Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
Hawachagui..wanachaguliwa...
Zanzibar wanataka kutengeneza political dynasties za Karume na Mwinyi. Wamekuwa wahindi familia zilezile kila siku, hivi ‘Shamsi Vuai Nahodha’ alipotelewa wapi?