Wasichokijua Wengi Kuhusu Marko 10: 25 katika Biblia

Scholars generally recognize three languages as original biblical languages: Hebrew, Aramaic, and Koine Greek.
Nasema hivi, kitabu cha Marko kiliandikwa kwa mara ya kwanza kwa Kigiriki, si Kiebrania.

Biblia ina vitabu vingi, na inawezekana vingine viliandikwa kwa mara ya kwanza kwa Kiebrabia, hususan kwenye Agano La Kale.

Lakini, kitabu cha Marko kiliandikwa kwa mara ya kwanza Kigiriki, si Kiebrania wala Kiaramai.
 
Nasma hivi, kitabu cha Marko kiliandikwa kwa mara ya kwanza kwa Kigiriki, si Kiebrania.

Biblia ina vitabu vingi, na inawezekana vingine viliandikwa kwa mara ya kwanza kwa Kiebrabia, hususan kwenye Agano La Kale.

Lakini, kitabu cha Marko kiliandikwa kwa mara ya kwanza Kigiriki, si Kiebrania wala Kiaramai.
Asante kwa elimu mkuu!
 
Katika kitabu kitakatifu cha Biblia, Marko 10: 25 inasema: Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.

Wanachokielewa wengi, wakiwemo baadhi ya watumishi wa Mungu, ni kwamba ngamia anayezungumziwa hapa ni yule mnyama mwenye nundu kubwa mgongoni, pengine hata wewe kwa miaka mingi umekuwa ukijua hivyo.

Hata hivyo, ngamia iliyomaanishwa hapa, ni kamba! Ndiyo, kamba! Zile kamba nene zinazotumika kuvuta kwa mfano meli iliyozama na kadhalika. Makosa ya tafsiri hii yanaanzia kwenye kufasiri kifungu hiki cha Biblia kutoka kwenye Kiingereza kuja kwenye Kiswahili. Kwa Kiingereza, Mark 10:25 inasomeka hivi: It is easier for a camel to go through the eye of a needle than for a rich person to enter the kingdom of God.

Ukichukua kamusi yako, angalia maana ya neno camel, ya kwanza utaona ni ngamia mnyama lakini kuna maana ya pili ambayo ni hii: Camel: An apparatus for raising a sunken ship, consisting of one or more watertight chests to provide buoyancy. Kwa tafsiri nyepesi, ni kamba nene zinazotumika kuvuta meli iliyozama...

Kwa commoni sense ya kawaida tu, ngamia mnyama anawezaje kufananishwa na kupenya kwenye tundu la sindano? Hakuna uhusiano wowote, lakini kuna uhusiano wa kamba nene kupenya kwenye tundu la sindano kwa sababu kamba nyembamba (uzi) unapenya kirahisi!

Kwa hiyo tunahitimisha kwa kusema, ngamia/camel inayomaanishwa kwenye bible ni kamba. I stand to be corrected!

View attachment 1651630
Usipotoshe, hebu soma version hii ya Kingereza.
Mark 10:25
[25]It is easier for a camel to go through the eye of a needle than for a rich man to enter the kingdom of God.
 
Mkuu kwema! Umepiga dabo kiki ngapi leo maana umekuja na povu la hatari 😅 😅

Jurjani
 
Kwanini umeamua kuchukua hyo tafsiri ya camel Ni kamba Nene na sio NGAMIA?
Usiwe confused mkuu! Ni rahisi tu, neno camel la Kiingereza, limetokana na neno camelum la Kilatini, sasa ukiangalia maana ya camel ya Kiingereza, si ngamia mnyama pekee, kuna maana nyingine ya pili ambayo ndiyo hiyo ya kamba!
 
Usipotoshe, hebu soma version hii ya Kingereza.
Mark 10:25
[25]It is easier for a camel to go through the eye of a needle than for a rich man to enter the kingdom of God.
Bila shaka hajasoma michango ya wadau. Acha uvivu soma kwanza usikurupuke
 
Nasema hivi, kitabu cha Marko kiliandikwa kwa mara ya kwanza kwa Kigiriki, si Kiebrania.

Biblia ina vitabu vingi, na inawezekana vingine viliandikwa kwa mara ya kwanza kwa Kiebrabia, hususan kwenye Agano La Kale.

Lakini, kitabu cha Marko kiliandikwa kwa mara ya kwanza Kigiriki, si Kiebrania wala Kiaramai.
Kiranga bwana!
Unatafuta nini huku?
Hakunaga thermodynamics huku.
Tunaongelea imani hapa isiyoweza kuthibitishwa kwa tafiti za kisayansi ktk maabara.
 
Chochote kilicho katika muda kiko chini ya the second law of thermodynamics.

Labda hujui tu.

Mdau hapo juu kashukuru kupata somo kwamba kitabu cha Marko kiliandikwa kwa mara ya kwanza katika lugha ya Kigiriki, si Kiebrania wala Kiaramai.

Hata hilo ni mchango tosha tu.
 
Ndiyo mkuu, Camel ina maana zaidi ya moja kwa Kiingereza, ngamia mnyama na maana ya pili ni kamba, prove mwenyewe utaona!
Hapana maana ya pili ya camel sio kamba, dictionary inasema "an apparatus to for raising a sunken ship consisting of one or more watertight chests to provide buoyancy". Hakuna mahala imetamka ni kama, neno "apparatus" inaweza kumaanisha "Kifaa" na kwa kweli ile kamba ya kwenye meli huwa haina kitu chochote cha kuifanya iwe na bouyancy" na hivi ndivyo dictionary inasema kuhusu camel ya kwenye meli"A Ship camel is an external flotation tank that can be fitted to a ship to increase her buoyancy or reduce her draught. ... The increased volume provided by the camels allow the system to float in a reduced draught" kwa maana hii Camel ya meli ni Tanki sio kamba! wachungaji wako sahihi!
 
Camel: An apparatus for raising a sunken ship, consisting of one or more watertight chests to provide buoyancy.

Umesema hii ni apparatus.
Naomba utuweke picha ya hii apparatus manaa sioni sehemu definition yako ikisema ni kamba

Tufanye hii stori kuwa fupi weka picha ya hiyo apparatus please
 
Huyu mtoa mada mimi ninge muuliza kwanza ya kuwa, walio nukuu neno hilo wao walilielezea vipi na kulielewa vipi ?
Walio nukuu hilo neno walilitafsiri toka lugha nyingine na kulifanya lisomeke kama havi .

Quoted Lakini maana ya kamba kubwa si sahihi sababu andiko limemkusudia Ngamia mnyama, na si kamba kubwa, kuichukulia kuwa ni kamba kubwa ni kupotosha maana iliyo kusudiwa.

Mambo ya wanazuoni hayo, siunajua elimu ni uwanja mpana ?
 
Walio nukuu hilo neno walilitafsiri toka lugha nyingine na kulifanya lisomeke kama havi .

Mambo ya wanazuoni hayo, siunajua elimu ni uwanja mpana ?
Sahihi kabisa elimu uwanja mpana, ila kurudi kwa wale wa mwanzo.
 
Back
Top Bottom