PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hujanielewa,nimeomba matokeo yake ya kidato cha nne tuu...
Nenda necta,kama alifanya mitihani ya a level basi ana c tatu o level
Hakuna kitu hapo. Eti masters open university! Ukiona mtu amesoma Certificate kwanza, au Open University; basi tambua fika mtu huyo ni KILAZA! Na pia ana elimu ya kuunga unga.
Shule hukukwenda,post graduate diploma unaipata baada ya kuhitimu level gani?.. university tz haianzishwi bila Sheria ya bunge,unapodai anayesoma open university ni elimu ya kuungaunga unamaanisha nini?.. unajua qualifications za kusoma open university?..we shule imekupiga chenga kumbe!
 
Sasa inakuaje mtu ambaye si mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano anachaguliwa kuwa waziri/naibu waziri kwenye baraza la mawaziri la muungamo?Alafu baraza la mawaziri la Tanganyika liko wapi?
Hata mimi hili limenitafakalisha sana hili?
 
Necta wakati mitihani huwa inavuja kila wakati,na huo inatoka kwa watoto wa kishua.....
 
CV imeshiba. Wanu ni kipanga.
 
Hapa shule ya msingi Makwewe B, kuna kituko cha mwaka, mwalimu mkuu ni wale walimu wa UPE anamalizia muda wake, sasa kamteua mtoto wake kuwa mwalimu wa taaluma, mtoto mwenyewe CV yake ni kama ya mama yake tu.
 
Kweli inabidi D9 iboreshwe haswa ili tuirudishe Tanganyika yetu.

Katiba na muundo wa muungano ni vya hovyo kabisa.
Ninajiuliza, kama ingekuwa ni watanganyika wameenda kutawala visiwani kwa mtindo kama huu wa Bi chura, wazanzibar wangekubali?
Ataendaje? Unaelekea hujui kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…