Wasifu wa Dkt. Philip Isdor Mpango

Wasifu wa Dkt. Philip Isdor Mpango

Nimejaribu kusoma vizuri wadhifa wa Mh.Makamo wa rais, nimegundua kuwa ni mtu mwenye elimu pamoja na uzoefu mkubwa kwenye masuala ya uchumi.

Je, kwenye hiki kipindi chake cha uongozi tutegemee nchi kupiga hatua zaidi kwenye ukuaji wa uchumi hasa kwenye maendeleo ya watu??
Je unayajua majukumu ya makamu wa rais?
Tuanzie hapo
 
Nahisi lengo lilikuwa kumwondoa kwenye fedha na mipango kwani pale alizingua.
Anakuja kufichwa mbawani mwa rais kama pole ya kuugua halafu anaachiwa mazingira na mikasi ya kuzindulia miradi.
Kama ni ushauri ,rais ana washauri wengi sana ambao watakuwa kwenye wizara na idara mbalimbali.
 
Inabidi Hassan mohamed afuate nyayo za mteja wake aache longolongo kama wale wazee wa kariakoo wanaosemaga walikuwa wanauza chips na Bakhressa.
 
Hiv makamu wa rais ndio nchi iko mikonon mwake?
Yeye kazi yake ni kukata utepe tu na kuzindua miradi basi.Yeye sio mwenye nchi
Yeah ni kweli mkuu nchi sio yake peke, kwa maana nyuma yake kuna watumishi wengi tu wanaomsaidia kutekeleza majukumu. Lakini ninachojaribu kukiangazia hapa ni nafasi ya nguvu aliyokua nao hasa kutokana na cheo chake kwa sasa hivi pamoja na taaluma aliyokua nayo, vyote kwa pamoja vinaweza vikatoa taswira gani hasa kwenye uchumi wa nchi kwenye maendeleo ya vitu na watu..?
 
Nimejaribu kusoma vizuri wadhifa wa Mh.Makamo wa rais, nimegundua kuwa ni mtu mwenye elimu pamoja na uzoefu mkubwa kwenye masuala ya uchumi.

Je, kwenye hiki kipindi chake cha uongozi tutegemee nchi kupiga hatua zaidi kwenye ukuaji wa uchumi hasa kwenye maendeleo ya watu??
Tulikuwa na Makamu wa Raisi Mwenye elimu ya Nuclear but madini ya Uranium yaliishia kuchimbwa wa Warusi kule Mikumi wakayamaliza wakasepa zao bila Malipo.. Huyu Mchumi ni Msaidizi wa Raisi Samia so Acha Kumsifia Msaidizi wakati Mwenye Kiti yupo.
 
Mke wake ni Chief Internal Auditor Wizara fulani

Wajamaa sana kuna nyakati kabla ya kuhamia Dom walikuwa wanauza mboga mboga nyumban walikuwa na bustan Nyingi sana
 
Katika Israeli, ilikuwa ni kinyume na utaratibu mwanamke kumtawala mwanaume (hata leo ndio mpango wa Mungu ulivyo). Kipindi cha WAAMUZI, palitokea wanaume 'kulala', kwa kushindwa kusimama kwenye nafasi zao kwa kulipigania taifa lao dhidi ya maadui. Ndipo aliinuka bi dada mmoja aitwaye Debora na akapewa nafasi ya kuwa mwamuzi (mkuu wa Israeli) na Mungu.

Lakini kwa kutambua kuwa ni mwiko kwa mwanamke kumtawala mwanaume, Debora alijiongeza kwa kumteua mwanaume aliyeitwa Baraka ili aende naye vitani, na walipata ushindi mnono. Mpiganaji ni Debora (mwanamke) ila chini ya mamlaka ya Baraka (mwanaume). /SOMA KITABU CHA WAAMUZI/

Ninaamini Tanzania tutavuka. Mungu ndiye wa kudumu kuaminiwa.

YESU NI KRISTO
 
Tulikuwa na Makamu wa Raisi Mwenye elimu ya Nuclear but madini ya Uranium yaliishia kuchimbwa wa Warusi kule Mikumi wakayamaliza wakasepa zao bila Malipo.. Huyu Mchumi ni Msaidizi wa Raisi Samia so Acha Kumsifia Msaidizi wakati Mwenye Kiti yupo.
Sijafikia kwenye hatua ya kusifia ila najaribu kutazama taaluma yake na cheo Chake kwa sasa na kipi tutegemee kwenye majukumu yake ya kumsaidia rais
 
Huyu bwana watu hawajuitu. Huyu ni jembe kweli kweli. Watanzania wanapoona nchi yetu imeongeza kasi ya ukusanyaji mapato, pamoja na Kusimamia Miradi yote ya kimkakati basi Dkt Mpango Anahusika.

Hivyo nimpongeze Mama Yetu Samia kwa kutambua mchango wa Dkt Mpango na kweli Atamsaidia sana kwenye kusimamia Utekelezaji wa malengo yote Tuliyojiwekea kama nchi.
Shukrani mkuu, nimekupata..
 
Safi, Hakuna kukurupuka tena kutafuta sifa.
Kiongozi wa nchi yafaa atokane na fani zifuaatazo uchumi, fedha, Sheria, biashara,uhusiano wa kimataifa.
 
Unajua siwaelewi.
Narudi makamo ni kibaraka tu.
Hii nchi ni ya Samia full stop.
Mama apangiwi kusikiliza au kutekekeza ushahuri wa mpango.
Yeah mkuu nazungumzia hiyohiyo nafasi yake ya usaidizi pamoja na taaluma aliyokua nayo. Sasa tutegemee nini kwenye uchumi wa nchi hasa kwenye maendeleo ya watu na vitu..
 
Katika Israeli, ilikuwa ni kinyume na utaratibu mwanamke kumtawala mwanaume (hata leo ndio mpango wa Mungu ulivyo). Kipindi cha WAAMUZI, palitokea wanaume 'kulala', kwa kushindwa kusimama kwenye nafasi zao kwa kulipigania taifa lao dhidi ya maadui. Ndipo aliinuka bi dada mmoja aitwaye Debora na akapewa nafasi ya kuwa mwamuzi (mkuu wa Israeli) na Mungu.

Lakini kwa kutambua kuwa ni mwiko kwa mwanamke kumtawala mwanaume, Debora alijiongeza kwa kumteua mwanaume aliyeitwa Baraka ili aende naye vitani, na walipata ushindi mnono. Mpiganaji ni Debora (mwanamke) ila chini ya mamlaka ya Baraka (mwanaume). /SOMA KITABU CHA WAAMUZI/

Ninaamini Tanzania tutavuka. Mungu ndiye wa kudumu kuaminiwa.

YESU NI KRISTO

Mwanakondoo ameshinda tumfuate.
Soon naiona Tanzania mpya.
 
Upo sahihi mkuu awa wajinga sijuhi wamesoma wapi?
Jina lako lina Akisi Uelewa wako ulivyo mdogo kujua nini maana ya Msaidizi wa Rais.

Neno Msaidizi nadhani halihitaji hata Akili ya mtoto wa chekechea Kujua.

Tulieni Nchi ijengwe tumechoka na Ngonjera zetu ni wakati wa Kuchapa kazi na Kujenga Nchi yetu. Amieni wote Ubelgiji.
 
Back
Top Bottom