Katuteulia Dr aliye complete form four😂Hawa ''wadudu'' kwakupenda qualifications za ''online'' ni level nyingine. Huyu hata kama mtu ni mtaalam kuandika CV, atarekebisha nini? Kwamba umpe elimu ambayo hana? Ndiyo maana nchi inayumba halafu tunashangaa kumbe juu huko kumeoza. Hapo bado hujapewa ya aliyemteua.
Fikiria unampelekea supervisor research proposal yako karibia mara 5, na bado anakuambia ukairekebishe tena! Unakuja JamiiForums unakutana na CV ya Mheshimiwa, ikiwa ni ya kuunga unga tu. Lazima utajiona ni kiumbe usiye na bahati hapa duniani.Kusoma kazi nyie acha kbs assignment na course work ziheshimiwe.
QT tena😂😁😁😁😂Completed QT
Masters ni cheti,haimaanishi uko vizuri upstairs,ila ulijibu maswali kama waliouliza walivyotakaDaaah sasa huyu atanishauri nini mimi na masters yangu mjini tukiitisha mdahalo utoki .
View attachment 3583132
Hao watu wa idara,wameandaana huko wenyewe wanajuanaMfano hawa viongozi wengi hizo nafasi wangekua wanaomba kupitia ajira portal, wapite written.....practical afu oral hamna hata moja atakaepenya.
Mbona anaitwa Dr Munisi?Daaah sasa huyu atanishauri nini mimi na masters yangu mjini tukiitisha mdahalo utoki .
View attachment 3583132
Tumekua na viongozi wenye elimu level tofauti,na hao wenye vyeti vikubwa walichekesha tu,hasa mkapa na mikataba afadhali ya mangungo kwenye madini na mashirika ya ummaCv za viongozi wa nchi hii zinachekesha sana ila pia zinareflect uhalisia wa kwanini tupo namna tulivyo na hatutakaa twende mbele zaidi
Hatusomi Ili tuwe viongozi/tuajiriweFikiria unampelekea supervisor research proposal yako karibia mara 5, na bado anakuambia ukairekebishe tena! Unakuja JamiiForums unakutana na CV ya Mheshimiwa, ikiwa ni ya kuunga unga tu. Lazima utajiona ni kiumbe usiye na bahati hapa duniani.
Alipewa wapi?Udaktari wa kupewa tu ule usikutishe ni kilaza mmoja tu
Hata miye nimeshangaa Dr wa nini jamani?Mbona anaitwa Dr Munisi?
Kanunua wapi?hmmm watu wananunua tu
Mkuu kweli kwa uongozi huu tunaoenda nao kuna mahala unaamini utatutoa hapa tulipo?. Hawa hawa wanaoukataa ukweli wanataka uongo ndio uende hewani? Tena uongo ambao hata mtoto mdogo ataukataa.Kwani kigezo cha elimu cha kugombea Urais na Umakamu kwenye hii nchi ni kipi hasa! Ni kiwango gani cha chini kinaruhusiwa? Kwangu mimi nadhani tungeanzia na Shahada ya Uzamili ( yaani Masters). Na kwenye Ubunge na Uwaziri nako kugeangaliwa.
Au hiyo CV yake haijakamilika! Mbona kuna Certificate tu! Waziri anatakiwa awe amekwenda shule. Haya mambo ya kuteuana na elimu zetu za kuunga unga hayawezi kulitoa Taifa kutoka hapa tulipo.
Wamekataa ukweli upi?Mkuu kweli kwa uongozi huu tunaoenda nao kuna mahala unaamini utatutoa hapa tulipo?. Hawa hawa wanaoukataa ukweli wanataka uongo ndio uende hewani? Tena uongo ambao hata mtoto mdogo ataukataa.