Aisee inawezekana tena kiwepesi tu.Kwenye dawa hakuwezi kuwekwa virutubisho vya sumu au homoni za kishoga mkuu?
Alikutafuna kalio ndio maana ukisikia jina lake unawashwawe ni mpumbavu na mshamba km huyo mfu wako. Jitu zima kila mara linamwaza mfu, alikuwa anakusghukikia nini. Msukuma ni msukuma tu, lishamba lisilojielewa. Huyo mhutu wako ameshakufa mfuate we boya
Shangaa na weweYani Mchele wa marekani ndiyo utugawe kati ya wakristo na waislamu wa Tanzania!!?
Akili za wapi hizi?
Mtaani wanaweza kuwepo mashoga wenye majina ya kiislam lakini katika uislam ushoga ni haram na hauruhusiwi yeyote anaefanya ni madhambi na ni kinyume na uislam
Hali ni tofauti na huko upande wa wakristo ushoga siyo kitu cha ajabu hadi Papa karuhusu wapewe baraka ndani ya makanisa, na marekani pia kaanzisha kampeni za kuutetea.
Hapo ndo ilipo tofauti
Kuwait hupeleka ngano,mafuta,mtama,tende.Kwa hiyo huo mchele unaotolewa na kuwait(rafiki wa us) na kulimwa unalimwa huko huko?!
Achani wakatae, tena wanakataa kwa hoja. Wakristo kama mliletewa miujiza ya kitapeli na ushoga mnapokea itakuwa mchele?
Kwa hiyo wewe unahsuri wasipewe chochote kabisa ili wafe myo wako uridhike mkuu? Hoja yako ni ipi hasa?Mtoto unamlisha wali wa virutubisho shulen mchana akienda nyumbani analala njaa , so vicalories yote alivyo pata mchana mwili unavitua hata ambapo havihitajiki ili kufanya compensation kwa mahitaji ya mwili ,sasa ndo nini
Wee jamaa si ostadhi kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Jamani Michele Nataka Mimi.. Mimi Nakula tuuu,, Hivi Hawana misaada ya kitimotooo,, leteni Mimi Nataka.
Wana jeuri hiyo mkuu? Thubutu!Tukatae kusaidiwa kwa chochote, labda kuwe na majanga ya asili.
Yaani wanakataa vyakula, huku wanakubali kujengewa vyoo, kupewa bure dawa za ukimwi, chanjo zote za watoto na madawa ya cancer.
Watoe tamko kuwa hawatatumia msaada wowote wa wazungu unaohusisha kuingiza ndani ya miili yao.
Wapo tena wengi tuu. Ila wanatumia akili na busara katika kupambanua mambo au hoja na sio kwa mhemko kama hawa jamaa zetu wabongo wanavyofanya.Hivi kwani marekani hakuna waislam? Naomba kueleweshwaa
Zije kwanza kwani walivoleta mchele wameleta na gesi ya kupikia au kuni?Mtaweza kulipia nauli za ndege au mtataka mpewe na msaada wa nauli za ndege??
Ndiyo ninaelewa na nitaendelea kusisitiza kuna mbwa wako kwenye mfumo kazi yao kutugonganisha ili tutumbukie kwenye UDINI tuache utaifa wetu!1. Wamarekani sio wanaokwamisha uchumi bali ni majizi na mafisadi yaliyojaa ndani ya CCM yenye matumbwa makubwa kama mapakacha na yasiyojaa kamwe?
2. Kama wangkuwa wanataka kuhujumu afya wangeshindwa kupitishia kwenye chanjo na dawa?
3. Mchele umepimwa na TBS na umekuwa proved kuwa fit for human consumption. Kama waislamu hamuutaki, tuachie sisi wagalatia tule, isiwe tabu.
View attachment 2938932
Never argue with a fool, mbona wanakula twende na nyama ya ngamia kutoka uarabuniSakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.
Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.
MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.
Nawasilisha.
Mbona kipindi huyo anaeliwa na funza akiwa hai hakukua na mgao na bwawa la umeme lilikua halijajengwa??Bado maamuma mpo kumbe? Yani kuzaliwa mshamba kazi kweli. Msaliti yupo analiwa na funza huko. Bwawa la umeme gani wakati mgao bado upon? Alafu umeme wa maji sio WA muda mrefu!! Elewa.
Mpuuzi kweli wewe maneno mengi alafu pumba tupu nani asiejua Papa Francis anaunga mkono ushoga? anavaa hadi msalaba wa rainbow au ulikua kaburini umefufuka leo?Wewe utakuwa umechanganyikiwa. Ni lini Papa alisema mashoga waende wakapewe baraka makanisani?
Mnaokoteza maneno ya mitaani, na kwa sababu za chuki zenu, mnatengeneza tafsiri zenu kuziridhisha nafsi zenu.
Unatakiwa kuelewa misingi ya imani za dini na tofauti zake:
Uislam ni dini inayoruhusu kisasi kwa aliyekukosea, na kukutaka kujiweka mbali na mwovu.
Ukristo unasisitiza upendo, tena hata kwa adui yako. Tena Yesu anasema ukimpenda rafiki yako na kumchukia adui zako, huna tofauti na watu wasiomjua Mungu, maana nao hufanya hivyo hivyo. Halikadhalika Yesu anasema kuwa tabibu hayupo kwaajili ya walio wazima bali wagonjwa. Kwa hiyo yeye hakuja kwaajili ya watakatifu bali kwaajili ya wenye dhambi ili awatoe katika dhambi. Na ili umtoe katika dhambi, ni lazima kwanza umwoneshe upendo wa Mungu. Ndiyo maana Papa akasisitiza kuwa mashoga kama walivyo majambazi, wazinzi, wevi, na wengineo, wasitengwe. Na akasisitiza kuwa ushoga ni dhambi, na hata siku moja Mungu hawezi kubariki dhambi. Kwenye ukristo, hata jambazi akienda kwa kasisi na kusema kuwa anaomba baraka, kasisi atambariki na kumwusia umuhimu wa kuyabadili maisha yake, na kinachobarikiwa siyo ule ujambazi wake au kumtaka aendelee na ujambazi wake, bali kupokea baraka ya Mungu ili aweze kuyatafakari maisha yake na kumgeukia Mungu.