Zanzibar 2020 Wasifu: Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Rais ajaye wa Zanzibar

Kwa hiyo Zanzibar imekuwa ya Karume na Mwinyi? Hembu tuwaze nje ya fikra zetu jamani.
 
Kabisa...maana raisi huwa hazai raisi ni anazaa mtoto kama wazazi wengine...

Hapo ndipo wanapochemka..hao jamaa kulazimisha vitu..
 
Ameivaa anafaa kuvaa viatu.Usipinge kama unaona unatosha na wewe kachukue fomu kabla pazia alijafungwa.
Democrasia....

Uhuru wa kuchagua sio kuchaguliwa..wa kuamua kama anafaa ni wananchi sio ...

Dalili za kutojiamini hizo...

Ni wale wale... kigamboni...hiyo...
 
Naunga Mkono Hoja Jamaa ni mtu mnyenyekevu sana kwanza hana tamaa za madaraka, hana mambo ya ovyo kma walivyo ccm wengi.
kazoea kwanza hayo maisha toka mdogo anaona ving'ora vinapisha tu kwenye geti la nyumba yao amekuwa mkubwa bado kwake pia ving'oraa vinapisha dam shit kuna watu duniani wanazaliwa na bahati sana.

hawezi kuwa na tamaa maana ndio maisha aliyokulia hayo tofauti na kina siye tuliokuwa tunatembea km 16 kwenda shule kwa siku, week kama 80 tunajua nini maana kuwa masikini, umasikini ni zaidi ya laana.

ingawa mm kwa maoni yangu zanzibar inamfaa apewe tu nchi anafaa kwelikweli utendaji wake pia unambeba
 
Primary school 1972 to 1976 Oysterbay Primary school halafu 1982 Azania Secondary School. Hii gap ya miaka 6 toka 1976 hadi 1982 alikuwa anafanya nini? Na shule ya msingi alisoma miaka minne tu!?

A level pia alisoma mwaka mmoja tu 1984 to 1985!? Badala ya miaka miwili?

 
Niwazi kuwa Rais wazanzibar ajaye ni Dr Husein aly hasani mwinyi.

Leo katika viunga vya ofisi za ccm Dodoma na Zanzibar leo wamechukua form.

Hii niwazi kuwa zanziber hakuna cha mbarawa wa samia hasan suruhu.

Wewe unasemaje.
Wampe Professor Mbarawa au yule mwingine asiye na jina.
 
Acha ku shout
 
Kwa nini watu wa CCM Kisonge wanapewa ubaguzi

Sikupenda kabisa tangazo la Facebook la Amina Salum Ali kusema kuwa huyu ni mtu wa Bara na ni Mndengereko

Inakhusu nini?
 
Tusuburi avuke kigingi cha Katiba ya Zanzibar! Vinginevyo Mbarawa atapasua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…