Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

Msaada ni kitu ambacho hakitolewi masharti na mpokeaji mkuu. Kama uwezo wangu ni wa kukupa wali huwezi kunilzamisha nikununulie ndege. Hakuna kitu kama hicho.
Wewe wa wapi ,kwamba hata kwenye familia yako ukiletewa msaada bila kujali unatweza utu wako na familia yako unapokea tu.

Mfano waje watu TASAFU, wakuletee msaada kwako kama kaya masikini na wewe haupo kwenye mlengo huo we unapokea tu, aisee we no noma,
 
Nchi imejaa wapumbavu haswa- Kila kitu udini
Raslimali zetu bandari na mbuga zinagawiwa bure tunaleta UDINI
Mchele wa kuangamiza nguvu kazi na uchumi unaingizwa tunaleta UDINI
Hivi kuna mbwa wako kwenye system wanachomekea vimada vya udini kutugonganisha eti eh!!!??
Tuwatafute hao nyangau ndio adui zetu na ulimbukeni na upumbavu wetu!
Dah! Mkuu, Umechanganya-changanya hoja yako nzuri kiasi kwamba imepoteza mwelekeo wake. Hoja yako ya Raslimali zetu bandari na mbuga za wanyama hazijagawiwa (sio kweli)kwani hakuna mTz aliyetaka kuwekeza huko akakataliwa. Hilo la kuingiza UDINI ni kweli halina Tija.
Lakini pia inafaa uzingatie kwamba hakuna mchele wa kuangamiza nguvu kazi na Uchumi ulioingizwa hapa Tz hoja ya kuleta Udini kwenye jambo hili hoja yako ina mashiko.
Mkuu, Sikukuelewa unaposema mbwa wako kwenye system wanachomekea vi-mada (religious group interests) vya udini.... mi nijuavyo neno Mbwa ni mahsusi kwa wale jamaa (wahusika watanielewa) wako kwenye system na kirefu cha neno hilo humaanisha Management By Walking Around. Hao kamwe hawawezi kufanya kitu hicho ulichowatuhumu nacho - never.
 
Kwa hiyo wewe unahsuri wasipewe chochote kabisa ili wafe myo wako uridhike mkuu? Hoja yako ni ipi hasa?
Wewe umesikia wamekufa watoto wangapi mashuleni kwa njaa, leta takwim hapa , maana inonekana sasa mchele wa virutubisho kutoka Ulaya ndo mkombozi no 1 kwa vijana wetu wa shule za msingi , na kwamba kabla basi mashulen kila kitu kilikua kimelala.

Acheni zaulisha nchi , ndio sie bado nchi maskini ila sio kwa mazarau ya kiwango ichi hata marekani ombaomba wapo
 
Serikali itoe uhuru, kwa wanaotaka kuuchukua huo mchele wauchukue.

Ila waislam tena wasije wakaja na malalamiko kuwa Serikali inawabagua waislam katika kupewa mchele wa bure.
Naam. Ila watoto mara nyingi huwa hawana uhuru- Watashinikizwa na wazazi.
Napendekeza chakula kipikwe shuleni halafu kengele ya kwenda kula ipigwe na watoto waambiwe kwamba yule anayependa kula akale hiki ni chakula cha msaada kwa wote ni ruksa kwa yeyote kula.
Hivi mbona hawa jamaa wanashangaza sana? Lipo shirika(Kama sikosei) linaloitwa compassion na lina makao yake huko Marekani na linawasaidia sana watoto waishio katika mazingira magumu/hatarishi kiafya na walio mashuleni kwa chakula, mavazi na hata kuwalipia ada. Wanufaika wa msaada huo ni wote na hakuna cha ubaguzi wa kidini. Inakuwaje UDINI unataka kuchukua sura ya kero katika Jamii yetu iliyotulia?
 
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.

Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.

MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.

Nawasilisha.
Wanakataa kula ubwabwa uliotokana na mchele wa msaada kutoka marekani lakini hapo hapo misikitini wanagombea msaada wa nyama za kafara kutoka uarabuni.

Njaa ikichanganyika na ujinga kinatokea kitu cha ajabu sana.
 
Wewe umesikia wamekufa watoto wangapi mashuleni kwa njaa, leta takwim hapa , maana inonekana sasa mchele wa virutubisho kutoka Ulaya ndo mkombozi no 1 kwa vijana wetu wa shule za msingi , na kwamba kabla basi mashulen kila kitu kilikua kimelala.

Acheni zaulisha nchi , ndio sie bado nchi maskini ila sio kwa mazarau ya kiwango ichi hata marekani ombaomba wapo
1. Mtoto mdhaifu ki-Afya, hata homa ya kawaida kabisa inatosha kumuua. 2. Mtoto mdhaifu hata darasani yupo-yupo tuu hata mwalimu afundisheje hatoelewa vizuri kile kinachofundishwa kwani ana njaa anawaza chakula.
3. Mtoto mwenye njaa aghalabu hujiongeza kwa kutoroka kwenda kujitafutia matunda porini, kuwinda ndege ili apate kumchoma na kula au kitoweo, kutoroka kwenda kuiba matunda kwa majirani au kuiba mboga iliyotunwa nyumbani kwa matumizi ya baadaye n.k.
4. Mtoto mwenye njaa mara nyingi anagombana na wenzake i.e. ana hasira muda wote.
Inafaa uzione athari za njaa kwa mtoto wa shule kwa mapana yake kuliko kung'ang'ania Udini.
5. Vipo vifo vingi vya wanafunzi lakini ni Indirectly related to severe malnutrition.
Mwisho: Kwa kweli kwa hapa Tz; mmmh! kazi ipo tena sio kidogo. Nawapa pole sana viongozi wa serikali wa Nchi hii - Kazi wanayo.
 
Wanakataa kula ubwabwa uliotokana na mchele wa msaada kutoka marekani lakini hapo hapo misikitini wanagombea msaada wa nyama za kafara kutoka uarabuni.

Njaa ikichanganyika na ujinga kinatokea kitu cha ajabu sana.
Kweli mkuu. Hapa kwetu Umasaini ndani ndani huku Waturuki wanachinja kondoo wengi kwa siku takriban sasa huu ni mwaka + tangu uchinjaji huo na ugawaji huo wa nyama ya kondoo bure uanze na unaendelea. Sasa baadhi ya wengine wanufaikaji wamejiongeza - wanachukua hicho cha bure na wanaenda kukiuza huko mtaani maisha yanaendelea. Wajinga ndio waliwao.
 
Mbona kipindi huyo anaeliwa na funza akiwa hai hakukua na mgao na bwawa la umeme lilikua halijajengwa??
Shida ni serikali ya sasa,kama marehemu aliweza tumia nyenzo za zamani na umeme ukawa na ufanisi kwanini huyu wasasa ashindwe??
Bwawa lina tija nyingi za kiuchumi ukiachana na umeme ila wanasiasa ndio kikwazo.
Short sighted kama wewe huwezi elewa. Ata angekuwepo umeme ungezingua tu, ili kuwa ni suala la muda. Na huo wa bwawa hauna miaka 20 mbele. Ni mtu asieona mbali ndio anataka zima moto kwa gharama kubwa kama jiwe. Kuharibu uchumi wa nchi kwa mradi wa hovyo kabisa. Nyie mnaodanganyika ni watu wenye upeo mfupi. Na ndio mtaji wa CCM.
 
Wanakataa kula ubwabwa uliotokana na mchele wa msaada kutoka marekani lakini hapo hapo misikitini wanagombea msaada wa nyama za kafara kutoka uarabuni.

Njaa ikichanganyika na ujinga kinatokea kitu cha ajabu sana.
Kama wameweza kudanganywa na mtu mmoja wakaamini anapokea ujumbe kutokea kwa malaika, Karne zote hizo unadhani Wanakitu kichwani hao?
 
Short sighted kama wewe huwezi elewa. Ata angekuwepo umeme ungezingua tu, ili kuwa ni suala la muda. Na huo wa bwawa hauna miaka 20 mbele. Ni mtu asieona mbali ndio anataka zima moto kwa gharama kubwa kama jiwe. Kuharibu uchumi wa nchi kwa mradi wa hovyo kabisa. Nyie mnaodanganyika ni watu wenye upeo mfupi. Na ndio mtaji wa CCM.
Una ujuaji mwingi wa kipuuzi.
Kipindi chake aliwezaje kutatua tatizo la umeme bila hilo bwawa??
Kipindi hiki na chake ni kipi umeme ulikua na ufanisi??
Unaongea hisia zako ambazo ni baseless nonfactual.
Pole sana
 
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.

Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.

MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.

Nawasilisha.
Wakristo Hawa upumbafu huo

Mchele upo singida unaliwa vzr sna na watu hawna habari nao na Ni waislamu wanautafuna
 
Mpuuzi kweli wewe maneno mengi alafu pumba tupu nani asiejua Papa Francis anaunga mkono ushoga? anavaa hadi msalaba wa rainbow au ulikua kaburini umefufuka leo?

Wewe, mafundisho ya kishetani kupitia dini yamekufanya kuwa kiumbe mwanana cha shetani kilichojaa chuki dhidi wanadamu wengine. Umeishia kuwa punguani. Ujue kuwa upunguani na ujinga ulio nao, siyo sehemu ya utakatifu.

Nchi za kiarabu zimejaa wanaume wachafu wanaowaingilia wanawake kinyume cha maumbile. Je, walibarikiwa na Papa?

Kwa akili yako, ukienda Mbeya na Zanzibat au Tanga kuwatafuta wenye tabia hizo chafu, wapi utawakuta wengi zaidi?
 
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.

Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.

MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.

Nawasilisha.
Hili sio jsmbo la kuwagawa watu kidini kama unavyopotosha. Mimi ni mkristo lakini katikz hili la mchele nawaunga mkono. Hoja hapa ni usalama wa watoto. Katika dunia hii inayolazimisha ushoga lazima uwe makin na vitu unavyopewa na hao wanaokampenia ushoga. Mchele na maharage nchini yapo ya kutosha kana ni kununua ni busara walete hela vinunuliwe hapa nchini.
 
Issue ni kwamba watoto wetu wanaosoma Saint Kayumba karibia 20% wana utapiamlo ni aibu kujidai eti chakula tunacho. Unacho huku watoto wanadumaa.
 
Acha uongo wewe jamaa.
Qatar na Kuwait ndio wanaongoza kuleta misaada Gaza wakifuatiwa na Turkiye.
ACHA UONGO mkuu kama hujui kitu uliza.
Rafah border hupita malori zaidi ya 50 ya misaada toka hayo mataifa tajwa day after day.
uongo wewe dogo
Mataifa ya West na Makafir ndio wanaongoza kuleta misaada Gaza wakifuatiwa na Spain.
ACHA UONGO Dogolasi kama hujui kitu uliza.
Rafah border hupita malori zaidi ya 50 ya misaada toka hayo mataifa tajwa day after day.
 
Back
Top Bottom