Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.

Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.

Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.

Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.

Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?

Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.

Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.

Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.

Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?

Kuna usemi kuwa sekretari wa bosi ni chakula cha mabosi. Ni kweli?​

Harafu ukiiona ndio itakuongezea ugali?

Watu wenye little IQ mna shida sana yaana yaani mnaamini Sana makaratasi yenu hayo.
Kwamba shule haina faida?? Yule ndo maana hajui kila kitu na watu wanamuingiza chaka kila siku kwasababu hawezi kujisimamia.

Na ogopa sana mtu mwenye akili ndogo kupewa madaraka makubwa, halafu awe na msimamo wa kujiona kila analofanya yupo sawa.

Leta CV ya SHH hapa tuione.
 
Ni kweli, alikuwa anagawa Michele na akajulikana jimboni kama mama Michele na akapata Jina na akagombea ubunge. Watu wanapenda vya bure usisikie, mchele ukamtoa.
Bwana misosi nitoke vipiiiiiii!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilikuwa napekua makabrasha nikakumbana na kijihabari kwamba Samia alikuwa sekretari wa NGO.

Kiukweli nilifadhaika. Sikutarajia kama angeweza kuwa na kisomo cha hadhi ya NGO.

Na hapa sitaki kubeza. Wala sina lengo la kutweza. Nataka kuondosha mashaka yangu.

Binafsi sijawahi kuona CV ya samia. Nimefukua kila mahali lakini sijaipata.

Naamini baadhi yenu mna CV yake humu. Lakini sijui kwanini mmeificha?

Kuna wanawake wa shoka wako CCM wana CV zina ujazo kweli kweli — Kama Asha Rose Migiro.

Ukizisoma mpaka unatoka udenda wa hamasa.

Lakini hii CV ya samia sijui wameifukia kwenye shimo gani. Hata uitafute vipi huipati.

Hivi ni kweli alikuwa sekretari wa NGO?
Haituhusu mradi ndiyo rais wetu. Mama
Mungu amjalie maisha marefu.
 
Magufuli PhD.

Samia hana Curriculum Vitae.

..Ssh amesoma Diploma Mzumbe.

..pia ana masters degree nimesahau toka chuo gani.

..baada ya hapo ndiyo alifanya kazi WFP na alikuwa bosi wao Znz.

..halafu akagombea Uwakilishi na Ubunge ambapo aliweza kutumikia kama Waziri ktk Smz na Smt.

..Ssh aliwahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba 2013/14.
 
Hizo ni Titles za urithi.

Nauliza kuhusu ile CV yenyewe, kama aliyonayo Asha Rose Migiro.

Unayo?
CV yake alikuwa anachoma vitumbua pale Kizimkazi then akawa Secretary wa hiyo NGO.
Umeridhika sasa? Au una la ziada?
Mana nyie wenye gubu huwa hamridhiki, unaweza kuongea wewe usiku kucha kisa tu umeng'ang'ana na eti CV
 
Kwamba shule haina faida?? Yule ndo maana hajui kila kitu na watu wanamuingiza chaka kila siku kwasababu hawezi kujisimamia.

Na ogopa sana mtu mwenye akili ndogo kupewa madaraka makubwa, halafu awe na msimamo wa kujiona kila analofanya yupo sawa.

Leta CV ya SHH hapa tuione.
Hii ni shida kweli kweli.
 
CV yake alikuwa anachoma vitumbua pale Kizimkazi then akawa Secretary wa hiyo NGO.
Umeridhika sasa? Au una la ziada?
Mana nyie wenye gubu huwa hamridhiki, unaweza kuongea wewe usiku kucha kisa tu umeng'ang'ana na eti CV
Nipatie CV iliyo kwenye PDF/ Word Format.
 
Kama akina January na Kingwangala waliingia top 5 ya wanaowania kupata ridhaa ya kugombea urasi basi Uraisi kwa Tz ni kama kujua kuendesha baiskeli tu
 
Page ya 6 sasa swali halijibiwi.

Siamini kama swali Rahisi hivi MAKADA washindwe kujibu.

..swali liloulizwa ni rahisi sana kulijibu.

..tatizo ni uwezo mdogo wa Uv-Ccm ambao wanawajibika kutoa majibu.

..hoja zinapowekwa mezani, Uv-Ccm badala ya kujibu, hushtaki kwa Polisi kuwa wametukanwa, au kuna uchochezi.
 
Back
Top Bottom