4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wewe wa wapi ,kwamba hata kwenye familia yako ukiletewa msaada bila kujali unatweza utu wako na familia yako unapokea tu.Msaada ni kitu ambacho hakitolewi masharti na mpokeaji mkuu. Kama uwezo wangu ni wa kukupa wali huwezi kunilzamisha nikununulie ndege. Hakuna kitu kama hicho.
Dah! Mkuu, Umechanganya-changanya hoja yako nzuri kiasi kwamba imepoteza mwelekeo wake. Hoja yako ya Raslimali zetu bandari na mbuga za wanyama hazijagawiwa (sio kweli)kwani hakuna mTz aliyetaka kuwekeza huko akakataliwa. Hilo la kuingiza UDINI ni kweli halina Tija.Nchi imejaa wapumbavu haswa- Kila kitu udini
Raslimali zetu bandari na mbuga zinagawiwa bure tunaleta UDINI
Mchele wa kuangamiza nguvu kazi na uchumi unaingizwa tunaleta UDINI
Hivi kuna mbwa wako kwenye system wanachomekea vimada vya udini kutugonganisha eti eh!!!??
Tuwatafute hao nyangau ndio adui zetu na ulimbukeni na upumbavu wetu!
Wewe umesikia wamekufa watoto wangapi mashuleni kwa njaa, leta takwim hapa , maana inonekana sasa mchele wa virutubisho kutoka Ulaya ndo mkombozi no 1 kwa vijana wetu wa shule za msingi , na kwamba kabla basi mashulen kila kitu kilikua kimelala.Kwa hiyo wewe unahsuri wasipewe chochote kabisa ili wafe myo wako uridhike mkuu? Hoja yako ni ipi hasa?
Naam. Ila watoto mara nyingi huwa hawana uhuru- Watashinikizwa na wazazi.Serikali itoe uhuru, kwa wanaotaka kuuchukua huo mchele wauchukue.
Ila waislam tena wasije wakaja na malalamiko kuwa Serikali inawabagua waislam katika kupewa mchele wa bure.
Wanakataa kula ubwabwa uliotokana na mchele wa msaada kutoka marekani lakini hapo hapo misikitini wanagombea msaada wa nyama za kafara kutoka uarabuni.Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.
Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.
MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.
Nawasilisha.
In the same platform where you shit and pollute the atmosphere?? No thank you, I would rather let you be in charge hereThat is mine, speak out yours
1. Mtoto mdhaifu ki-Afya, hata homa ya kawaida kabisa inatosha kumuua. 2. Mtoto mdhaifu hata darasani yupo-yupo tuu hata mwalimu afundisheje hatoelewa vizuri kile kinachofundishwa kwani ana njaa anawaza chakula.Wewe umesikia wamekufa watoto wangapi mashuleni kwa njaa, leta takwim hapa , maana inonekana sasa mchele wa virutubisho kutoka Ulaya ndo mkombozi no 1 kwa vijana wetu wa shule za msingi , na kwamba kabla basi mashulen kila kitu kilikua kimelala.
Acheni zaulisha nchi , ndio sie bado nchi maskini ila sio kwa mazarau ya kiwango ichi hata marekani ombaomba wapo
Hey, I didnt drag your f&£cking nose to smell the pollution. Mind your viewsIn the same platform where you shit and pollute the atmosphere?? No thank you, I would rather let you be in charge here
Kweli mkuu. Hapa kwetu Umasaini ndani ndani huku Waturuki wanachinja kondoo wengi kwa siku takriban sasa huu ni mwaka + tangu uchinjaji huo na ugawaji huo wa nyama ya kondoo bure uanze na unaendelea. Sasa baadhi ya wengine wanufaikaji wamejiongeza - wanachukua hicho cha bure na wanaenda kukiuza huko mtaani maisha yanaendelea. Wajinga ndio waliwao.Wanakataa kula ubwabwa uliotokana na mchele wa msaada kutoka marekani lakini hapo hapo misikitini wanagombea msaada wa nyama za kafara kutoka uarabuni.
Njaa ikichanganyika na ujinga kinatokea kitu cha ajabu sana.
Short sighted kama wewe huwezi elewa. Ata angekuwepo umeme ungezingua tu, ili kuwa ni suala la muda. Na huo wa bwawa hauna miaka 20 mbele. Ni mtu asieona mbali ndio anataka zima moto kwa gharama kubwa kama jiwe. Kuharibu uchumi wa nchi kwa mradi wa hovyo kabisa. Nyie mnaodanganyika ni watu wenye upeo mfupi. Na ndio mtaji wa CCM.Mbona kipindi huyo anaeliwa na funza akiwa hai hakukua na mgao na bwawa la umeme lilikua halijajengwa??
Shida ni serikali ya sasa,kama marehemu aliweza tumia nyenzo za zamani na umeme ukawa na ufanisi kwanini huyu wasasa ashindwe??
Bwawa lina tija nyingi za kiuchumi ukiachana na umeme ila wanasiasa ndio kikwazo.
Kama wameweza kudanganywa na mtu mmoja wakaamini anapokea ujumbe kutokea kwa malaika, Karne zote hizo unadhani Wanakitu kichwani hao?Wanakataa kula ubwabwa uliotokana na mchele wa msaada kutoka marekani lakini hapo hapo misikitini wanagombea msaada wa nyama za kafara kutoka uarabuni.
Njaa ikichanganyika na ujinga kinatokea kitu cha ajabu sana.
Una ujuaji mwingi wa kipuuzi.Short sighted kama wewe huwezi elewa. Ata angekuwepo umeme ungezingua tu, ili kuwa ni suala la muda. Na huo wa bwawa hauna miaka 20 mbele. Ni mtu asieona mbali ndio anataka zima moto kwa gharama kubwa kama jiwe. Kuharibu uchumi wa nchi kwa mradi wa hovyo kabisa. Nyie mnaodanganyika ni watu wenye upeo mfupi. Na ndio mtaji wa CCM.
Wakristo Hawa upumbafu huoSakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.
Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.
MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.
Nawasilisha.
Mpuuzi kweli wewe maneno mengi alafu pumba tupu nani asiejua Papa Francis anaunga mkono ushoga? anavaa hadi msalaba wa rainbow au ulikua kaburini umefufuka leo?
Hili sio jsmbo la kuwagawa watu kidini kama unavyopotosha. Mimi ni mkristo lakini katikz hili la mchele nawaunga mkono. Hoja hapa ni usalama wa watoto. Katika dunia hii inayolazimisha ushoga lazima uwe makin na vitu unavyopewa na hao wanaokampenia ushoga. Mchele na maharage nchini yapo ya kutosha kana ni kununua ni busara walete hela vinunuliwe hapa nchini.Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.
Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.
MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.
Nawasilisha.
Do you know the difference between the toilet seat and the toilet worker?Sema neno Mkuu
uongo wewe dogoAcha uongo wewe jamaa.
Qatar na Kuwait ndio wanaongoza kuleta misaada Gaza wakifuatiwa na Turkiye.
ACHA UONGO mkuu kama hujui kitu uliza.
Rafah border hupita malori zaidi ya 50 ya misaada toka hayo mataifa tajwa day after day.