Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

Kwenye dawa hakuwezi kuwekwa virutubisho vya sumu au homoni za kishoga mkuu?
Aisee inawezekana tena kiwepesi tu.
Ila tushukuru kuwa Tanzania kupitia TMDA inachunguza dawa kama iko salama au laah.
Pia tushukuru Mungu dawa nyingi tutumiazo ni za India na China.
Kuna dawa na vipodozi mathalan poda za baby johnson zile unakuta kuna katoto kapo mbele zina viambata sumu serikali walizipiga marufuku mwaka jana.
Dawa ni kitu sensitive sana mkuu maana kuua ni chap kuliko chakula chenyewe.
 
we ni mpumbavu na mshamba km huyo mfu wako. Jitu zima kila mara linamwaza mfu, alikuwa anakusghukikia nini. Msukuma ni msukuma tu, lishamba lisilojielewa. Huyo mhutu wako ameshakufa mfuate we boya
Alikutafuna kalio ndio maana ukisikia jina lake unawashwa
 
Mtaani wanaweza kuwepo mashoga wenye majina ya kiislam lakini katika uislam ushoga ni haram na hauruhusiwi yeyote anaefanya ni madhambi na ni kinyume na uislam

Hali ni tofauti na huko upande wa wakristo ushoga siyo kitu cha ajabu hadi Papa karuhusu wapewe baraka ndani ya makanisa, na marekani pia kaanzisha kampeni za kuutetea.

Hapo ndo ilipo tofauti

Wewe utakuwa umechanganyikiwa. Ni lini Papa alisema mashoga waende wakapewe baraka makanisani?

Mnaokoteza maneno ya mitaani, na kwa sababu za chuki zenu, mnatengeneza tafsiri zenu kuziridhisha nafsi zenu.

Unatakiwa kuelewa misingi ya imani za dini na tofauti zake:

Uislam ni dini inayoruhusu kisasi kwa aliyekukosea, na kukutaka kujiweka mbali na mwovu.

Ukristo unasisitiza upendo, tena hata kwa adui yako. Tena Yesu anasema ukimpenda rafiki yako na kumchukia adui zako, huna tofauti na watu wasiomjua Mungu, maana nao hufanya hivyo hivyo. Halikadhalika Yesu anasema kuwa tabibu hayupo kwaajili ya walio wazima bali wagonjwa. Kwa hiyo yeye hakuja kwaajili ya watakatifu bali kwaajili ya wenye dhambi ili awatoe katika dhambi. Na ili umtoe katika dhambi, ni lazima kwanza umwoneshe upendo wa Mungu. Ndiyo maana Papa akasisitiza kuwa mashoga kama walivyo majambazi, wazinzi, wevi, na wengineo, wasitengwe. Na akasisitiza kuwa ushoga ni dhambi, na hata siku moja Mungu hawezi kubariki dhambi. Kwenye ukristo, hata jambazi akienda kwa kasisi na kusema kuwa anaomba baraka, kasisi atambariki na kumwusia umuhimu wa kuyabadili maisha yake, na kinachobarikiwa siyo ule ujambazi wake au kumtaka aendelee na ujambazi wake, bali kupokea baraka ya Mungu ili aweze kuyatafakari maisha yake na kumgeukia Mungu.
 
Kwa hiyo huo mchele unaotolewa na kuwait(rafiki wa us) na kulimwa unalimwa huko huko?!
Kuwait hupeleka ngano,mafuta,mtama,tende.
Qatar wanalima kilimo cha jangwani kama sijakosea ila sidhani kama wanalima mchele.
 
Achani wakatae, tena wanakataa kwa hoja. Wakristo kama mliletewa miujiza ya kitapeli na ushoga mnapokea itakuwa mchele?

Ikifanywa sensa ya mashoga, na wale wenye tabia mbaya za kuwaingilia wanawake kinyume cha maumbile, kwa hakika, wengi ni waislam.
 
Mtoto unamlisha wali wa virutubisho shulen mchana akienda nyumbani analala njaa , so vicalories yote alivyo pata mchana mwili unavitua hata ambapo havihitajiki ili kufanya compensation kwa mahitaji ya mwili ,sasa ndo nini
Kwa hiyo wewe unahsuri wasipewe chochote kabisa ili wafe myo wako uridhike mkuu? Hoja yako ni ipi hasa?
 
Jamani Michele Nataka Mimi.. Mimi Nakula tuuu,, Hivi Hawana misaada ya kitimotooo,, leteni Mimi Nataka.
Wee jamaa si ostadhi kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Daaah
 
Nchi imejaa wapumbavu haswa- Kila kitu udini
Raslimali zetu bandari na mbuga zinagawiwa bure tunaleta UDINI
Mchele wa kuangamiza nguvu kazi na uchumi unaingizwa tunaleta UDINI
Hivi kuna mbwa wako kwenye system wanachomekea vimada vya udini kutugonganisha eti eh!!!??
Tuwatafute hao nyangau ndio adui zetu na ulimbukeni na upumbavu wetu!
 
Tukatae kusaidiwa kwa chochote, labda kuwe na majanga ya asili.

Yaani wanakataa vyakula, huku wanakubali kujengewa vyoo, kupewa bure dawa za ukimwi, chanjo zote za watoto na madawa ya cancer.

Watoe tamko kuwa hawatatumia msaada wowote wa wazungu unaohusisha kuingiza ndani ya miili yao.
Wana jeuri hiyo mkuu? Thubutu!
 
1. Wamarekani sio wanaokwamisha uchumi bali ni majizi na mafisadi yaliyojaa ndani ya CCM yenye matumbwa makubwa kama mapakacha na yasiyojaa kamwe?
2. Kama wangkuwa wanataka kuhujumu afya wangeshindwa kupitishia kwenye chanjo na dawa?
3. Mchele umepimwa na TBS na umekuwa proved kuwa fit for human consumption. Kama waislamu hamuutaki, tuachie sisi wagalatia tule, isiwe tabu.
View attachment 2938932
Ndiyo ninaelewa na nitaendelea kusisitiza kuna mbwa wako kwenye mfumo kazi yao kutugonganisha ili tutumbukie kwenye UDINI tuache utaifa wetu!
Lengo la marekani ni
- Kuua soko la ndani
-kudumuza mifumo endelevu ya uzalishaji etc
 
N
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.

Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.

MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.

Nawasilisha.
Never argue with a fool, mbona wanakula twende na nyama ya ngamia kutoka uarabuni
 
Bado maamuma mpo kumbe? Yani kuzaliwa mshamba kazi kweli. Msaliti yupo analiwa na funza huko. Bwawa la umeme gani wakati mgao bado upon? Alafu umeme wa maji sio WA muda mrefu!! Elewa.
Mbona kipindi huyo anaeliwa na funza akiwa hai hakukua na mgao na bwawa la umeme lilikua halijajengwa??
Shida ni serikali ya sasa,kama marehemu aliweza tumia nyenzo za zamani na umeme ukawa na ufanisi kwanini huyu wasasa ashindwe??
Bwawa lina tija nyingi za kiuchumi ukiachana na umeme ila wanasiasa ndio kikwazo.
 
Nasikia mchele umewekewa virutubisho vya ushoga. Wote walaji itakakua patashika.
Eti mchele bado unataka virutubisho
 
Wewe utakuwa umechanganyikiwa. Ni lini Papa alisema mashoga waende wakapewe baraka makanisani?

Mnaokoteza maneno ya mitaani, na kwa sababu za chuki zenu, mnatengeneza tafsiri zenu kuziridhisha nafsi zenu.

Unatakiwa kuelewa misingi ya imani za dini na tofauti zake:

Uislam ni dini inayoruhusu kisasi kwa aliyekukosea, na kukutaka kujiweka mbali na mwovu.

Ukristo unasisitiza upendo, tena hata kwa adui yako. Tena Yesu anasema ukimpenda rafiki yako na kumchukia adui zako, huna tofauti na watu wasiomjua Mungu, maana nao hufanya hivyo hivyo. Halikadhalika Yesu anasema kuwa tabibu hayupo kwaajili ya walio wazima bali wagonjwa. Kwa hiyo yeye hakuja kwaajili ya watakatifu bali kwaajili ya wenye dhambi ili awatoe katika dhambi. Na ili umtoe katika dhambi, ni lazima kwanza umwoneshe upendo wa Mungu. Ndiyo maana Papa akasisitiza kuwa mashoga kama walivyo majambazi, wazinzi, wevi, na wengineo, wasitengwe. Na akasisitiza kuwa ushoga ni dhambi, na hata siku moja Mungu hawezi kubariki dhambi. Kwenye ukristo, hata jambazi akienda kwa kasisi na kusema kuwa anaomba baraka, kasisi atambariki na kumwusia umuhimu wa kuyabadili maisha yake, na kinachobarikiwa siyo ule ujambazi wake au kumtaka aendelee na ujambazi wake, bali kupokea baraka ya Mungu ili aweze kuyatafakari maisha yake na kumgeukia Mungu.
Mpuuzi kweli wewe maneno mengi alafu pumba tupu nani asiejua Papa Francis anaunga mkono ushoga? anavaa hadi msalaba wa rainbow au ulikua kaburini umefufuka leo?
 
Back
Top Bottom