Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote atakayewalisha watoto wao. Wamesema chakula wanacho cha kutosha hapa nchini na kushauri waletewe vitu wasivyokuwa navyo kama vile ndege, magari na ambulance.

Ili kuonyesha kuwa hawatanii katika hili, hata watangazaji waliokuwa wakiendesha kipindi walionekana kushabikia kitendo hicho. Mtu yeyote aliyepiga simu kwenye kipindi akionyesha kwenda kinyume na msimamo wao, walimkatia simu mara moja. Hebu wasikilize wewe mwenyewe kupitia klipu hiyo hapo chini.

MAONI YANGU
Huu mchele sasa naona umeanza kutugawa kiitikadi. Wakristo nao wakitoka hadharani na kuweka msimamo wao, hapatatosha. Ifike mahali ubaguzi wa kijinga kama huu ukemewe kwani unaweza kuligawa taifa na kuhatarisha umoja na mshikamano tulio nao hapa nchini. Tusiruhusu kikundi kidogo cha watu kitugawe kwa sababu yoyote ile.

Nawasilisha.
Wewe mleta mada ni MWONGO. Mimi ni mkristo lakini katika hili NAUNGANA na hao waislam. Tutapewaje chakula ambacho tunacho? Kule Mbeya kuna mcheke mwingi. Nyuma y msaada huu kuna AJENDA YA SIRI. Hizi NGO lazima ziwe controlled.
 
Dar ,pwani ,Tanga na maeneo yenye idadi kubwa ya waisram imejaa wazee wenye mabusha kisa walikataa chanjo eti wakristo (wazungu ) wameleta dawa ya kuwazuia kuzaa .hawa wavaa kobazi vichwa maji Sana

USSR
Sio kweli.Uislamu haujakataza kujitibu,ni dini peke yake duniani,iliyohimiza kujitibu,ukiumwa,ukiwa mwanamke au mwanaume.Na pia ni dini peke yake ya kiislamu,ilihimiza kutafuta elimu kwa mwanamke na mwanamme,bila kubagua.Nq ndio ukaona vifaa vyote vya dunia,vinatumia ugunduzi wa Muislamu,
 

Attachments

  • screengrab-20240102-071911.png
    screengrab-20240102-071911.png
    327.2 KB · Views: 1
Waislamu hoyeee. Waletewe msaada wa vitu wasivyokua navyo kama ndege , magari n.k . Hii nimeipenda sanaa.
Vip na ARV pamoja na vyandarua tuvikatae pia ingependeza tumpige SHETANI bila kujali sio kua na msimamo wa "kitimoto sili ila mchuzi wake nakunywa"

Sisi ni dona katri hatutaki msaada wa ndege magari nk au sio?
 
Aliyepokea msaada wa mchele badala ya sukari au computer ndiyo anatugawa.
Zawadi zingine ni za kudhalilishana.
Hatuna njaa wala uhaba wa nafaka kwanini wasipeleke Kenya, Sudan, na kwingineko kwenye uhaba wa chakula?
Hawawezi kusema "Asante lakini hapana hatuhitaji mchele"?
L
 
Waislam wako sawa na wana uhuru wa kuukataa huo mchele.
Na Kwa wakristo kama wanaona unawafaa ni fursa nzuri kuchukua chakula cha kutosha wakale na familia zao.

Ila usiseme ni ubaguzi wa kidini maana hamna dini inaitwa marekani, zipo nchi nyingi ambazo hazikubaliani na marekani na siyo nchi za kiislam.
Hahaa hakuna dini inaitwa marekani wala dp world,ila waislam wanafiki sana.Nakubaliana nao kuhusu usalama wa afya zao.
 
Wewe mleta mada ni MWONGO. Mimi ni mkristo lakini katika hili NAUNGANA na hao waislam. Tutapewaje chakula ambacho tunacho? Kule Mbeya kuna mcheke mwingi. Nyuma y msaada huu kuna AJENDA YA SIRI. Hizi NGO lazima ziwe controlled.
"Chakula kingi ambacho tunacho"(?)Mmewapa lini wahitaji wa chakula?Acheni kujibaraguza/kujishaua/kujisafisha kipuuzi wakati kuna watu wana uhitaji.Tende na nyama ya kondoo mnakula kwa sababu mnapewa kutoka Uarabuni?Mchele kosa lake ni kuwa na nembo ya USAID?Upuuzi expression!
 
Waislam wako sawa na wana uhuru wa kuukataa huo mchele.
Na Kwa wakristo kama wanaona unawafaa ni fursa nzuri kuchukua chakula cha kutosha wakale na familia zao.

Ila usiseme ni ubaguzi wa kidini maana hamna dini inaitwa marekani, zipo nchi nyingi ambazo hazikubaliani na marekani na siyo nchi za kiislam.
Wewe mwenyewe umesema "kwa wakristo", tayari ni ubaguzi. Naona mwaka huu waarabu wamesahau kutuletea msaada wa "tende"! Hii ndiyo misaada pendwa ikifika inatugombanisha misikitini.
 
Kwani sahvi hamna masboga
Media zenu zenyewe, imejaa wsng kibao

Mitaani huko sehemu za starehe ndy msiseme...pita sinza huko uone walivyojaa wsng alafu mnajifanya mnapinga ushg

Ova
Kama umemkuta muislam shoga ni matakwa yake ila dini imekataza.
Na sheria ya shoga na msagaji ni kufungiwa bila chakula mpaka afe.
Anglican UK wanafungisha ndoa za mashoga kanisani,je ukristo umeruhusu ushoga??
Jua kutofautisha hurka ya mtu na sheria ya dini.
Unaonekana una akili za kishoga kama ushoga wenyewe.
 
Tutapewaje chakula ambacho tunacho? Kule Mbeya kuna mcheke mwingi. Nyuma y msaada huu kuna AJENDA YA SIRI.
1. Mbona chanjo na dawa za wazungu unatumia mkuu? Je, wakitaka kukunyoosha kupitia kwenye dawa na chanjo utasalimika?
2. Hicho chakula unachosema kimajaa Tanzania kimefichwa wapi watoto wanashinda njaa shuleni na kuteswa na utapiamlo?
3. Uliwahi kujitolea hata kilo 1 ya mchele ukapeleka shuleni watoto wapikiwe?
Punguza unafiq wako mkuu.
 
Shida ni Elimu tu. Unadhani tatizo ni kubwa sana? Ni ukosefu wa Elimu. Kule Gaza wanaopokea msaada wanakubali kutoka nchi hizi za Kikafir na wanakula wanaendelea mbele. Nchi zenye imani moja nasi hazitoi msaada.
Acha uongo wewe jamaa.
Qatar na Kuwait ndio wanaongoza kuleta misaada Gaza wakifuatiwa na Turkiye.
ACHA UONGO mkuu kama hujui kitu uliza.
Rafah border hupita malori zaidi ya 50 ya misaada toka hayo mataifa tajwa day after day.
 
Dar ,pwani ,Tanga na maeneo yenye idadi kubwa ya waisram imejaa wazee wenye mabusha kisa walikataa chanjo eti wakristo (wazungu ) wameleta dawa ya kuwazuia kuzaa .hawa wavaa kobazi vichwa maji Sana

USSR
Sio kweli.Uislamu haujakataza kujitibu,ni dini peke yake duniani,iliyohimiza kujitibu,ukiumwa,ukiwa mwanamke au mwanaume.Na pia ni dini peke yake ya kiislamu,ilihimiza kutafuta elimu kwa mwanamke na mwanamme,bila kubagua.Nq ndio ukaona vifaa vyote vya dunia,vinatumia ugunduzi wa Muislamu,Mohammed Alhawarthim(Algorthim).Bila Algorthim,dunia ingekuwa ngumu,kila unachpkiona duniani,kilichotengenezwa na binadamu,ni kupitia algorthim(Mohammed Alhawarithim).Information technology yote,inatumia algorithim(Muhammad Alkhawarithim).
 
Back
Top Bottom