PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wee aunt huogopiii? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
🀣🀣🀣
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Ila nikiangalia CV za mtu na bintiye, nachoka mie kwa kweli.

Watu tumepambana na kusota huko ki skonga, afu watu wanakula cake ya taifa km hawataki vilee

Jamaniii 😒😒
 
Ila nikiangalia CV za mtu na bintiye, nachoka mie kwa kweli.

Watu tumepambana na kusota huko ki skonga, afu watu wanakula cake ya taifa km hawataki vilee

Jamaniii 😒😒

Kule kwao mambo yalirahisishwa sana. Ilikuwa ukipata four inayoning'inia unaonekana mwamba na scholarship unapewa. Ndio maana cv hazieleweki.
 
Kule kwao mambo yalirahisishwa sana. Ilikuwa ukipata four inayoning'inia unaonekana mwamba na scholarship unapewa. Ndio maana cv hazieleweki.
Ya 26 unaenda zako Pakistan na Uturuki?
Mbna hatariii hiii. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata wakenya na ufisadi wao ulio kid kidhiri hawajafikia hapa.
Uliona wapi mtu na mkewe ni mawaziri. Wakati kuna makabila hapa Tanzania hayana hata mbunge. Kuna mikoa haijapata mgao wa mawaziri huku kitanda kimoja kina mawaziri wawili.
Master bedroom moja inalala mawaziri wawili. Kweli?
 
Weka elimu yake hapa kama haina kuunga unga ndani yake! Mnaunga unga elimu halafu mnapata kabisa ujasiri wa kutaka kujilinganisha na wengine! Vilaza mnazingua sana.
Advanced diploma mzumbe,post graduate diploma Manchester university, masters open university
 
Wewe kaa na phd yako ya mechanical engineering, unafundisha kusuka vyuma huku ukila mavumbi
Kwa Tanzania Elimu haina thamani kwasababu haimsaidii mhutimu kuwa independent kwa maana hiyo ukiwa hausoma sana unaweza kufanikiwa kuliko yule aliyesoma sana
 
Hujaelewa nini hapo "Elimu Mbalimbali" hahahaaa
 
Wewe kaa na phd yako ya mechanical engineering, unafundisha kusuka vyuma huku ukila mavumbi
Kwa Tanzania Elimu haina thamani kwasababu haimsaidii mhutimu kuwa independent kwa maana hiyo ukiwa hausoma sana unaweza kufanikiwa kuliko yule aliyesoma sa
WIzara ya elimu tunawapa watu wenye elimu ndogo, tutatoboa kweli
Hao wenye Elimu kubwa wametusaidia Nini?
 
Una-discredit degree za open university?..utafanyaje degree bila principal E mbili na S A level au diploma?

E mbili rayari ni kilaza tu. Hata hizo inawezekana hakuzipata. Huko Open University kuna Kenge ns mijusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…