua kwamba hakumaanisha ngamia mnyama!
 
Ndiyo mkuu, Camel ina maana zaidi ya moja kwa Kiingereza, ngamia mnyama na maana ya pili ni kamba, prove mwenyewe utaona!

IMG_9026.jpg

IMG_9027.jpg

Soma kwanza hii, halafu tuendelee na mjadala
 
Wanaosema mnyama sio wote pia wanamaanisha tundu la sindano, sindano ya kushonea ndugu yangu, [emoji2][emoji2] they meant gate
If thats a case, kwa nini aseme tundu la sindano badala ya mlango ilihali huku mwanzo ametumia ngamia akimaanisha mnyama straight? Ukiangalia tafsiri ya Kilatini, Kiingereza na Kiswahili, vyote vinaunga mkono nilichokieleza pale juu lakini haviungi mkono hoja kwamba tundu la sindano lililomaanishwa ni geti!
 
Sasa mkuu ukiangalia tafsiri yako hii ambapo tuna-assume tundu la sindano ni metaphor (hatuwezi kuthibitisha) ambayo maana yake ni mlango mdogo, ukiangalia na tafsiri niliyoitoa pale juu, unadhani ipi ina make sense zaidi?
Chief, ebu jiulize, ni kweli kuwa ngamia (kamba) inaweza kupenya kwenye tundu la sindano? Ebu nipe jibu kisha tuanzie hapo.
 
View attachment 1652052
View attachment 1652053
Soma kwanza hii, halafu tuendelee na mjadala
Kaazi kwelikweli! But tunakubaliana kwamba alikuwa anazungumza na wafuasi wake ambao kwao mifano ya uvuvi na kamba za meli ilikuwa inamake sense zaidi kwa kuwa wengi walikuwa na asili ya uvuvi! Lakini pia ukisoma hapo kwenye bandiko lako, anakwambia hilo geti lilikuwa linaitwa needle's eye, lakini kwenye tafsiri ya Kiingereza ya Bible, haijasema 'needle's eye bali needle. So bado kilichomaanishwa hapa kilikuwa ni kamba!
 
Let me tell you guys, iko hivi.

Wanaosema TUNDU LA SINDANO (sindano ya kusukia/kushonea) hawamaanishi NGAMIA mnyama, bali kamba ya kufungia nanga.

Wanaosema NGAMIA MNYAMA hawamaanishi tundu la sindano, sindano ya kufumia, bali geti dogo la kuingilia mji wa Yerusalem ambalo liliitwa "Eye of the needle" ambapo Ngamia mnyama hakuweza kupita.

Sasaa,

Biblia ya Kiswahili ilipata tafsiri yake toka Lugha ya kiingereza, je neno NGAMIA lililotafsiriwa kutoka lugha ya kiingereza ya neno CAMEL ilimaanisha mnyama au kamba?

Huenda kuna kimoja hapa kati ya mnyama au kamba hakiitwi ngamia, ila tuna force kukiita ngamia ili kipate maana y kibiblia kulingana na msimamo mmoja kati ya ile miwili pale.

Je wakati biblia inatafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili neno NGAMIA lilitumika kumaanisha kamba au Mnyama? [emoji16]
 
Imesema eye of the needle
 
Hoja ya hiki kitu kuwa kamba inapata nguvu since Yesu alikuwa akizungumza na wana maji. [emoji23][emoji23]

I second this argument,
 
K
Katika kitabu kitakatifu cha Biblia, Marko 10: 25 inasema: Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.

Wanachokielewa wengi, wakiwemo baadhi ya watumishi wa Mungu, ni kwamba ngamia anayezungumziwa hapa ni yule mnyama mwenye nundu kubwa mgongoni, pengine hata wewe kwa miaka mingi umekuwa ukijua hivyo.

Hata hivyo, ngamia iliyomaanishwa hapa, ni kamba! Ndiyo, kamba! Zile kamba nene zinazotumika kuvuta kwa mfano meli iliyozama na kadhalika. Makosa ya tafsiri hii yanaanzia kwenye kufasiri kifungu hiki cha Biblia kutoka kwenye Kiingereza kuja kwenye Kiswahili. Kwa Kiingereza, Mark 10:25 inasomeka hivi: It is easier for a camel to go through the eye of a needle than for a rich person to enter the kingdom of God.

Ukichukua kamusi yako, angalia maana ya neno camel, ya kwanza utaona ni ngamia mnyama lakini kuna maana ya pili ambayo ni hii: Camel: An apparatus for raising a sunken ship, consisting of one or more watertight chests to provide buoyancy. Kwa tafsiri nyepesi, ni kamba nene zinazotumika kuvuta meli iliyozama...

Kwa commoni sense ya kawaida tu, ngamia mnyama anawezaje kufananishwa na kupenya kwenye tundu la sindano? Hakuna uhusiano wowote, lakini kuna uhusiano wa kamba nene kupenya kwenye tundu la sindano kwa sababu kamba nyembamba (uzi) unapenya kirahisi!

Kwa hiyo tunahitimisha kwa kusema, ngamia/camel inayomaanishwa kwenye bible ni kamba. I stand to be corrected!

View attachment 1651630
Kaa tu Mkuu
Corretion itachelewa!
 
Chief, ebu jiulize, ni kweli kuwa ngamia (kamba) inaweza kupenya kwenye tundu la sindano? Ebu nipe jibu kisha tuanzie hapo.
Ukiangalia kwenye relevance kati ya ngamia (kamba) na tundu la sindano, unaona ina make sense. Yaani kamba nyembamba (uzi), hupenya kwenye sindano, kadiri kamba inavyokuwa nene, ndivyo ugumu wa kupenya unavyozidi kuwa mkubwa na ikiwa kubwa kabisa, maana yake ni jambo gumu ambalo kwa kawaida haliwezekani!
Lakini ukiangalia ngamia (mnyama), unaona hakuna uhusiano wowote na tundu la sindano! Ni mnyama gani anaweza kupenya kwenye tundu la sindano hata akiwa mdogo kiasi gani? Hata sisimizi hawezi kupenya, kwa hiyo unaona hapo hakuna relevance!
 
Nimeuliza hivi, ni kweli ngamia (kamba) inaweza kupenya kunako tundu la sindano? YES or No?
 
Let me tell you guys, iko hivi.

Wanaosema TUNDU LA SINDANO (sindano ya kusukia/kushonea) hawamaanishi NGAMIA mnyama, bali kamba ya kufungia nanga.

Wanaosema NGAMIA MNYAMA hawamaanishi tundu la sindano, sindano ya kufumia, bali geti dogo la kuingilia mji wa Yerusalem ambalo liliitwa "Eye of the needle" ambapo Ngamia mnyama hakuweza kupita.

Sasaa,

Biblia ya Kiswahili ilipata tafsiri yake toka Lugha ya kiingereza, je neno NGAMIA lililotafsiriwa kutoka lugha ya kiingereza ya neno CAMEL ilimaanisha mnyama au kamba?

Huenda kuna kimoja hapa kati ya mnyama au kamba hakiitwi ngamia, ila tuna force kukiita ngamia ili kipate maana y kibiblia kulingana na msimamo mmoja kati ya ile miwili pale.

Je wakati biblia inatafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili neno NGAMIA lilitumika kumaanisha kamba au Mnyama? [emoji16]
Ukitazama hicho kifungu kwenye Biblia ya Kilatini, utakutana na neno 'Camelum'! Neno hili kwa Kiingereza ndiyo camel, ambayo ukitazama kwenye dictionary, ina maana mbili! ya kwanza ni mnyama na ya pili ni kamba!
 
Kwa hiyo kosa la nani
Hakuna mwenye kosa ila fact ni kwamba unapotafsiri maandishi kutoka lugha moja kwenda nyingine, maana halisi huwa inapotea kadiri unavyozidi kutafsiri! Biblia original iliandikwa kwa Kiebrania (Hebrew), tafsiri ya kwanza ikawa kwa Kilatini, then ndiyo hapo inakuja Kiingereza halafu ndiyo Kiswahili! Kwa hiyo maana inakuwa altered all the way down!
 
Ukitazama hicho kifungu kwenye Biblia ya Kilatini, utakutana na neno 'Camelum'! Neno hili kwa Kiingereza ndiyo camel, ambayo ukitazama kwenye dictionary, ina maana mbili! ya kwanza ni mnyama na ya pili ni kamba!

Sawa; hoja hapa ni neno NGAMIA.

Kwa kilatini neno Camela lina maana ya Mnyama na Kamba ya Nanga.

Kwa kiingereza neno Camel lina maana hizo hizo. Ambapo asili kubwa la lugha ya Kingereza ni kilatini na Kigiriki

Tuje kwenye neno Ngamia, [emoji16][emoji16] je asili ya neno hili lina maana mbili hivo hivo ya kamba na mnyama??!!!??

Maajabu haya
 
Sasa mkuu si ushaambiwa ngamia hii ya Kiswahili imetafsiriwa kutoka kwenye neno camel la Kiingereza ambalo lina maana mbili? Yawezekana Kiswahili hakina misamiati ya kutosha na ndiyo maana hata kwenye Kamusi ya TUKI ukiangalia maana ya neno ngamia, utakuta moja tu ya mnyama lakini ukiangalia kwenye Webster Dictionary utakuta neno Camel lina maana zaidi ya moja!
 
Back
Top Bottom