CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Tulia ukalie kuni hapo home.Samia hana Curriculum Vitae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia ukalie kuni hapo home.Samia hana Curriculum Vitae.
Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.
Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.
Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.
Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.
Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?
Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.
Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.
Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.
Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
Unadai CV ya Samia kwani yeye kadai yako?Hii sio hoja iliyopo mezani.
Una CV ya samia?
Hii ni kweli.Kuna usemi kuwa sekretari wa bosi ni chakula cha mabosi. Ni kweli?
Ndio.Unadai CV ya Samia kwani yeye kadai yako?
Kwamba shule haina faida?? Yule ndo maana hajui kila kitu na watu wanamuingiza chaka kila siku kwasababu hawezi kujisimamia.Harafu ukiiona ndio itakuongezea ugali?
Watu wenye little IQ mna shida sana yaana yaani mnaamini Sana makaratasi yenu hayo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli, alikuwa anagawa Michele na akajulikana jimboni kama mama Michele na akapata Jina na akagombea ubunge. Watu wanapenda vya bure usisikie, mchele ukamtoa.
Bwana misosi nitoke vipiiiiiii!
Haituhusu mradi ndiyo rais wetu. MamaNilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.
Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.
Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.
Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.
Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?
Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.
Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.
Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.
Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
Magufuli PhD.
Samia hana Curriculum Vitae.
Mnamsingizia Mungu kwny mambo yenu ya hovyo hivyo,sema NEC ya CCM humpa urais mtu impendae.Uongozi sio CV Ni baraka za Mungu tu, Magufuli alikua na Elimu ya hapa na pale na akawa Rais wa nchi japo hakua kiongozi mzuri... Utagundua My gu humpa amtakaye
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Unamaanisha nini bwana mkubwa?Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
CV yake alikuwa anachoma vitumbua pale Kizimkazi then akawa Secretary wa hiyo NGO.Hizo ni Titles za urithi.
Nauliza kuhusu ile CV yenyewe, kama aliyonayo Asha Rose Migiro.
Unayo?
Hahaha. Okay...Samia amesoma Diploma
..pia ana masters degree nimesahau toka chuo gani
Hapo kwny PH.d RIP Ben Saa8 .Elimu ya hapa na pale unamaanisha nini?
Magufuli ana
1. Diploma ya Ualimu( Chemistry &Mathematics)
2. Degree ya Ualimu/UDSM (Chemistry)
3. Masters/ Uzamili (Chemistry)
4. PH D(Chemistry).
Research: Arcardic Acid in rusting prevention
Hii ni shida kweli kweli.Kwamba shule haina faida?? Yule ndo maana hajui kila kitu na watu wanamuingiza chaka kila siku kwasababu hawezi kujisimamia.
Na ogopa sana mtu mwenye akili ndogo kupewa madaraka makubwa, halafu awe na msimamo wa kujiona kila analofanya yupo sawa.
Leta CV ya SHH hapa tuione.
Duuh.Ni wale wa kamlete.
Hata mwenyewe anakiri.
Nipatie CV iliyo kwenye PDF/ Word Format.CV yake alikuwa anachoma vitumbua pale Kizimkazi then akawa Secretary wa hiyo NGO.
Umeridhika sasa? Au una la ziada?
Mana nyie wenye gubu huwa hamridhiki, unaweza kuongea wewe usiku kucha kisa tu umeng'ang'ana na eti CV
Page ya 6 sasa swali halijibiwi.
Siamini kama swali Rahisi hivi MAKADA washindwe kujibu.