Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo hivyoKatika kitabu kitakatifu cha Biblia, Marko 10: 25 inasema: Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.
Wanachokielewa wengi, wakiwemo baadhi ya watumishi wa Mungu, ni kwamba ngamia anayezungumziwa hapa ni yule mnyama mwenye nundu kubwa mgongoni, pengine hata wewe kwa miaka mingi umekuwa ukijua hivyo.
Hata hivyo, ngamia iliyomaanishwa hapa, ni kamba! Ndiyo, kamba! Zile kamba nene zinazotumika kuvuta kwa mfano meli iliyozama na kadhalika. Makosa ya tafsiri hii yanaanzia kwenye kufasiri kifungu hiki cha Biblia kutoka kwenye Kiingereza kuja kwenye Kiswahili. Kwa Kiingereza, Mark 10:25 inasomeka hivi: It is easier for a camel to go through the eye of a needle than for a rich person to enter the kingdom of God.
Ukichukua kamusi yako, angalia maana ya neno camel, ya kwanza utaona ni ngamia mnyama lakini kuna maana ya pili ambayo ni hii: Camel: An apparatus for raising a sunken ship, consisting of one or more watertight chests to provide buoyancy. Kwa tafsiri nyepesi, ni kamba nene zinazotumika kuvuta meli iliyozama...
Kwa commoni sense ya kawaida tu, ngamia mnyama anawezaje kufananishwa na kupenya kwenye tundu la sindano? Hakuna uhusiano wowote, lakini kuna uhusiano wa kamba nene kupenya kwenye tundu la sindano kwa sababu kamba nyembamba (uzi) unapenya kirahisi!
Kwa hiyo tunahitimisha kwa kusema, ngamia/camel inayomaanishwa kwenye bible ni kamba. I stand to be corrected!
View attachment 1651630
Katika kitabu kitakatifu cha Biblia, Marko 10: 25 inasema: Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.

Yote sawa. iwe kamba nene au ngamia mnyama "maana ni ugumu uliokusudiwa...."Elimu nzuri.....ila Bushlawyers wapo njiani wanajiandaa kuja kukupinga....
Duh!! mbona inakuwa hivyo tena...Siyo hivyo
Mji Wa Yesusalem ulizungushiwa ukuta Mkubwa. Na kulikuwa na milango 12, katika hiyo milango 12 kulikuwa Na lango moja kubwa tunaliita lango la mji. Lango hili hutumika kwa ajili ya magari, ngamia na mizigo na watu hasa wafanyabiashara. Ili pia waweze kulipishwa ushuru.
Sasa kila mlango ulikuwa una jina lake, upo ulioitwa mlango mzuri, n.k sasa kuna mlango uliitwa Tundu la Sindano. Mlango huu ulikuwa maarufu sana kwa wafanya biashara wakwepa ushuru. Walikuwa wakipita hapo wao Na mizigo yao.
Sasa kasheshe ilikuwa kupitisha Ngamia, sababu mlango ule ulikuwa kwa ajili ya kupita mtu mmoja mmoja tena kwa kupishana. Sasa ngamia ni Mkubwa ilibidi wamlaze Na ile nundu Yake, wamburute wafanye wawezalo ili apite.
Kwa hiyo alikuwa anapita ila kwa mateso sana. Ndo ukapewa jina la TUNDU LA SINDANO. Na Yesu katika kufundisha alimaanisha mlango Na siyo sindano.
Mungu awabariki.
Mkuu, yawezekana "tundu la sindano" ikawa ni metaphor tu ikimaanisha lango dogo katika mji wa Yerusalemu.
Kwamba malango mengine makubwa ktk mji huu yalifungwa wakati wa usiku na hili lango dogo lilifunguliwa kwa sababu za kiusalama na wale waliochekewa kuingia maskani walipia mlango huu.
Aidha wanyama kama ngamia kunako late hours walipitishwa ktk mlango mdogo lakini kwa kupunguziwa mzigo waliobeba na kuwa push kwa nguvu ili wapite pale. Iliwezekana ngamia kupita ktk mlango mdogo (tundu la sindano).
Hapa maneno 'tundu la sindano' yametumika kama hyperbole.
Hii inaleta sense!
Binadamu kujinyenyekeza (humbleness), kama ngamia anavyopita ktk mlango mdogo (eye of the needle) wa ukuta wa Yerusalemu. Ngamia huondolewa mzigo mgongoni mwake na kukunja miguu yake (kupigishwa magoti) ili aweze kupita katika mlango huu mdogo wakati wa usiku. Ni rahisi ngamia huyu kupita ktk mlango huu mdogo na kuingia ktk mji wa Yerusalemu au ni rahisi ngamia kupita katikati ya miti miwili inayobana ili aweze kusafishwa uchafu ulio ktk ngozi yake.
Kumbe metaphor hii ni kwa ajili yetu sisi binadamu. Kama tunaweza kujishusha na kupitia mlango mdogo/njia nyembamba baada ya kushusha mizigo yetu ( viburi, majivuno, husda, visasi, wizi, uzinzi ...), tunaweza kuingia ktk Yerusalemu mpya.
If we humble ourselves and pray on our knees, we can approach the kingdom of heaven.
Tundu la sindano ( vimilango vidogo vilivyokuwa vikitobolewa kwenye boma(ngome) au ukuta upiokuwa ukizunguka mji .
Hapo zamani miji mingi mfano mji wa Yeriko huko Mashariki ya kati ilikuwa inazungushiwa ukuta mnene.
Sasa ikitimia mida ya jioni miji hufugwa. Wafanyabiashara au wafugaji wakichelewa kuingia mjini hufunguliwa vimilango vidogo (Tundu la sindano) . Sasa kwa urefu wa ngamia basi ni mbinde kuingia kwa hivi vimilango. Technics za kuwabembeleza hutumika mpaka wanainama kwa hiari yao na kuingia kwenye vile vimilango (Tundu la sindano).
Chuo nilichosoma Mimi tundul la sindano maana yake ni vile milango midogo /mifupi ya dharura iliyowekwa kwenye ngome.
Siyo hivyo
Mji Wa Yesusalem ulizungushiwa ukuta Mkubwa. Na kulikuwa na milango 12, katika hiyo milango 12 kulikuwa Na lango moja kubwa tunaliita lango la mji. Lango hili hutumika kwa ajili ya magari, ngamia na mizigo na watu hasa wafanyabiashara. Ili pia waweze kulipishwa ushuru.
Sasa kila mlango ulikuwa una jina lake, upo ulioitwa mlango mzuri, n.k sasa kuna mlango uliitwa Tundu la Sindano. Mlango huu ulikuwa maarufu sana kwa wafanya biashara wakwepa ushuru. Walikuwa wakipita hapo wao Na mizigo yao.
Sasa kasheshe ilikuwa kupitisha Ngamia, sababu mlango ule ulikuwa kwa ajili ya kupita mtu mmoja mmoja tena kwa kupishana. Sasa ngamia ni Mkubwa ilibidi wamlaze Na ile nundu Yake, wamburute wafanye wawezalo ili apite.
Kwa hiyo alikuwa anapita ila kwa mateso sana. Ndo ukapewa jina la TUNDU LA SINDANO. Na Yesu katika kufundisha alimaanisha mlango Na siyo sindano.
Mungu awabariki.
AminaKabisa!
Poa poa!Naam
Nakubaliana na tafsiri yako , I can see the relevance!!Katika kitabu kitakatifu cha Biblia, Marko 10: 25 inasema: Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.